'JOHO SI MWANAUME!' AISHA JUMWA FUMES IN FRONT OF DP RUTO IN LUNGA LUNGA, KWALE COUNTY!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2021
  • LIVE! DP RUTO IN LUNGA LUNGA, KWALE COUNTY!!

ความคิดเห็น • 89

  • @ibrahimabdi3559
    @ibrahimabdi3559 3 ปีที่แล้ว +8

    Aisha ur a queen, very brave and eloquent orator, nakupenda sana, fundisha hizi fisi adabu....mama mboga tosha...!

  • @user-wu8xm3mp4t
    @user-wu8xm3mp4t หลายเดือนก่อน

    Ongea mama l like ua accent

  • @MohamedAhmed-gy3gh
    @MohamedAhmed-gy3gh 3 ปีที่แล้ว +6

    Aisha Jumwa Leo umesema kweli kabisa.....mwanaume ni kujituma na Ruto amejituma .....tuko pamoja na Rutooòooòo hustlers for all........👍👍👍

  • @kirimojunior337
    @kirimojunior337 3 ปีที่แล้ว +5

    Hehehhhh haaa umenichekesha

  • @everlynespaete3074
    @everlynespaete3074 3 ปีที่แล้ว +2

    Vikara!!!!!!!! Confidence!!!!!

  • @essyyulemhumble6843
    @essyyulemhumble6843 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili ya watu WA pwani hunimaliza,.....ni tamu aki 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 Ruto amejituma

  • @groundnetsolution5966
    @groundnetsolution5966 3 ปีที่แล้ว +3

    wakenya kila baada ya miaka mitano tunafanywa mapimbi tu.nakiri tunahitaji kupiga nyungu kila jioni ya mvuke mzito mana tumelogwa haki. wao yao yawaendea sisi twakusanywa tukipepetwa huku nakurushwa kule kama sardine. lini tutaamka? juzi tuko pamoja? leo hustler,kesho tano. nyuso zetu ukiziangalia zimechoka balaa tu

  • @b.tedley2586
    @b.tedley2586 3 ปีที่แล้ว +1

    birds of a feather flock together... kazi ni kuiba na kuzunguka wakitukanana

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว +7

    SIJAWAI PIGA KURA NA SINTA WAI SIAMINI MWANA SIASA YEYOTE RAISI ALIKUWA MOI WENGINE NI PROPAGANDA TU NONSENSE NDIO KING KAKA ALIIMBA WAJINGA SISI

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 ปีที่แล้ว +3

    Santaaa mama Aisha ...Mekatilili

  • @ceciliambui5972
    @ceciliambui5972 3 ปีที่แล้ว +1

    Sema mama

  • @user-wu8xm3mp4t
    @user-wu8xm3mp4t 5 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili chenyewe wakijua kwelikweli B Aisha

  • @jackmiish4830
    @jackmiish4830 3 ปีที่แล้ว

    I love Aisha confidence

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว +3

    Mekatilili alimchapa mzungu kibao wakati waukoloni yawazungu sahi wewe nawe naona bado ukamchape joho kibao sio mbali..

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 ปีที่แล้ว

    My dada mama raha

  • @chalichali9452
    @chalichali9452 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaa mama

  • @therisiyawangoi5410
    @therisiyawangoi5410 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisha jumwa hoyeee

  • @mbaimwangangi9221
    @mbaimwangangi9221 ปีที่แล้ว

    Weh! Mswahili kamili huyu!

  • @denismutuku2723
    @denismutuku2723 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @Sarakassy
    @Sarakassy 3 ปีที่แล้ว

    Aisha is hatari!! Good she’s behind Ruto

  • @shaharimwakodi9334
    @shaharimwakodi9334 3 ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wapwani tushawazowea kelele ndo zenu kwasababu saii mwatafuta wongozi mkishapata mwananchi kwenu nitakataka amjali,,ila mungu anawaona kwaufedhuli mlonao na kibri...saii danganyeni wananchi wapwani tu

  • @cellinakangai6974
    @cellinakangai6974 3 ปีที่แล้ว +1

    Pouwa hon.aisha jumwa.

  • @godanapeter8254
    @godanapeter8254 3 ปีที่แล้ว +1

    Vipi hayo ya ugavana Kilifi county tena viko

  • @josphatkiptoo8436
    @josphatkiptoo8436 3 ปีที่แล้ว +1

    Amani.kenya

  • @kirimojunior337
    @kirimojunior337 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo madha

  • @jkkituku4440
    @jkkituku4440 3 ปีที่แล้ว +1

    Waenda fuata Nn lunga lunga na kwako ni malindi ala tulia kwako huezi pata govenor 2022 sahau kabisa

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 ปีที่แล้ว +1

    Lugha gani mama hio

  • @zenokk4649
    @zenokk4649 3 ปีที่แล้ว +4

    Ole ntimama🤣🤣

  • @Pseudo412
    @Pseudo412 3 ปีที่แล้ว +4

    Maadui wataona ukibarikiwa

  • @caskoofficial2394
    @caskoofficial2394 3 ปีที่แล้ว

    Aishaa Weeh

  • @johnjefacharo9599
    @johnjefacharo9599 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka niseme hivi

  • @rebbyjeruu5734
    @rebbyjeruu5734 3 ปีที่แล้ว +2

    Uko sawa Aisha

  • @mohamedahmed-wc5te
    @mohamedahmed-wc5te 3 ปีที่แล้ว +2

    Upuzi

  • @carolynebh6653
    @carolynebh6653 3 ปีที่แล้ว +1

    Hili limama aki

  • @mburuedward7472
    @mburuedward7472 3 ปีที่แล้ว +1

    I'm proud of her. She tells the truth where she's criticized. Haongopi. Joho kwa Mapakua.

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 3 ปีที่แล้ว +1

    Ww aisha jumwa ufanyi siasa bila kutaja joho cjui unashida gani watu wako kaloleni wateseka watoto malindi uko hawana maisha mpaka mimba zimejaa uko ww fujo tu

    • @adnanbossy4097
      @adnanbossy4097 3 ปีที่แล้ว

      Wakiaja kutaja Ruto nao wataacha

  • @walleydennis1971
    @walleydennis1971 3 ปีที่แล้ว

    Iko fitii

  • @jaredaboko6525
    @jaredaboko6525 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo alishajaribu joho akajua cyo mwanaume!!!

  • @mohamedabdiyussuf3874
    @mohamedabdiyussuf3874 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuko pamoja

  • @mwakogandurya6439
    @mwakogandurya6439 3 ปีที่แล้ว

    Ongea sera wacha matusi kila mahali unatudhalilisha sisi wapwani mama ngani huyu

  • @manfredmwawughanga6893
    @manfredmwawughanga6893 3 ปีที่แล้ว +2

    Mambo n mazo

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว +1

    Semasema yote japo inauma.

  • @raphaelmasai
    @raphaelmasai 3 ปีที่แล้ว

    Wakenya tafadhalini tuwache ukabila....2007 ni juzi tu

  • @hillarylangar4971
    @hillarylangar4971 2 ปีที่แล้ว

    Tuko in uda at riftvallay

  • @modesterafrika199
    @modesterafrika199 3 ปีที่แล้ว

    Mekatilili wa Jumwa

  • @josphatkiptoo8436
    @josphatkiptoo8436 3 ปีที่แล้ว +1

    Ruto tosha

    • @nicbacker9415
      @nicbacker9415 3 ปีที่แล้ว

      What do you think he will do he wasn't able to do the last 10yrs

  • @houstoninfinityinc2855
    @houstoninfinityinc2855 3 ปีที่แล้ว +2

    Ruto 2022!

  • @joelgodia4000
    @joelgodia4000 3 ปีที่แล้ว

    Aisha 😂 utafanya ruto avunje nyumba yake akikufatafata

  • @freizbuyuka9989
    @freizbuyuka9989 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🖐

  • @danielmuguro6538
    @danielmuguro6538 3 ปีที่แล้ว +1

    inakuhusu nini mwewe

  • @seangolfer4216
    @seangolfer4216 3 ปีที่แล้ว

    Wachana na joho tafadhali shugulika na yako

  • @khalidkombo542
    @khalidkombo542 3 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mama ama ni mume una sura za kiume kama ruto

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 3 ปีที่แล้ว

      Bif tu na hustler nation

  • @jkkituku4440
    @jkkituku4440 3 ปีที่แล้ว

    Haunaga msimamo kwann lakini???

  • @maureenmis5852
    @maureenmis5852 3 ปีที่แล้ว +1

    Ehh huyu mama ameumbika matiti mazuri sana ubarikiwe mama

    • @afandehassan1
      @afandehassan1 3 ปีที่แล้ว

      Maureen hata wewe uko mtaamu

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 3 ปีที่แล้ว

      Yamenyonywa hta hyana mpango

    • @maureenmis5852
      @maureenmis5852 3 ปีที่แล้ว +1

      @@afandehassan1 haha uliniona wapi

    • @maureenmis5852
      @maureenmis5852 3 ปีที่แล้ว

      @@abdurahimabdulkadir3926 hhhmm kweli?

    • @afandehassan1
      @afandehassan1 3 ปีที่แล้ว

      @@maureenmis5852 Umesahau dear ama nikukumbushe basi tuma number

  • @owlliker
    @owlliker 3 ปีที่แล้ว +3

    Aisha we ni mwisho , kiboko yao, hongera. ningekuwa karibu ningejumuika nawe kufanya kampeni. Ruto ni mtu wa watu,

  • @saidomari5909
    @saidomari5909 3 ปีที่แล้ว

    Kama joho sio mwanaume kuwa ww mwanaume sura mbaya kama ma k ya mbuzi

  • @irinenafula3996
    @irinenafula3996 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisha yako iko njiani moto inakuwa kwako jikambe na kikirima hapo na huyo boyfriend wako ruto

  • @tommboya9768
    @tommboya9768 3 ปีที่แล้ว

    Hapana nyoa BOX!

  • @erickodhiambo4308
    @erickodhiambo4308 3 ปีที่แล้ว +1

    Utaguka kura saa kumi na mbili asubuhi

    • @kenmwangi169
      @kenmwangi169 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama Raila vile Ana angukaga kura

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa uyu yuko na fujo sana mungu amshushe chini manadomo tu

  • @romanyohannes9377
    @romanyohannes9377 3 ปีที่แล้ว +2

    She is really disturbing and disrespectful all the time

  • @labanitobkala620
    @labanitobkala620 3 ปีที่แล้ว

    🤣 🤣 🤣

  • @msenangu3142
    @msenangu3142 2 ปีที่แล้ว

    This woman is a typical cartoon ana vimbwembwe hazielewiki nipatieni nafasi ni mlime kichawa hedi mama ana dhulumu Kweli anatesa eeebwana weeh

  • @captainafricawiz8783
    @captainafricawiz8783 3 ปีที่แล้ว

    Shangazi ❤️

  • @johnjefacharo9599
    @johnjefacharo9599 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka niseme hivi wa pwani

  • @jaredaboko6525
    @jaredaboko6525 3 ปีที่แล้ว

    Huyu kafanye umalaya tu amechoka

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ushakula pesa zako unataka kututumia sisi wee ongea ukichoka ukaoge

  • @georgeopiyo609
    @georgeopiyo609 3 ปีที่แล้ว +1

    mwanaume ni yule bodyguard wako unatingishia viuno...?

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisha bwana nakuombea urithi mama mekatilili sisi twaona wewe pwani ni kiboyo yao kenya.

  • @vincentnyawa
    @vincentnyawa 3 ปีที่แล้ว

    Urongo kando hata wewe uko kwa makwapa ya mtu. Wapwani hawapendani. Hata Nia tuu ya mpwani kuwa Rais Ina kukera. Joho mpaka debeni.

  • @jaredaboko6525
    @jaredaboko6525 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo alishajaribu joho akajua cyo mwanaume!!!

  • @kiwaruisa1154
    @kiwaruisa1154 3 ปีที่แล้ว

    Ruto tosha

  • @huseinsenior4429
    @huseinsenior4429 3 ปีที่แล้ว

    Aisha jumwa hawakuwezi tamba mama goma yako nzito