TAZAMA WATALII WANAVYO ZIDI KUMIMINIKA AIRPORT ZNZ NDEGE HAZIPISHANI SASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 3 ปีที่แล้ว

    mimi ushauri wangu uzembe upo mkubwa watu wavivu.hapo airport panatakiwa wasafishe.bado kuna viongozi wengi wazamani.hawafai na bado wanapunguza kazi ya maendeleo.uwanja mpya mpaka sasa hivi haujamaliziwa.wekeni meza za ziada hapo nje hii kazi ya siku tatu tu.maisha ya sasa ni ya uharaka.

  • @omarari6113
    @omarari6113 3 ปีที่แล้ว

    Kimawazo yangu uwanja wa Ndege uwe na sehemu mbili.. Moja ya kuondokea na moja ya kurudia ziwe sehemu mbili tofauti.. Sio wanaingiliana..

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtihani Allah awalinde na Corona kwa msongamano huo.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Tunatowa shauri letu lazima Airport iwe kuna pahala maalum pa wananchi wakifika , siyo wananchi wanawekwa nyuma na wageni mbele. nnakusudiya wenye Tanzania passport iwe counter yao special. Mh. umesema maneno ya akili sana pesa za Airport nizakujenga na maendeleo ya nchi. Kama Hospitals, Maskuli, mabarabara na vyenginevyo. Mungu IBARIKI Zanzibar na watu wake. AMIN

  • @binsaid6945
    @binsaid6945 3 ปีที่แล้ว +4

    Msongamano lazima uwepo kwasababu airport ndogo ndani hasa pale migration counter zilizopo 2 kwa 3 hazifik 10 so social distances haipo

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +7

    Corona time remember my people

  • @ahmedbaga26
    @ahmedbaga26 3 ปีที่แล้ว +5

    Faida ya serekali ya umoja wa kitaifa unaaza kuonekana Zanzibar Safi Sana viongozi wetu

    • @kadritonser2412
      @kadritonser2412 3 ปีที่แล้ว +1

      Eti serikal ya umoja wa kitaifa 😁😁😁😁😁...siasa nyoko ...

    • @GeoSkills1
      @GeoSkills1 3 ปีที่แล้ว

      hayo mambo kabla ya uchaguzi yalikuwepo 😆

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 ปีที่แล้ว +6

    Amkeni wa zanzibari hao hawaji kwa utalii wana kimbia mwakao wanakuleteeni maradhi mabaya

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 3 ปีที่แล้ว +2

    Kamanda ujio wa ndege kwa pamoja sio tatizo,uwanja mdogo huo fungueni mpya

  • @am2323tze
    @am2323tze 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna tatizo hapo. Ni planning tu hapo. Eels gap ya landing tu hapo. Si uhamiaji nibairport management

  • @jimboulaya
    @jimboulaya 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungeanza na izo Landing cards na visa forms. Mungeweza kuboresha mkazungumza na airlines ili fomu zenu zikaweza kupatikana ndani ya ndege, ama muweke utaratibu mtu awae anaweza kujaza kabisa online. Msongamano ungepungua kwa asilimia kubwa.

  • @SalimSalim-vk6ux
    @SalimSalim-vk6ux 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmi naona hata hayo maelezo yote anayotoa uyo ofisa hayaniingii mika yote hio nchi iko wapi leo wageni wanaingia ndio tunashtuka sijui kuna vibuti sijui ndio vpi jmn nchi ytu miaka yte tuko wapii

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 3 ปีที่แล้ว

    Ohooo kuweni Makin Mana huku kumenukaa bado maambukizi ni mengii balaaa ndio Mana wanakuja kupumuliaa hukoo

  • @aliasgarhussein1157
    @aliasgarhussein1157 3 ปีที่แล้ว +1

    immigration officer expalined well ..keep it up

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 ปีที่แล้ว

      Vaeni barakoa hilo ndio jambo la muhim

  • @suleimanmazrui6942
    @suleimanmazrui6942 3 ปีที่แล้ว

    Kumbu Kumbu zinaonesha Dr Shein akifanya sherehe za ufunguzi terminal 3 tena yameisha wapi?

  • @aby21111
    @aby21111 3 ปีที่แล้ว +3

    You guys need to improve yourselves. I was one of the tourists who had a very hard time in the airport. 😎

  • @hawahawa7484
    @hawahawa7484 3 ปีที่แล้ว

    Ulimwenguni kote tz tunashukur hAkuna corona leo hio inakuja Allah awahifadhi

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @binsaid6945
    @binsaid6945 3 ปีที่แล้ว +1

    Halafu hatuon utaratibu wwte wa serikali kufanya wageni kufuata taratibu za kuji kinga na Corona ugonjwa kuingia nchi sehemu ya kwanza ni airport jitahidi mthibiti watu wapimwe joto na wagen waingie na certicate kutoka kwao za pcr ya corona na wakifika Zanzibar muweke sehemu maalum kupiga tena corona laa sivyo ugonjwa utaingia

  • @Nipa9107
    @Nipa9107 3 ปีที่แล้ว +1

    I hope mnawapima corona .Maana hao ma holliday maker wamekimbia lockdown ya corona .

  • @barrysulty1756
    @barrysulty1756 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awalinde ndugu zetu zanzibar, maanake mm naishi ulaya na huku hkn maduka isipokua super market na sehemu za chakula chukua ukale kwako hivyo nyie wapimeni hao wageni!

  • @kubumbegu155
    @kubumbegu155 3 ปีที่แล้ว

    Kama wageni wamekuja kwa ubaya allah yupo utaturinda wazo kwa viongozi wangu muwe macho na hakina janjajanja wa matokeo ya vipimo vyao

  • @binsaid6945
    @binsaid6945 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna Corona strain ni corona mpya ss Zanzibar tunataka watalii miundo mbinu ya hospitali mibovu watu hawajali

    • @kombokombo829
      @kombokombo829 3 ปีที่แล้ว

      Tz watu washafanya adaptations kwa corona..

  • @mursalsaid3327
    @mursalsaid3327 3 ปีที่แล้ว

    Social distance .muhimu Sana .hao wageni wengi wao ni wahanga wa corona muwe Makin uzima muhimu kuliko pessa.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Ni high season sasa. Kwetu ni joto kwao ni Baridi sana....sasa...

  • @ashaali1912
    @ashaali1912 3 ปีที่แล้ว

    jamani hao watalii na corona chonde chonde jamani hawana dhamana hao tusiwakumbatie kwa kuendekeza shida!!

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba sehemu za kusimama kwenye mstari ziwekwe meza za kukalia na wapewe maji bure na tende.

  • @hawahawa7484
    @hawahawa7484 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu zetu zanj corona jee mumesemanayo vipi nyinyi

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 3 ปีที่แล้ว

    Boresheni uwanja kwanza , Corona akivamia,hata ndege wa jozani hamtawaona.

  • @khatibabdi
    @khatibabdi 3 ปีที่แล้ว

    Miundombinu ndo mibovu. Abiria kidogo sana hao.

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 3 ปีที่แล้ว

    Mambo mazuri lakini fungueni terminal mpya

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Ungezeni counter.... NA wafanya kazi... au tumiyeni Airport mpya... Haaa haaaa lakini siilifunguliwa New Airport vipi imekuwa TENA???!!!!

  • @khatibabdi
    @khatibabdi 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani korona tuweni makini

    • @rafarafa2725
      @rafarafa2725 3 ปีที่แล้ว +2

      hawataki kujua kwa sababu ya uchumi visiwa vya comorow kila. Siku watu wanakufa kwa Corona Jana wamekufa watu 11 MMungu atuhifadh🤲🏼

    • @kombokombo829
      @kombokombo829 3 ปีที่แล้ว

      Amin...ila hope Corona cc tulisha umwa so damu zilishajenga kinga, hiv unadhan watalii wote hao madege ayo na technologia yetu ilivyoo

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kawa muheshimiwa !

  • @mohamedsalum3112
    @mohamedsalum3112 3 ปีที่แล้ว

    ...aaahhh kwani Airport mpya si ilifunguliwa kwa shangwe ? au ilikuwa Kampeni za Uchafuzi tuu ???

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 ปีที่แล้ว

    Toeni card kabisa kwenye ndege zijazwe kabisa kuepuka mkusanyano.kwani wazungu joto hawaliwezi. Au wekeni mashine za kujaza zinasaidia sana msongomano.

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 3 ปีที่แล้ว

    Uwanja muheshimiwa wazirii maeneo ya huduma nii kidogo kwa kwetuu

  • @zenj1986
    @zenj1986 3 ปีที่แล้ว

    Kwao hapakaliki kwa corona na wameona wasife wao tu na sie watuchukue japo kidogo. Kwaivo kuweni makini. Na pia wanatembea na chupi tu huku mitaani.

  • @mursalsaid3327
    @mursalsaid3327 3 ปีที่แล้ว

    Sio sababu kuja wageni wengi tatizo utoaji wa huduma Na ufinyu

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +1

    Ushamba tu pesa mumekula sasa corona hamuiogopi mutatuuwa Iboda ya nani hashuo tu wanakimbia kwao na nyie munawapokea kwa Tamaa mbaya jamani hichi kisiwa wote viongozi wevi

    • @VORTEXAF
      @VORTEXAF 3 ปีที่แล้ว

      Na uwanja wa ndege wa pemba uitwe uwanja wa Seif Sharif Hamad

  • @3kings63
    @3kings63 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni tatizo Zanzibar waziri yeye ana ambiwa afuatili
    Eneo la tukio badala awe na majibu yeye anauliza maswali mengi tuu

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 ปีที่แล้ว

    Mwanzo ooh ndege haziwezi kutuwa 7bu uwanja mdogo ndege zetu kubwa ss hv zimeshakuwa zinatuwa sasa hizo ndege zishakuwa ndogo kwa maradhi ya Corona au wamekuja kuambukiza tu?

  • @smithjones4099
    @smithjones4099 3 ปีที่แล้ว

    kuna utalii na corona hii acheni tamaa magonjwa matupu munaletewa

  • @abujunaidi3354
    @abujunaidi3354 3 ปีที่แล้ว

    Msichochanganka mda wa sasa wa corona zanzibar itakuwa maskini huu ndio.mda wakutengeneza pesa

  • @ibnhassan9980
    @ibnhassan9980 3 ปีที่แล้ว

    msiba huo

  • @alimsabah4921
    @alimsabah4921 3 ปีที่แล้ว +1

    Wenzet wameshapata chanjo ao na soko lao kuu la chinjo ni Africa

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 3 ปีที่แล้ว

    Na ni kwa nini mpoteze muda ku zozana juu ya msongamano wakati mna ona wazi kuwa uwanja ni mdogo?
    Mki hamia uwanja mpya tatizo lita kwisha!

  • @moralistjack9626
    @moralistjack9626 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mntk mtutilie maradhi t, semen n tamaa zenu, maradh yakiingia hayachagui ndie wl sie tn ytawaanz nyie hpo mliop krb n watalii

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว

      Nduguzagu wa zanzibar lockdown country Corona true no jock

  • @nassirkhalid428
    @nassirkhalid428 3 ปีที่แล้ว +1

    Wajatutia Corona tu hao

  • @zenj1986
    @zenj1986 3 ปีที่แล้ว

    Airport mpya ipo wapi?

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣ilikuwa siasa tu kutupiga changa la macho

    • @theroots2743
      @theroots2743 3 ปีที่แล้ว

      Air port mpya sefu gorila kaitia mfukoni na ukitaka kujua ombeni makaburi yafukuliwe

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 ปีที่แล้ว

    Engezeni wafanya kazi wa kutoa huduma za uhamiaji muajiri watu lakini manamgangania tu kutoa maelezo mabovu, unasema ndege zinakuja tu ikitoka hii hii wakat ivyo ndo inavyo takiwa katika viwanja vya kimataifa viwe ivo, ongezeni wafanya kazi JKT kawachukuweni na JKU waje wakae apo tatizo ni wafanya kazi na eneo mnalo jengo jipya lile mlitumie mnajifelisha wenyenu

  • @othmanawadh3964
    @othmanawadh3964 3 ปีที่แล้ว +1

    Tahazari muhimu nduguzangu

  • @hawahawa7484
    @hawahawa7484 3 ปีที่แล้ว

    Corona looding zanj

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 3 ปีที่แล้ว

    Mngejipanga ndio mkatekeleza

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo ongezeni exist way nyingi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wengine wanakuja kusambaza ukimwi to na marazi yasiojulikana ila na nyie serekali akili zenu kama misukule sasa hilo banda mulolijenga mbona hamlitumii pumbav kweli munawaweka hapo pana joto kama bekar

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 ปีที่แล้ว

    Hao watalii vishuka wana Agender maalum. Kueneza korona na kuuza drugs

  • @jumasafi2635
    @jumasafi2635 3 ปีที่แล้ว

    👏

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 ปีที่แล้ว

    Hawa waganda wanakuja kufanya nini hapo uhamiaji.huyu jamaa ni Myaruanda dubhanallah

  • @SaraSara-tb2lm
    @SaraSara-tb2lm 3 ปีที่แล้ว

    They dont even wear masks

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 3 ปีที่แล้ว

    Nyie mlioko ulaya msituzingueee hakuna korona huku na propaganda zenuuuu kaeni huko huko msije bas wacha wa russian na polish waje tuneemeke wauza matundaaa

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 ปีที่แล้ว

    Ukenda dubai ndege zinatua masaa 24 na uhudumu mzuri sasa nyie sio sababu ya kisema ndege zinakuja bila ya mpangilio ikitoka hii hii, hivyo ndo inavyo takiwa ndo panapo onekanwa utalii kupanda zaid, sema labda eneo dogo mnalo litumia mana ilo eneo jengine mlonalo manalifuga, na tatizo jengine wafanya kazi wa uhamiaji kidogo ilo ndo tatizo kubwa msitoe sababu nyengine

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 ปีที่แล้ว

    Air port mpya anasubiriwa sheni na sefu gorila wakaifunguwe

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 ปีที่แล้ว

    Mfumo uwo wanatumia bara kwa kuwa wao wafanya kazi wamejitosheleza sio nyie muko wachache mbona na eneo lenu dogo hem fungueni lile jengine mnalionesha tu kwenye mitandao tuone mukija lifungua ao watalii wasongamane lakini pia Muajiri sio mufungue eneo tu