Ma sha Allah ta baraka rahmane this biscuits looks yummy, thank you very Aroma Of Zanzibar much for charing all these yummy recipes with us , jazaka Allah khayran 😍💖💓 .
@@mansourahtwaha7663 Madua ya kawaida tu kaulize corn flour au corn starch unatumika sana nimweka picha kwenye channel yangu sehemu ya community utaona
I'm so much in love with you Aroma of Zanzibar you never lets use down..... Please if you want to know how to Cook make sure to watch all the videos from Aroma Zanzibar she's the best......
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/LhHQXUMzJcc/w-d-xo.html
M
Aanh asant sana
Shukran. Allahy bareek. Eid Mubarak
Amin kwetu sote 🙏🏽😘
I made these today. MashaAllah the name of the cookies is spot on. I love them a lot. It’s going to be Eid ritual. Thank you for the recipe
My pleasure 😊 Eid Mubarak
MashAllah
Thank you so much for such an easy recipe to follow, I made these, they turned out so good, really appreciate it❤️
My pleasure 😊
So beautiful my boss lady Ma Sha Allah 🥰🥰🥰🥰
🤗 Thank you dear
Shukran sis
Shukran
Shukran kwa mapishi mazuri
Shukran daa
Mashaallah tabaraka Rahman Ahsante sana...
nilikosa sukari ya unga ila nilitumia ya kawaida na matokeo yalikua mazuri 🔥🔥🔥🔥🔥 thank you so much for your helpful video 🔥🔥🔥🔥🍴🍴🍴🍴
Hongera !
Shukran shukran habbty 😋😋😋
Maa shaa Allah thanks dear
habibty kama huna unga wa corn flour sio lazima ama vipi?
Ungwa wa corn flour ni lazima ndio unalainisha hivyo vileja
Am proud of u my dear thanks alot to share with us ur talent love u🥳
So nice of you
Naweza kupata recipe nzuri ya vileja vya mafuta au Samli? Ahsante.
Kwa wakati huu sina dear
MashaAllah hii huwa haikosi kwa Idd nayo ....Lv mom lazima Aipike fathihia
Shukran !!!vzr mashallah
Jazzaka Allah kheri habibty Eid Mubarak 2
All the best for a bright future! May there be a success at every turn of life and all your dreams come true!
JazakaAllah kher aunt❣🥰
Eid Mubaraq in advance
Mashallah, nice to see you here
kikombe sawa na grams ngapi?
120 grams
Ma shaa Allah hunga baya
Thanks
Welcome!
Mashallah I love your unity in these colabos Keet it up Allah Ibarik
Thank you so much 😊
The recipe turned out so well and ofcoz meet the purpose of the name, melting moments. Thnx for sharing this recipe.
Glad you liked it
Mashaallah nitafanya vya eid inshaallah shukran sana kwa mapishi🥰
Ahsante barikiwa mnoo
Mashlh nimejaribu hy tamu na lain sanaa
Shukran will prepare them for coffee
Most welcome 😊
MashaAllah, i shall definitely try this❤😘
Inshallah!
Eid Mubarak dear asante nimependa sana
Ahsante sana
Ahsante sana mambo yetu hayo Zanzibar Allah akufanyie wepesi katika shughuli zako
Amin kwetu sote, shukran
Mashallah
Leo wa mwanzo thanks habibty Allah barik
Thank you darling!
Unga wa mchele unaolewa kutwa kama wa vitumbua au vipi naweza kuandaa unga wa mchele mwenyew
@@zabibunandoro2953 kuandaa unga wa mchele una roweka kiasi masaa 6 hivi halafu unakausha kwenye jua halafu unasaga.kupata unga
Thanks dear
Welcome 😊
mashaallah very nice habibty😋😘👌🏻
Shukran
Shukran 4 the recipe
Most welcome
Thanx
Welcome
Maa shaa Allah
Ma sha Allah ta baraka rahmane this biscuits looks yummy, thank you very Aroma Of Zanzibar much for charing all these yummy recipes with us , jazaka Allah khayran 😍💖💓 .
It's my pleasure
Dada najivunia kupata mafunzo yako mm nimdau wako mkubwa lakini hufaham hilo Allah akujaalie Afya njema ishaallah
Amin ya Rabb
Mashaallah
MashaAllah Allah yubaarik hbbty😍😍😍 2meanglia vdeo zko nyng mpk lil sistr wng akipik k2 mwsho anaiga vle unavyosm ww mwsh wa kla vdeo ( kw mapsh zaid krbn aroma v znz) 😉 , nwy i lov half moon cookies😊
Thank you so much, that must be so adorable, thank you so much for the love and support. Hope you enjoy the cookies. Eid Mubarak!
@@aromaofzanzibar yeaah i enjoyd aloooooot , n u 2 thanxxx😍😘
mashaallah
mashaaallaaaaaaah
Assalam allaykum kipenzi changu naomba unijulishe huo unga wa cony fraw ni unga wa haina gani? nijuze kwa kiswahili
Ni unga wa.mahindi lakini ni mweu na olaini Sana Kama.podari
Shukrani sanaa' kipenzi mungu akujaalie afya njema
Unauzwa madukani spesheli au?
@@mansourahtwaha7663 Madua ya kawaida tu kaulize corn flour au corn starch unatumika sana nimweka picha kwenye channel yangu sehemu ya community utaona
Asante my dear
You are welcome
Habr ya ww mashaallah kwa ricipe lakin ulitumia siagi ya aina gani
Aleikum musalaam nafkiri almarasiagi za arabuni
Kama sina corn starch naweza tumia unga gani badala yke?
Hamna hiyo corn starch ndio inafanya viwe laini
@@aromaofzanzibar ooh ok
Mashallah 🥰
Ma shaa Allah yummy 😋
Mashaa Allah👌🏻
Ahsante dada yangu
N lazim kueka corn flour au
Ndio dear, hiyo ndio inafanya vileja vi mumunyike
Huweki mayai??
Nimeeleza vyote na kuandika
Moto unatumia vipi?
Mbona nimeeleza hapo 350f/176c kwa dakika.12 mpka 14
MASHALLAH looks yummy 😋
Thank you 😊
do u put baking power?
Haxitiwi baking powder
Haitiwi ndio maana sijaeleza hicho kitu
@@aromaofzanzibar thnx
I'm so much in love with you Aroma of Zanzibar you never lets use down.....
Please if you want to know how to Cook make sure to watch all the videos from Aroma Zanzibar she's the best......
Thank you for your love and support !
Looks so tasty 😋
It was!
😍😘
Samahan naomba kuuliza iyo corn stach ndio unga wa mahindi au
Ndio ni uwanga wa mahindi ni mwepesi kama pdari
Big Collabo
Shukraaan
Kwako pia twakutakia idd njema
Ahsante sana
ni bilauliii 2naitaa😂😂😂😂
Ahsante sana, hilo neno sijalisikia miaka!
Yai hiweki au sijackia vizur 🤔
Hapana dear hamna yai himo kama nilivyo onyesha
Mashallah