Ngojeni muone hii song ita blow..... Iv been listening to it from release date till now...... And I know kuna day ita blow.... Waiting for that day so I can laugh at all ur faces for not having appreciated pure talent.... Niachie like if y believe so
(LYRICS) Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman Yoh nikibuy Vodka Whiskey ndo chaser Kuna line flani Munga nadai kurudia tena Nina deng'a kwa vip Rashid Echesa Hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na teller Mresh ameoga na haringi Naitwanga rasta mi sina ya bingii Corona virus na siko China Man nimekam thru na a simple like man Ulinifanya nithrive Nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme Nilikupenda sana btw thanks After kukuwa my partner in chrime Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman Mashallah girl you always on my mind You always on my mind You're beautiful smooth and kind Girl ukismile unakaa so fine Na mpenzi makerubi kaumbika amejaza Kama toil mwisho wa mwezi Ayaya I hate and I love When you drive me crazy Cheza chini mama we si namble we si razy Hananga maringo ako Kaloleni Hata umpeleke City Stadi si mchezi Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman Mashallah girl you always on my mind You always on my mind You're beautiful smooth and kind Ma ukismile unakaa so fine Mpenzi makerubi kaumbika amejaza Kama toil mwisho wa mwezi Ayaya I hate and I love When you drive me crazy Cheza chini mama we si namble we si razy Hananga maringo ako Kaloleni Hata umpeleke City Stadi si mchezi Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance We zirushe hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman
Yo, Niki buy vodka whiskey ndiyo chaser, Kuna line fulani Munga nafaa kurudia tena Nina ndeny'a kwa VP, Rashid Echesa, *Hii ndio line siwezi kua m cooperative na tellers* _Relative wa Sule_ Maana fiche kibao ukichambua mistari. Track ata ikiisha hapa imetesa mbaya... 🇰🇪💯🌍🔥
@@SirBwoybro, #IkoNini representing here, I love the track. You have a special gift of singing...hebu try the rap-singing, itabreak more barrier. Sorry I slept on the track.
MAFANS BADO MPOOO???
Rende ni Rong Kama kawa , Big Up Ares 66
Noma noma iko fine 🔥💯
TUPOOO!!!
Tupoooo
Tupooo
No way this hit was released three years ago but it feels new today. Domani is the goat buana
I just heard it today too..🤷♂️..
it's it was released weeks ago💥💯@@giegor28
I heard it last week and I had to look for it
🐐🐐
Goated
Siwezi kua mCo-operative na Tellers 🔥 🔥 🔥
#NdiziFlowCeo
Mafans bado tuko 😂😂anyone in 2024
Siku zote ....mbogi RR
Maproso ashamtenda bro 😂😂😂
Leo nimefika mapema...rende ni rong..nipeeni likes maguys if you agree..💪🏾💪🏾
Hio hook ni crazy!!!
Always 👌🇰🇪
Sanaaaa joh 💯💯
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Doch umenibambishia ghatt leo adi siamini. On heavy rotation . bless 🔥🔥🔥
Ngojeni muone hii song ita blow..... Iv been listening to it from release date till now...... And I know kuna day ita blow.... Waiting for that day so I can laugh at all ur faces for not having appreciated pure talent.... Niachie like if y believe so
Ulisemaaa
Now you can die in peace😂
Its already blowing pale ticktok
Its already blowing pale ticktok
(LYRICS)
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman
Yoh nikibuy Vodka Whiskey ndo chaser
Kuna line flani Munga nadai kurudia tena
Nina deng'a kwa vip Rashid Echesa
Hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na teller
Mresh ameoga na haringi
Naitwanga rasta mi sina ya bingii
Corona virus na siko China
Man nimekam thru na a simple like man
Ulinifanya nithrive
Nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme
Nilikupenda sana btw thanks
After kukuwa my partner in chrime
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman
Mashallah girl you always on my mind
You always on my mind
You're beautiful smooth and kind
Girl ukismile unakaa so fine
Na mpenzi makerubi kaumbika amejaza
Kama toil mwisho wa mwezi
Ayaya I hate and I love When you drive me crazy
Cheza chini mama we si namble we si razy
Hananga maringo ako Kaloleni
Hata umpeleke City Stadi si mchezi
Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman
Mashallah girl you always on my mind
You always on my mind
You're beautiful smooth and kind
Ma ukismile unakaa so fine
Mpenzi makerubi kaumbika amejaza
Kama toil mwisho wa mwezi
Ayaya I hate and I love
When you drive me crazy
Cheza chini mama we si namble we si razy
Hananga maringo ako Kaloleni
Hata umpeleke City Stadi si mchezi
Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman
Tupoo🎉
ni rezi
Masterpiece
Umejaribu kufinya translate
Translation killed it 😂
Nkiseti kidom napenda kuskiza e dobba..diaspora representing..ZOZA
🔥
🔥🔥🔥
Coro na virus na siko China _Domani 2020.
Yo,
Niki buy vodka whiskey ndiyo chaser,
Kuna line fulani Munga nafaa kurudia tena
Nina ndeny'a kwa VP, Rashid Echesa,
*Hii ndio line siwezi kua m cooperative na tellers*
_Relative wa Sule_
Maana fiche kibao ukichambua mistari.
Track ata ikiisha hapa imetesa mbaya...
🇰🇪💯🌍🔥
Still Rende ni RoNg.....ka imeweza likes zikam
Kama bizmike amekufikisha huku gonga like 😂 he has brought this masterpiece back to life.😊
bizmike brought me here
Domani Fundi wa mahook 💥💥💥
....ata ka ni mbali ntaenda....kila kitu chako napenda💃🏾💃🏾🎶
Even gangsters fall in love👊💯
I learnt of this song today from TikTok 😩😩😩kumbe si mpya,aargh najichukia kutojua hii banger 😮
Dont worry wakadinali is eternal
hii itazoza hadi next next generations 🔥
Moto Ka kaa,
Hii tunabeba mafame wa geti Kali bila motokaa🔥🔥🔥
Dosh
Rende ni Rong.....Respect Munga
April 5 2024 still vibing🎯🔥🔥🔥🔥🙌
May 4th 2024 Vibes on vibes🙌🙌🔥🔥🔥🔥
June 2024
December 2024🥷🥷
Hii ndio inahit sai kumbe usidharau kitu unafanya ❤
Domani Mkadinali Ni Genius wa Mziki wajanja wanajua mbona 💯💯🔥🚀🇰🇪
Wakadinali walishahit but bado tunaendelea kuwadiscover💯⚡
Mad Munga hiyo hook msee hariii💯🙌🏿
@sir_boy na verse imeenda shulr🙌🏿💯💥💥
munga domani ndo King wa Hip Hop, chorus master Aki rap wanapotea
nikibuy vodka whisky ndio chesaby moseso munga mkadinali 🔥❤🔥🔥
wowowowowowowowo *8 hits to a certain level ,,naimix na full chorus lyrics naFUNGA TU MACHOMIMI KA FAN bado na ntaishi kuwa NIPO
Jooooh wakadinali mih huwanda ju huwa mnanilipulia jaba mbaya...big joh its your namba one fun 👊👊
Nina ndenga kwa v.p rashid ndio chaser 🔥🔥
HOW I NEVER HEARD THIS SONG AND AYAM A WAKADINALI STAN IS CRIMINAL 😭😭😭 DOMANI IS GOATED!!!
I swear I had heard this jam before🔥🔥
@@GLADYSNYAMBURA first heard it on someone's insta story I thought it was a tune !
#Rende ni rong,Munga!💯👊
F1rst time listening na nimependa sana
Mad munga deserves a grammy,piga like kama unataka afanye remix
Noma ..,..Maaaaad Mungaaa
🔥🔥🔥 mafans bado tuppo
MAD MUNGA
"Blow me kisses which ever distance ata Kama mbali ntaenda...." Iyo chorus Ni faya🔥🔥🔥🔥
Hooks zake zooote🔥🔥🔥
🔥
Bana
0:42 ".../Siwezi kua mCo-operative na Tellers/..." 🙌🏾🔥
“Hii ndio line sidai kurudia tena”🎶 like alikuwa amepanga line for longe before 😂😂Dosh ni mziii👊🏾🔥🔥🔥
No way this is blowing up now on TikTok 😮 kweli ‘ munga’s revenge album so underrated 😮💨🤧kutoka hits like umoroto na geri inengi
Doch 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥bro I respect your craft.....hii knowledge inaeza tibu corona
Ati ni ki buy vodka whisky ndio chaser 😮❤❤
Hii ndio ngoma kali sana sana sana.....hii ni ile ngoma imetoka deep in the deepest part of musical man
Wangapi wameskia hii ngoma juzi juzi?😂
Ndimi mimi😂😂
@@edwinmaywa 🤣🤣
@@mrkonskilofficial silent killer song
Uko peke yako mse🤣🤣
Wakadinali fake fans 😒😒😒
Wakadinali Future Music ni yenyu Mabro mko on🔥
Hao watu wadislike walipewa kisses wakakosa kuzifikia...... 💯💯ngoma imekubali
🔥
😂😂😂 Exactly......This song is so Catchy❤ and i love it
King of word player 254 @domani 🔥🔥😎
Mungaaaaaaaaa kumamae,,,kwa hiii game hakuna mzing kawewe,,,,Blow me kisses ni kama ya Jana,,,big up Domani
That chorus makes me smile!
🔥
@@SirBwoybro, #IkoNini representing here, I love the track. You have a special gift of singing...hebu try the rap-singing, itabreak more barrier. Sorry I slept on the track.
@@DonKhalifah th-cam.com/users/results?search_query=sirbwoy
Ni mbaaaaaayyyyaaaa
Mad munga ❌💯✊🏿
Fire extinguishers ziko wapi 😢😢🔥🔥🔥🔥🔥🧯🧯
Big chune... 👊 👊
nawaza mbona naipenda💥💥💥💥💥💯💯
Ata ka ni mbali ntaenda ❤
Saa hii ndio inatrend tiktok kweli vile scar alisema ngoma za wakadinali ni fine wine it gets better with time💯🔥💗💗
Very laid back.
moto 🚀
Nimefika🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥munga
Domani never disappoint..three yrs but still fresh.. 🔥 🔥
Daah! Hii nyimbo mbona nzuri hivi, nauskiza Kila siku...wakenya mlibarikiwa na #wakadinali nawaomba msiwasahau ata kidogo
Mashalla ngoma iko fine 🔥💯
Kwani kenya hamupendi ngoma kali hii ngona inafaa kua na views 2mill and above
The day my wife left to go back home from dubai with my kids…
It’s when I recall this song…Blow me kisses to my wife and kids ❤❤❤❤❤
tupooooooo.....Doshan baddest in Afrika....kapingane na Chief wenyu!!!!
Domani ako talented
I love him when he sings
Mpee basi
This is one of the best banger to ever be made....Mad respect to Munga and Sir Bwoy
scar pekee ndo anamiss kwa hii ngoma
You had to😂
umesa sywer
THIS is what we call KENYAN MADE music,, muko lit
🔥
Team Domani mko wapi..❤️🔥🔥🔥
Hananga maringo ako Kaloleni
Hata umpeleke City Stadi si mchezi💥💥💥💥
Played this for my crush now she's my wife
Congrats 🎉🎉 bro💪
💯
Blow me this lyrics we zirushe Mimi na wewe tunaenda mbali. Munga my all time❤
Doshiiiiii🔥🔥🔥🔥 This G love song is Underrated
Munga still king
2024 Bado Representing from Quebec Canada 🇨🇦 🍁
Toopp ,,Munga mtaalam wa Sanaa Heshima 🇰🇪#limitless
Deep song inashinda song mingi zenye surprisingly zinatrend
Pure class my #G class is permanent,
Koro na virus na siko china 😂🙌🏾🙌🏾
Nikibuy vodka ,whisky ndo chaser! #Munga
Munga the Don ,,,,keep it up bro man
Ata Nimpeleke City Stady SiMcheziii
Combo of Oldschool bongo and a touch of Wakadinali= 🔥🔥🔥🔥
Niule fan waCoast Bamburi hadi Umoja Peacock. #Saaafiiiiii
Poetry On Another Level🎨🖼🔥🔥🔥
Bado naicheza mpaka leo G!!
wait am i the only one surprised this hit from 2020??? aaaah these guys are living the future
Domani munga always 💯💯 wynnisrael😈 seeh dat!
Nimefika late aje apa!!!!
Mashaaalha best na chrome ndio Cheser
I slept on this track and I honestly have to say I regret for that... It's pure heat 🙌💯🔥 🔥
Tush mkadinali yupo 🎉
Munga kwa Hooks
2upo kama ibada.nice hit🦿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Munga hook king 👑
Watajuaje tunapenda kuzozaa🍁
This saved my life
Aki this song ndio naskia for the first time ❤❤❤ni motoo baby wangu alinidexix 😊❤
If anyone wants the best song he MUST have Madafakin Munga in his HOOK.... Man's so unreal
domani munga the king ..... nakuanga nimekurank champee