🔴🅻🅸🆅🅴 : SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || MCH. DAVID MMBAGA - SIKU 6

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 12

  • @asinathmayemba2054
    @asinathmayemba2054 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu anibariki mwaka huu niwe na mafanikio kwenye kazi, pamoja na afya yangu kwa viwago vya juu kabisa.

  • @kelvinkisaka97
    @kelvinkisaka97 22 วันที่ผ่านมา +1

    Aminaaa

  • @BethaMwiko
    @BethaMwiko 21 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa na masomo haya bwana atukuzwe anifundishe kuomba namomba anipatie hekima ndani ya huu mwaka nk

  • @NeemaLuziga
    @NeemaLuziga 21 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa sana mchungaji

  • @SinyatimaburekisiokiMabure
    @SinyatimaburekisiokiMabure 21 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa sana na mahubiri haya , Alex Yona elirehema nipo monduli

  • @AlinotiKashindi
    @AlinotiKashindi 21 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @SuzanaMbwambo
    @SuzanaMbwambo 21 วันที่ผ่านมา

    Amina,

  • @paulinekwamboka9938
    @paulinekwamboka9938 21 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa kutoka Kenya naomba maombi nipate fedha ya kupeleka mwanangu shuleni Mungu afungue njia ya fedha na kupata visa ya familia yeti yote asante

  • @marthajames-fn7nm
    @marthajames-fn7nm 21 วันที่ผ่านมา

    💪

  • @elphinemirambo9574
    @elphinemirambo9574 22 วันที่ผ่านมา

    Pray for my recovery and also my parents.Amen

  • @RachaelMasunga
    @RachaelMasunga 21 วันที่ผ่านมา

    Naitwa Rachel kutoka singida nafanya marudio ya masomo haya naitwa nguvu, Mungu nipe nguvu ya kumalizia ujenzi wa nyumba.

  • @irenewaluse5074
    @irenewaluse5074 21 วันที่ผ่านมา

    Niombee mtoto wangu wa kwanza apone anaumwa degedege yapata miaka 4 pia kurejesha amani kwenye ndoa yangu Mme wangu aache pombe