ULIZA UJIBIWE 24

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 ปีที่แล้ว +3

    Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 ปีที่แล้ว

    Asalk warahatuallh wabarakatuh mm ninaswali shekhe wetu mm ninatabia ya kupenda kusikiza mawaitdha huku nimeshika tasibii jee inafaa

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 ปีที่แล้ว

    Umesema kweli moto utaingia watu wengi sana ya Allah tunusuru ya Rabb

  • @sureboy6040
    @sureboy6040 ปีที่แล้ว

    SubhanaAllah certificate ya form 4 na dini wapi na wapi...mtihani wallah

  • @aminamohamed763
    @aminamohamed763 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
    Sheikh nauliza je mke anaweza kumswalisha mume wake swala yoyote ( faradhi ama Sunnah)?

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  ปีที่แล้ว +2

      w lekum salam hawezi nawala swala ya mume haitaswihi akimfuta mkewe.

  • @ismailmustafa4553
    @ismailmustafa4553 ปีที่แล้ว

    Sheh naomba unifahamishe ju ya kusafiri ya muqiim namusaitir je nimeondoka kabla ya wakti ya sala na public trans wakti imefika hali bado Niko kwa safari siwezi kusimamisha dereva sikubaliwi jam'u wala kasri nifanyeje ? Naomba jibu hapa hapa tafadhali

    • @AliMohamed-pj1sb
      @AliMohamed-pj1sb 9 หลายเดือนก่อน

      Ukifikaa kailipee swala kamili