DR. MO AUNGANA NA AHMED ALLY KUCHANGIA KULIPA FAINI YA MILION 100 CAF, PESA ZIKIBAKI APEWE KAGOMA😂

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 9

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe mnyama Iko hv ktk mazur na mabaya yanaambatana

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashabiki wa sfaxien waliovaa jezi za Simba na kuvunja viti Wana laana

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa wale wa kuiga nao wataiga sjui au itakuwa fungulia dogi

  • @petershokolo9894
    @petershokolo9894 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi naunga mkono wazo la kuchangia ila pia napendekeza tiketi ziuzwe tu halafu tusiende uwanjani sawa na adhabu

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    amefungwa tena

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Limetupata tumelipokea

  • @abdulrahmansheriff9469
    @abdulrahmansheriff9469 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    DR MO tafadhali tusitafute adhabu nyingine, sisi mashabiki haturuhusiwi kuwa karibu na Benjamin Mkapa lazima tuwe mbali sana, ulizeni Msemaji wetu umbali gani haytutakiwi kuwa karibu na Mkapa?

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    amefungwa tena