Nyinyi guys wenye tuko kenya ama popote,ukitumiwa pesa na hawa watu wakujituma kwa waarabu,aki acheni kuharibu tafadhali,juu hizi pesa wanapata kwa mateso mingi,aki heri angenjenga nyumba ama na anunue shamba,,then afungue biashara akae vizuri na mtoi wake,kuna watu hawajipendi aki😮😮😮,ten millions waaah
Aggie b ambia daudi ache mdomo mdomo daktari afanye kàzi yake then daktari akiwaabia kitu msikuje kuwaambia kitu kiwarambe wenyewe lazima vitu za daudi zirundi
Waaaah daudi apewe PESA zake tu kiroho Safi
Usipo funzwa na wazazi utafunzwa na ulimwengu
Huyo wa kiburi daktari amuwekee mkia na ngombe kiburi iishe
Wah haki ya daudi ipatikane
Alaf daudi punguza kuongea sana bro dactari atafanya mambo yake pole pole ❤
Anaongea sana
Hizo nyumba wamenjengea wazazi wao .wazazi wabomoe wauze material warudishe Pesa za wenyewe
Daudi usiurumie mtu hadi upewe mali yako😢😢😢
Hzo shanga anamuonyesha nani sasa
Director director nimekuita mara ngapi ukiwa nyuma ya camera ufai kuongea please unaharibu show please please
Ni machungu aki kumbuka ata yeye alisafishwa tu hivyo na adi yake
Pembe iko wapi am waiting angie
😢😢😢😢😢😢kimeumana sasa kiburi c poa jamani
Pole sana kakangu
Justice for daudi
Nyinyi guys wenye tuko kenya ama popote,ukitumiwa pesa na hawa watu wakujituma kwa waarabu,aki acheni kuharibu tafadhali,juu hizi pesa wanapata kwa mateso mingi,aki heri angenjenga nyumba ama na anunue shamba,,then afungue biashara akae vizuri na mtoi wake,kuna watu hawajipendi aki😮😮😮,ten millions waaah
Angie lasi.a Daudi hapate justice
We need justice
Huyu kahamba amejifunga nini😮😮
I think n uganga
G tafuta nguo za kuvaa vzr sasa umevaaje Ivo
Aggie b ambia daudi ache mdomo mdomo daktari afanye kàzi yake then daktari akiwaabia kitu msikuje kuwaambia kitu kiwarambe wenyewe lazima vitu za daudi zirundi
That's the repercussion of not being faithful to ur pattern
Daudi unaongea sana una boooo kweli
Hutu chali anaongea sana tulia kidogo
Mfalme ndo director
😂😂😂
Hyo pesa ni mingi pa a daudi hapate pesa yke pls
Angie b mbona hatuoni kitu
Justice for Daudi😢
Daudi arudishiwe mali yake yote
Anadance vizuri 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Pesa yoko David n mingi san usiwachezee hawa
Hiyo n suruaru imefungwa na kamba
Warudishe mali then wakaringe na cucumber zao😂😂
Huyu dem alimfanyia uganga huyu David ili asiwaze hata mzazi wake
Mfalme nyamazavhufai kuongea ukiwa camera man
Huyu mama aede aulize wakina Sasha na wanganga wake 😂
Angie b pigiya dactari simu
Mwanda wazimu ana viatu😂😂😂
Ati hebu wake jamani kwani waume waliishia hoi kenya😂
Acha muone vile uyu mganga atakufa kma wa aunty Mfalme kitamramba na doo msichana utatowa
Daudi tafuta wazazi wa hao dem wajionee, kwa macho, pesa utapewa haraka sana
Dah
Daudi nikuulize ulikosa muschana wakisilamu uowe hii nikama adhabu,wasichana wakisilamu niwengi munajiharibia,nakujipotezea mda
Hii ya red huku nyumba nini
Huyu Malaya Ako na kiburi aki😂😂😂😂😂
Apo daudi apewe haki yke
😂😂😂😂 mambo imechemka
Iyo dj afro iko sawa 😂😂 daudi utapata Mali yako daktari akiwa
Lazma Daudi apate haki yake
Huyo wakiburi anafaa mkia wa mbuzi ndio itamkomesha kiburi
😢😢😢
Iyo ya red Iko nyuma ni nn
Dakitari indoors 😂😂
Mganga mwenyewe anakaa fukara better our Daktari😅
Wadau c mnishw hiyo panty tatiana inaitwaje😅
Awekewe mkia ya mbuzi
Aki ya dunia malipo ni hapa tu
Na bado ako na nguvu ya kusema nitakungoka, daudi wewe pumua sasa unaona hopes.
Anakuja kumsaidia Nini badala amwambie katiana waregeshe pesa ya Daudi
Huyu mwingine pia nwonyeshe pia arudishe pesa zote
Hii ni maajabu jesooo😂😂😂
Huyu angemea pembe kubwa mara moja pia
Ata huyu mganga amekula Pesa ya daudi
Kimemrambaaaa😅😅😅😅
Naskia sauti ya mfalme ama ata mimi naguruka
Yes , Mfalme present
Mfalme yupi
Yeah ni mfalme ndio director😊
Mfalme ndio director
Boy child arudishiwe mali yake, na hiki kisichana kimee miguu ya mende
Uyu mwengine aekewe mkia wa kondoo😂
Lazma daudi apate haki yake
🤔🤔🤔🤔
Na amefunga nini kwa kiuno,,,,,😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅na hyo kitu ya red ni cow boy ama
Uchawi zake😂
N ngota ama kata mukundu😂😂😂😂😂😂
𝐌𝐟𝐚𝐥𝐦𝐞 𝐬𝐢 𝐮𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞 𝐮𝐲𝐨 𝐝𝐞𝐦 𝐜𝐡𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐤𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚😂😂
Usipo sikie lamkuu huvujika nguu
Weeh
Mfàlme ako... uko aje mfalme
Actors 😂😂 eehh bana
😂😂😂 uongo Iko hii kenya
Ilifaa uwekee bibi yako miguu ya punda ndio arudishe haraka
😂😂😂😂😂😂aposasa
Okweli inauma pesa anapeleka kwa mganga na wanaume
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂