HANS RAFAEL AWACHOMOLEA BETRI YANGA KIMATAIFA/ KUCHEZA FAINALI NI NDOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

ความคิดเห็น • 75

  • @kajorotz.4058
    @kajorotz.4058 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Crown FM for LIFE

  • @harunadaaprincesaidi5522
    @harunadaaprincesaidi5522 วันที่ผ่านมา +11

    Huyu hans nadhani ndiyo mchambuzi bora Duniani 🙌

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂kamzid mwaduke

  • @RazakiMatochi
    @RazakiMatochi วันที่ผ่านมา +3

    Uchambuza uliotukuka kazi nzuri sana wachambuzi Crown Media iko poa sana.

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili วันที่ผ่านมา +3

    Hatuogopi lolote lililo mbele yetu,kila timu tuliyopangiwa nayo lazima ionje umauti wa magori .,Daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 วันที่ผ่านมา +2

    Nashauri mje na Recap ya nyimbo ya Goodluck Gozbert- Bado pia muuluzeni kwanini hatumii acaunt ya Goodluck Gozbert- anatumia Gozbert-ministry inayopelekea nyimbo zake kuto zunguka kwa ukubwa kwenye platform kulinganisha na ukubwa nyimbo

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 วันที่ผ่านมา +4

    Yanga VS mazembe will pass through team nzuri.

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 วันที่ผ่านมา +9

    Kundi hili Yanga aache kiburi.Wajiandae na wapambane kweli kweli.Hili kundi yeyote anaweza kupenya kwenda 'last 8'.Kwa upande wangu kundi hili nasubiri kuenjoy football maana hakuna mechi nyepesi hata moja.

    • @mitanakadorho2356
      @mitanakadorho2356 วันที่ผ่านมา +1

      Maoni yako ni sahihi kabisa

    • @frayy5595
      @frayy5595 วันที่ผ่านมา

      Kwa kwelii apa ni kukaza kila kitu sio mchezoo

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 วันที่ผ่านมา

      ​@@frayy5595haswa tusubiri kuinjoy

  • @godfreylukanga-l1p
    @godfreylukanga-l1p วันที่ผ่านมา +1

    Unajuwa sana mwamba

  • @monelayongola419
    @monelayongola419 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani hapo kwa kuwataja DUBE , CHAMA , ABUYA na BALEKE kwahawa umefeli. Hakuna wachezaji hapo. Ni ilimradi wachezaji lkn sio wachezaji Bora. Wote hao Ni maproo waliokua wanaochezaa humhum. Ni uhaba wa pesa ndio sababu ya Yanga kuwasajiri. Huwezi eti kuwatgmea hao eti kuivusha Yanga nusu fainali. Huo Ni uongo

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 วันที่ผ่านมา +3

    Hiyohiyo ndoto utaiona yanga fainali!

  • @AliJussa
    @AliJussa วันที่ผ่านมา +1

    Ki ukweli wachambuzi nyinyi humjui mnacho kiongea, hadi timu Kuingia Makundi jua hakuna mteremko, hivyo timu yoyote kuvuka makundi jua imekuwa bora zaidi, Yuko wapi Luanda?

  • @juniorquaye7971
    @juniorquaye7971 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna kundi gumu hapo hao wenyewe wanatujua vzur sisi 😂😂😂

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 วันที่ผ่านมา

      Waambie tena wanahanya huko waliko wanatuogopa 😂😂

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 วันที่ผ่านมา

    Safi crown

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 วันที่ผ่านมา +2

    Mm naona hizo bado ni timu za kawaida tu wala haina haja ya kumtisha mtani

  • @YusuphNalinga
    @YusuphNalinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu jamaa juma Ayo ni mkaidi ata approach yake Tu ya kuhoji anaonekana upande flan, taaluma haiko hvo Kaka badilika juma Ayo bro.

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani Yanga ni ile ile??

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula วันที่ผ่านมา +1

    Usiwadanganye waambie wajipange acha kuwapa watu ujinga utawaponza halafu huna history juu yao

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makolo hawapendi ukweli

  • @seifhilal9165
    @seifhilal9165 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado muda upo hadi tarehe 26/11/2024 Makocha wana Nafasi kubwa ya Kurekibisha Mambo kwenye vikosi vyao.

  • @DanielMayunga-f7d
    @DanielMayunga-f7d วันที่ผ่านมา

    Hans eee wewe unamawazo kama Mimi msimamo utakuwa ivi
    1 yanga
    2 mc Alger
    3 tp mazembe
    4 al hilal
    Niivotu Wala tusupepese macho aisee cronmedia mko vizur

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dk 8 mmemaliza uchambuz na yanga inapoint 6 za mazembe na 6 za hilal hme na mc alger hme Jmla 12. Kaen sas msubir dk 360 za mechi hzo 4 af mtaon yanga anapat point hzo au malilo?

  • @MaulidKipimo
    @MaulidKipimo วันที่ผ่านมา

    Hans atengw

  • @GeofreyLawrence
    @GeofreyLawrence วันที่ผ่านมา

    Simba wananafasi kubwa ya kufuzu benjamini mkapa simba anachukua point 9 zote

  • @josephatjosephat4269
    @josephatjosephat4269 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna ugumu hapo yanga robo uhakika

    • @FectoFeisal
      @FectoFeisal วันที่ผ่านมา

      Kweri dingi razima tutoboe

  • @JohnEugeni-f8m
    @JohnEugeni-f8m 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utopolo wanajidanganya wana timu Kali sana katika afrika😁😁😁

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msianze kusema wanaloga mara wanahonga mara vibonde hilo mlishikilie hvo hvo ,ila nachojua ni kwamba nafsi zenu ndo zinawambia hvo sababu ni wachache wanaotakianaga mema

  • @yokoi-u3g
    @yokoi-u3g วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hans una chekesha sana😢😢😢😢😢

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania วันที่ผ่านมา

    Kila timu hapo ni ngumu hazijafika kwa bahati mbaya.

  • @RamadhanAlly-i8o
    @RamadhanAlly-i8o 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    we huwezi wafundisha Yanga nn cha kufanya, tushawazoea nyinyi waandishi uchwara hua amielewekagi, timu inakuanzuri kabla haijacheza na yanga baada ya game utasikia sio ile hii imeshuka!

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yanga hawana uzoefu na michuano hii. Yanga Ni Tim changa yakuanzia mchujo wa awali. Nisahihi awafunde. Msikatae ushauri

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Saivi mnakiri kundi la Yanga gumu halafu Yanga akishaanzq kuchapa watu tano tano mnasema kapangwa na vibonde

  • @Peterkinanila
    @Peterkinanila วันที่ผ่านมา

    Muwakumbushe kabisa naizo kauli zao wasije kusema tim mbovu

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 วันที่ผ่านมา

    Hawana ubora wwte yanga wanakutana na timu siku imeamka vibaya.

  • @IssackJackson-r7k
    @IssackJackson-r7k 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    huyu has ana matatizo acha tuone anacho kiongea

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 วันที่ผ่านมา

    sasa Tukisema yanga ni underdog Tumekosea?

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 วันที่ผ่านมา

      Haijalishi tuwe underdog au underhen shughuli yetu wanaijua na tutawaonyesha.

  • @SaidiIduri
    @SaidiIduri วันที่ผ่านมา +1

    Mkude alicheza ile mechi kwa kujaza nafac hakuna alichofanya km unabisha rejea ule michezo utaona

    • @HazardMjeshi
      @HazardMjeshi วันที่ผ่านมา +1

      😂

    • @creedjey
      @creedjey 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bwana said, yanga walikua na majeruhi wangapi wa kikosi cha kwanza kwenye zile mechi mbili lazima mwalimu awe na game plan kulingana na kikosi chake

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 วันที่ผ่านมา

    YANGA ANAVUKA HAPO WALA TUSIDANGANYANE. QUALITY YA YANGA KWA SASA INAWAZIDI WOTE HAO WATATU. HATA KWENYE RANK ZA CAF HAPO NI MAZEMBE PEKEE NDIO ANAIZIDI YANGA AMBAE HUYO MAZEMBA HAWEZI IFUNGA YANGA.

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 วันที่ผ่านมา

      Hamna Quality yoyote wachambuzi uchwara ndiyo wanawajaza upepo subiri uone Mazembe aliyecheza unafikiri utapata Tena Ndondokela Uwanja wa Mazembe umerudi km zamani ukienda pale lazima ya uache point 3 utopolo 😂😂😂😂😂😂

  • @LinusKyando
    @LinusKyando วันที่ผ่านมา

    MANENO ya NDOTO YANGA KUFIKA FAINALI YANATUPELEKA MBALI

  • @amosraphael1969
    @amosraphael1969 วันที่ผ่านมา

    Hans mi nakuelewaga sana

  • @creedjey
    @creedjey 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata yanga kama siyo mizengwe angefika nusu fainali

    • @JohnEugeni-f8m
      @JohnEugeni-f8m 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nusu fainal hipi?
      Mnacheza na mamelod hamchez mpira mpaki bas nyumbanj na ugenini mnasubili kubahatisha!!!

    • @creedjey
      @creedjey 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@JohnEugeni-f8m mjomba club bingwa so show games, Al ahly anachukua ubingwa mwaka jana angalia record zake tangu makundi

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 วันที่ผ่านมา +1

    Mc ulger na tp mazembe wanasonga mbele aiseee

    • @T_Darius
      @T_Darius วันที่ผ่านมา

      Sio rahis kumtoa kabisa yanga

  • @LinusKyando
    @LinusKyando วันที่ผ่านมา

    KUSUBIRI MECHI ZA MWISHO HIYO NI KAZI YA SIMBA

  • @aimpaul7214
    @aimpaul7214 วันที่ผ่านมา

    Kisasi ni lazima na kufuzu sio ombi

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 วันที่ผ่านมา

    Badala ya kuchambua mpira wewe mwenye nguo au jezi ya blue unakuwa mshauri.

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 วันที่ผ่านมา

    Tip mazembe ni balaa kwanza ni wazoef yanga msijidanganye

    • @creedjey
      @creedjey 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uo uzoefu ndo alipigwa nje ndani yanga akaingia fainali federation na hapa wameuza wachezaji wengi na pia hawaruusiwi kusajili.

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tilipowapga in out hawakuwa wazoefu

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada วันที่ผ่านมา

    Utopolo shughuli yake imeishia hapa

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 วันที่ผ่านมา +1

      Tushawazoea huu ndio wimbo wenu hat mwak Jan mmeuimba sana nin kilimtokea shughuli yetu mliiona

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 วันที่ผ่านมา

    Hao walimfunga nabi sio gamondi

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani วันที่ผ่านมา +1

    Huyu kaka yeye ni shabiki wa yanga anawaza ujinga

  • @peterkandaya565
    @peterkandaya565 วันที่ผ่านมา

    UTOPOLO hana uwezo wa kuingia robo fainali mbili mfululizo tupo hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt วันที่ผ่านมา

    Hili kundi anafuzu mazembe na hilal ukitaka ni hivyo hutaki ni hivyo

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tutarajie nini zaidi ya maneno yako haya ya husuda kutoka kwako wewe Kolokwinyo tena ukiwa katika ubora wako na kugeuka kuwa mtabiri mganga wa kienyeji

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp วันที่ผ่านมา

    hans wa utopol🤣🤣🤣🤣

  • @DanielMayunga-f7d
    @DanielMayunga-f7d วันที่ผ่านมา

    Hans eee wewe unamawazo kama Mimi msimamo utakuwa ivi
    1 yanga
    2 mc Alger
    3 tp mazembe
    4 al hilal
    Niivotu Wala tusupepese macho aisee cronmedia mko vizur

  • @GeofreyLawrence
    @GeofreyLawrence วันที่ผ่านมา

    Simba wananafasi kubwa ya kufuzu benjamini mkapa simba anachukua point 9 zote

  • @GeofreyLawrence
    @GeofreyLawrence วันที่ผ่านมา

    Simba wananafasi kubwa ya kufuzu benjamini mkapa simba anachukua point 9 zote

  • @GeofreyLawrence
    @GeofreyLawrence วันที่ผ่านมา

    Simba wananafasi kubwa ya kufuzu benjamini mkapa simba anachukua point 9 zote

  • @GeofreyLawrence
    @GeofreyLawrence วันที่ผ่านมา

    Simba wananafasi kubwa ya kufuzu benjamini mkapa simba anachukua point 9 zote

  • @GeofreyLawrence
    @GeofreyLawrence วันที่ผ่านมา

    Simba wananafasi kubwa ya kufuzu benjamini mkapa simba anachukua point 9 zote