AHMED ALLY "UNYONGE TENA BASI/ATEMA CHECHE KUELEKEA DABI/TUMEJIANDAA KUSHINDA/TUMEFANYA UTAFITI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @Zephaniakitiku-e2w
    @Zephaniakitiku-e2w 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yes! ni ukweli mtupu kwamba simba yupo juu ya Mazembee🎉

  • @JohnJohn-fs8ex
    @JohnJohn-fs8ex 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hata Simba angekuwa CAF Championship angekuwa kwenye port A badala ya TP Mazembe kwa kuwa Simba ina points nyingi kuliko TP Mazembe.

    • @hamisiselemani6016
      @hamisiselemani6016 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe una point 30.5 halafu Tp mazembe unajua ana ngapi😅😅😅😅

    • @emmanuelpeter8149
      @emmanuelpeter8149 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pia ana 30.5

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pot 1 ya ugali labda ,huna chakumzidi mazembe hata kimoja,huna chakumzid espetance hata kimoja unakaaje pot 1😂😂

    • @flova7022
      @flova7022 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@hamisiselemani601630.5 sooo.!! Only time of collection matters..do you know this?

    • @flova7022
      @flova7022 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@greysonkisinda7390you know nothing so you know?

  • @UpdatesDocumentariesTv
    @UpdatesDocumentariesTv 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Semaji likitema cheche....🔥🔥
    @U&D Tv

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Angalieni sana toeni taarifa kwa uongozi wa tff yanga wasiwaruhusu kuvunja geti na kuacha kuingilia mlango maalumu wao wanavunja geti lakini tff wanaacha tu na wananyamazia tu

  • @SaidJuma-o1e
    @SaidJuma-o1e 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ety kun watot 😂

  • @ramsonmadodi8095
    @ramsonmadodi8095 33 นาทีที่ผ่านมา

    Ahmedy unaongea sana adi unawashitua walio lala

  • @augustinokibena8387
    @augustinokibena8387 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Timu nne (top 4) tu ndo zilikuwa port 1

  • @richlymo
    @richlymo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Semajiii languuu😂😂😂

  • @devaxtz
    @devaxtz 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Watu wanaanza kula fanyeni muondoke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 semaji Acha uchoyo 😂😂😂😂😂 wakaribishe waandishi wale chakula cha ubaya ubwela 😂😂

  • @JosephCharles-b8b
    @JosephCharles-b8b 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie ni mateja wa yanga yani mtapigwa gori 20 mgawane viongozi wenu mashabiki na muwekezaji wenu timu bovu

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mlango unahsoana na mpaka ya Simba nn mpira unachezwa uwanjani Cha msingi mtu aingie uwanjani swala la kuingilia wapi sio tatizo Simba anaamini sana kwenye ushirikina dunia na afrika yote inajua Hilo ndo paniki hizi unazoona wasipofanikiwa hamna mpira pale

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KILA siku bas kuongea tu 😂😂😂😂😂

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Usijimalize jamaa😂

  • @winnielawrence6584
    @winnielawrence6584 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂Ahmed😂😂hadi tumesahau swali

  • @MwalumogoMsigwa
    @MwalumogoMsigwa 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉

  • @ZephrineKarunde
    @ZephrineKarunde 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kujigamba ndo ushindi wa Thimbaaaaa

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamjielewi makolo😂😂😂😂😂

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Malofa msiniangushe mlangoni nikitoa comment yangu sijui mnakimbilia kukoment nn kuhusu simba sc na haiwahusu

  • @sera.8bomani502
    @sera.8bomani502 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 yaani ..

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila uyu jamaa, ya mwandishi kauliza swali zuri sanaa ila kamtoa kwenye reli kiainaaa😂

  • @thegreat6626
    @thegreat6626 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tarehe 19 siku ya TV yenye inchi 78, tukutane kwa Mkapa

    • @anastahiliutawala3879
      @anastahiliutawala3879 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unajioshea upumbavu wewe ndo unacheza?

  • @ShindaiTungu
    @ShindaiTungu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Afu tungepangwa kundi moja na nyie simba mbona ingekua pambee ngemnyanyasa mtu mzima

    • @AljuhaniAllyy-dg4ld
      @AljuhaniAllyy-dg4ld 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe unamtaka simba tu kakutane na wasiorogeka hao makatili si mumezoea kumroga simba nakuvunja mageti yasiyoruhuaiwa kupitia nyie ndio milango yenu kwa ajili uchawi wenu, ila klabu bingwa naiona yanga ikifika mbali makundi naiyona yanga ikimaliza na point 16 kibabe na kuongoza kundi, mazembe atapigwa nje ndani al hilaly nje ndani.

  • @ShaabanJuma-s3z
    @ShaabanJuma-s3z 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pambana kwanza na haoo uliopangwa nao

    • @winnielawrence6584
      @winnielawrence6584 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂kamwambie semaji wako😂

  • @sera.8bomani502
    @sera.8bomani502 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 yaani ..