hakika safari ilikua nzuri sana natamani ningekuwepo, Mungu awabariki sana kwa huduma mlio kwenda kuitoa huko Kenya, Mungu aendelee kuwatunza mkahudumu dunia nzima wanakwaya wangu wapendwa kutoka TUMAINI KWAYA
Ni fahari Sana kuwaona Wana Tumaini mkiwa katika huduma, mmekuwa chemichemi ya Baraka na ufufuo kwa kwaya nyingi Sana katika Tanzania na kenya. Bado nakumbuka mwaka wa 2007 mkija Kenya kisii nyamira erandi na jamani tu nawamiss ajabu. Zablon, Jonah hongera
Hongereni sana
Hongereni kwa huduma njema
Mimi nimkenya lakini napenda Sana nyimbo zenu
Safiii
Woow hongera sana Wana Tk ❤️😘😘
Hongeren sana kwa huduma wana Mungu nawapenda sana
hakika wametisha sana hawa watumishi
Amina Amina wanakitambo 🙏🙏🙏
Hongera San Wana Tumain choir
We love you so much wanatumaini.
You came to my home church year 207 n we miss you
Nimewamiss sana tulifanya kazi njema Homabay Rukongo
hakika walifanya kazi nzuri sana
Amen barikiwa sana tuko pamoja
❤❤❤
We were blessed. You are welcome to come and minister again. God bless you.
hakika safari ilikua nzuri sana natamani ningekuwepo, Mungu awabariki sana kwa huduma mlio kwenda kuitoa huko Kenya, Mungu aendelee kuwatunza mkahudumu dunia nzima wanakwaya wangu wapendwa kutoka TUMAINI KWAYA
Ni fahari Sana kuwaona Wana Tumaini mkiwa katika huduma, mmekuwa chemichemi ya Baraka na ufufuo kwa kwaya nyingi Sana katika Tanzania na kenya. Bado nakumbuka mwaka wa 2007 mkija Kenya kisii nyamira erandi na jamani tu nawamiss ajabu. Zablon, Jonah hongera
habari
Amina 🙏
❤❤❤❤