Jamani hata amsinzii?mko macho tu hata kahusngizi ka mchana amlali😂😂😂 huu mwaka baraka za mama zipo ngambo yetu kweli kweli kwakuwa kaka yetu LCS anashusha mvuwa ya vitu vizuri vyenye mapito yote❤❤❤
Aaaaah bola hii No777 imekuja yaani niliyi miss😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 chafu 3 mbere Jesto aaah wee musinichezee hapo kwa Martha lazima kieleweke mwenye bodaboda aaàaaahh nataka bodaboda yangu nikatafute mkate wa familia 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 ilaa mambo menginee mwanawake tunayataka mwenyewe asaa kama mtu humpendi kwa nn utumiee mali zake sasa kama huna mpango nae si agekataa toka mwanzo na kutompa mtu matumaini
Hp ndotunapofeli wanawake....mtu una mtu halafu unampenda mtu mwengine..kwann usiseme na moyo wako mtu...ukiamuwa kupenda ww mpende mtu mmoja tu..na km mtu humpendi usile chake..usile vitu vyake..maana ujinga wako mtu mmoja..unawapa maumivu watu wasiyo husika..tizama km huyo..kapoteza mama ake kwaajili tu ya mathaa..dah!!😢mm nimeumia sn binafsi.. jinsia zote jamani..ushauri wa bure tu..ukipenda penda mtu sahihi na uwe makini..
Mm niliambia wanangu nisije kusikia etii mchumba anisomeshe hiyoo hapana mana atakufanyia kilakitu lkn akuoe wakati moyo uko kwamtuu mwingine mwisho akuue.nahii ndonaona inatokea hapa nilifikiri pacha ndo walifanya yao lknnnaona nihuyu sijui bosco kama mali zake nidamu atakosajee kukubambikizaa kesi mtu anaua mpka babayake looo nasiri juuuu patAmu hapo
Huo bosco ndie alie muuwa baba yake Martha harafu kesi ikamuangukia Jesto,mtu mwenye aliuwa baba yake ataachaje kuuwa mtu mwingine kisa madaraka na mali.ila Martha nimukosefu kwanini apende Jesto na irihali anampenzi mwingine anae musomesha.
Leo nmewahi sana kazi nzuri kaka
Aisee Lucas wewe ni noma sana hongera sana🎉🎉🎉❤❤❤
Nimeigia chukueni 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉
@@FaithPeter-j4w sawa nakuona pia💁
Asante kwaiyi simuliz nzuri nayenye mafonzo yamaisha❤❤❤
Nimeipenda pia 🔥🥳
❤❤❤🎉🎉
@zenaathumani8144 ❤❤
Wa 46 nawapenda wapendwa wa lucas lumbas 🎉🎉🎉❤❤❤
Tuna kupenda pia ❤❤❤🎉🎉😂😂
❤❤Asante kwa mwendelezo huu 🔥🔥 777 simliz tam Sana,nami nimewah No1 like zenu , wadau kumekuchaa💖💖🙏
❤❤❤🎉🎉
@@TeklaNdekeja no 1 mbna mupo weng🤣🤣🤣
@Babyfaty-m3y tupo wengi ila No1 inamwenyewe🤣🤣🤣🤣
@@TeklaNdekeja mwenyew nan🤣🤣🤣
@Babyfaty-m3y mwenyewe alie azakufika Yan No1 ukifatilia utamjuwa t😁
WOW wa kwanza Leo 🎉🎉🎉🎉😂😂❤
❤❤❤🎉🎉
Tuone chafu 3 watakavyo nyooshwa wp like tukisonga mbele
Washakua vilema tayari
Ndo pale tunasema usimzarau usiye mjuwa..wala usitukane mamba kabla hujavuka mtoo😅
Wa3 jamani likes zenu asante sana sana luca kwa kutuletea mwendelezo wa simulizi hii tamu kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹🍕💪🇹🇿 ciao ciao
🎉🎉🎉🎉🎉
💥💥💖👏
❤❤❤🎉🎉🙋
@TeklaNdekeja nimekuona
Aisee luca huwa unanifurahisha ile shuwaaa 🤣🤣🤣🤣
Wow 🎉🎉🫡🫡🫡🫡 kazi nzur jmn❤❤❤
Oooooooyo 34 sijachelewa paredi oooooyo tuenda kung'ang'ania kitumbua❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Jamani hata amsinzii?mko macho tu hata kahusngizi ka mchana amlali😂😂😂 huu mwaka baraka za mama zipo ngambo yetu kweli kweli kwakuwa kaka yetu LCS anashusha mvuwa ya vitu vizuri vyenye mapito yote❤❤❤
Thnks Luca yni nmesbri kwa hamu😊
Shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤❤
Aaaaah bola hii No777 imekuja yaani niliyi miss😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 chafu 3 mbere Jesto aaah wee musinichezee hapo kwa Martha lazima kieleweke mwenye bodaboda aaàaaahh nataka bodaboda yangu nikatafute mkate wa familia 😂😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 sanatu imchangamka Toka mwanzo🔥🥰
Mhh Martha umemsababishia mwenzko majanga kwa ajili ya mpnz anaenda jela na anampoteza mama yke mung ajalie awakamate awo wahusika tu
Akawanyofoe mapua Ila hz njaa 2kziendekeza ha2toboi na mapenz ya pesa bla Moyo n Matatzo kabxaaa😢😢😢
@FatumaJumanne-p4d tena mattz matupu
@Babyfaty-m3y Yaan wazaz wengne kwenye hera macho juu hawajal hata hca za watt wao unakuta m2 anajionea awardhshe wazaz kumbe ndio anajchmbia shmo
Mmmhhh ilaa Martha do chanzo maana kutumia mali za watu wakat huna mpango nae kwa nn alimkubalia mwanzo sasa
@salmazwallo5920 Ukute alkataa Mzee kamkazia kaona apte na biti ndio sasa wanauponza
Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau 🎉🎉
❤❤❤🎉🎉
Saranghaeoo Kim Lucas
Oppah 😂😂😂 mkorea wetu wa bongo nakukubali 🎉🎉
😮❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉asante sana🎋🎋🎋🎋🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
❤❤❤🎉🎉
Thanks from 🇰🇪,much love mazeeeee..
Hiyo apana ya Martha nacheka🤣🤣🤣 we lucas utavunja mbavu zangu 😃😃 kwanini sasa umenidanganya apana!
Jasto afunikwe na damu y yesu
❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
Bibala❤❤
😂😂😂😂😂 ilaa mambo menginee mwanawake tunayataka mwenyewe asaa kama mtu humpendi kwa nn utumiee mali zake sasa kama huna mpango nae si agekataa toka mwanzo na kutompa mtu matumaini
Nmechelewa ira naomba like ata tano😂😊
❤❤❤🎉🎉
777 ewani🎉🎉🎉🎉
Yakiindi hayo ngumi moja paka jela hahaha naijua iyoo 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 walitegemea chafu tatu huko nje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🎉🎉🎉🎉❤
Iyo simuliz ya chich mr. Dj au nyengne mna nahis imeisha ile
Naona my engine maan tulimaliza😎
@TeklaNdekeja wtu ndo wale wale mna nimeenda kuangalia kwa kitty fefe mwenyew kwel imetoka season 2 naisbr stak ya kusoma
@@Babyfaty-m3y😅😅ni mwendo wa maseason
Part 2 ndo inakuja 😂😂😂😂😂
@@Babyfaty-m3ykwani umeona wapi?😂😂😂😂
Lucas unatisha
Hp ndotunapofeli wanawake....mtu una mtu halafu unampenda mtu mwengine..kwann usiseme na moyo wako mtu...ukiamuwa kupenda ww mpende mtu mmoja tu..na km mtu humpendi usile chake..usile vitu vyake..maana ujinga wako mtu mmoja..unawapa maumivu watu wasiyo husika..tizama km huyo..kapoteza mama ake kwaajili tu ya mathaa..dah!!😢mm nimeumia sn binafsi.. jinsia zote jamani..ushauri wa bure tu..ukipenda penda mtu sahihi na uwe makini..
Umeonaa eeh yaani anapokea 2 vitu vywa watu hafu mwishoe unakujaa kumtendaa c bora agesemaa ukwelii 2
7777 🔥 ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hivi kaka Luca hao wanaume wanapenda mpaka wanachanganyikiwa hivyo wanapatikana wapi mbona mimi nawasikia kwenye simulizi zako tu 😂😂😂
Jmn lin inkuja muendelezo wake mm hua stki kukosa asaaa
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hisia gani wakat pesa unakula, matha ulivuruga sana daah, vijana mapenzi💔 Jesto ulidatia fuso kwambele asee🙆
@@TeklaNdekeja 🤣🤣🤣🤣🤣akatokea jela ila ametoroka sijui Bosco atasalimika ila yote tisa Martha kasababisha yote
Mchumba anasomeshwa ila hakikisha mnapendana sio utake kumnunuwa kisa hiyo ku msomesha....
Lucas hongera tunaomba bed room 13
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kaka Lucas tok jan ujatuma bedroom Mbon Kam umetusahaw jmn 💔😔
❤❤❤❤🎉🎉🎉😢
Lucas jmn nakuita mala ya 3 hii mbon umetusahaw
12❤❤❤😂😂🎉😢😢
Ila marther kama amtaki afai kumuaribia muda
Mm niliambia wanangu nisije kusikia etii mchumba anisomeshe hiyoo hapana mana atakufanyia kilakitu lkn akuoe wakati moyo uko kwamtuu mwingine mwisho akuue.nahii ndonaona inatokea hapa nilifikiri pacha ndo walifanya yao lknnnaona nihuyu sijui bosco kama mali zake nidamu atakosajee kukubambikizaa kesi mtu anaua mpka babayake looo nasiri juuuu patAmu hapo
Na hao wazazi waliowazaa hao double D ni afadhali waliokosa uzazi wangekuwa wagumba tu wangepata heshima duniani
😂😂😂😂😂😂kweli kabisa ila wamekutana na mkono wa Jesto😂😂😂
Huo bosco ndie alie muuwa baba yake Martha harafu kesi ikamuangukia Jesto,mtu mwenye aliuwa baba yake ataachaje kuuwa mtu mwingine kisa madaraka na mali.ila Martha nimukosefu kwanini apende Jesto na irihali anampenzi mwingine anae musomesha.
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤