Mathias Walichupa - Ni Wewe (feat. Godfrey Steven) [Official Lyric Video]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 230

  • @RestutaMgobole
    @RestutaMgobole ปีที่แล้ว +4

    Kaz nzur kaka zangu mungu awabariki sana 👌👌

  • @josephisack2128
    @josephisack2128 2 ปีที่แล้ว +6

    Yesu mkubwa na aweza Sana jina lake lisifiwe daima

  • @AnnaNzutu
    @AnnaNzutu ปีที่แล้ว +1

    Ni wew bwana ntakusifu milele👏👏

  • @ReneeePrincess
    @ReneeePrincess ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukulinda nabarikiwa sana

  • @JofreyGalibondokaOfficial
    @JofreyGalibondokaOfficial 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ypo na nyie mya brother

  • @jamesmwawanamuemahsc1204
    @jamesmwawanamuemahsc1204 ปีที่แล้ว +9

    The voice Africa brought me here. BEAUTIFUL SONG 🔥

  • @irenebosco7411
    @irenebosco7411 4 ปีที่แล้ว +12

    Ubarikiwe sanaaaaaa my brother, nakupenda japo sikujui na hata watu wangu wa karibu wanajua vile nakupenda, nyimbo yako Naweza isikiliza masaa 24 na hua nafanya hivyo Bila kuchoka, hadi nahis uliimba ili mimi tu nisikilize, nakupenda mnoo na uzidi kubarikiwa mnooooo. Asante

    • @mathiaswalichupa
      @mathiaswalichupa  4 ปีที่แล้ว

      Barikiwaa Sana aisee 💌

    • @lilykimisa3841
      @lilykimisa3841 4 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana

    • @deokangu9477
      @deokangu9477 4 ปีที่แล้ว

      This song has God acceptance..it's. amazing song

    • @ashaamiri1994
      @ashaamiri1994 4 ปีที่แล้ว

      Nice song, barikiwa sana muimbaji

    • @joybethjohnstone7163
      @joybethjohnstone7163 3 ปีที่แล้ว

      Wimbo mzuri nilikuwa nikuhuskia sijui aliyeu imba na mshukuru mungu Leo nimeesikiliza nimebarikiwa

  • @johnsanga9528
    @johnsanga9528 3 ปีที่แล้ว +2

    KAZI NZURI, UWEZO MZURI, KIPAJI KIZURI, MWENYEZI MUNGU AWABARIKI SANA KWA HUDUMA HII PONYAJI KAKA MATH&GOD.

  • @mwaget0815
    @mwaget0815 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbi ya kumuabudu Mungu nabarikiwa sawa

  • @lisahmvungi4596
    @lisahmvungi4596 4 ปีที่แล้ว +15

    Hii nyimbo inanibariki kiukweli haswa nikiwa siko okay
    . much blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 3 ปีที่แล้ว +5

    Nyakati za huzuni, furaha zote unanipa amani.......nchi ya ahadi nzuri imejawa na asali

  • @AgnesJeremiah-uz4nc
    @AgnesJeremiah-uz4nc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarkiwe ❤️❤🙏🙏

  • @jasminepeter7598
    @jasminepeter7598 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante mungu Kwa kunilinda

  • @gtv5622
    @gtv5622 2 ปีที่แล้ว +1

    mungu awabaliki sana kwa nyimbo nzuri mnazo imba...

  • @jenethsamwel9277
    @jenethsamwel9277 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo unaogusa nyoyo za watu wengi unanipa faraja nikiwa napitia magumu ...
    Hakika Mungu ni mwema

  • @lydiasanga4040
    @lydiasanga4040 ปีที่แล้ว

    Ni wewe bwana wa kunifikisha pale 🙏

  • @rachelkipilipili9054
    @rachelkipilipili9054 4 ปีที่แล้ว +6

    Natiwa nguvu saana Na maneno ya huu wimbo,natoa had machoz😭🙌🙌🙏🙏..mbarikiwe saaanaa

  • @priscamlay701
    @priscamlay701 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyakati za huzuni furaha unanipa Amani..my best line

  • @petitcoeur9889
    @petitcoeur9889 ปีที่แล้ว +3

    I watched The voice Africa today and when I heard this song in the battle, I started crying. I don't speak swahili very much but I felt the connection and directly decided to find the original song. God is good. Ni wewe Buana🙏

    • @AnnaNzutu
      @AnnaNzutu ปีที่แล้ว

      God is good my dear,I have like more your comment be blessed 🙌and welcome Tanzania too

  • @agneskamanga4281
    @agneskamanga4281 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen wakunifikisha pale NI WEWE ...

  • @stellaabelsheshangali4719
    @stellaabelsheshangali4719 4 ปีที่แล้ว +4

    Huu wimbo siuchok nauckiliza kila siku kama dozi umenibarik sana,ad wanangu wameupenda

  • @rehemambila3367
    @rehemambila3367 4 ปีที่แล้ว +5

    Am blessed kwakweli u guys u have something inside u ambacho kinaafanya nyimbo zenu zitubariki oooh God bless these twooo

    • @magreth7981
      @magreth7981 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanaimbaa deep ktk kilindii cha ndani kabisaa cha moyo (Deep inside there hearts) Eeh Mungu awape kilaa mkiombachoo na awanyanyuee ktk huduma yenu zaidi ya muwazavyoo, wimboo unagusaa sanaa huu!
      Mzidii kubarikiwaa amina 🙏

    • @mathayokaaya4093
      @mathayokaaya4093 ปีที่แล้ว

      Safi sana

  • @sarahrhobi4487
    @sarahrhobi4487 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nabarikiwa na nafarijika na nyimbo hizi

  • @aolkennedy3861
    @aolkennedy3861 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @stevenkoka9900
    @stevenkoka9900 3 ปีที่แล้ว +2

    🤲🙏 ni ww bhn

  • @linersullesh1567
    @linersullesh1567 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless ue broh

  • @SalomeNyatu
    @SalomeNyatu 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mdogo wangu Nyakati za huzuni ni yeye Bwana atanivusha barikiwa viwango vya juu sanaa

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 4 ปีที่แล้ว +4

    My gud,nice song kwa kweli nyimbo ni tamu sanaaaaaaaa.asante kaka.

  • @mariacalvery4488
    @mariacalvery4488 4 ปีที่แล้ว +5

    Good song hakika MUNGU ni wewe mbarikiwe watumishi wa MUNGU

  • @magemjachakwe2274
    @magemjachakwe2274 3 ปีที่แล้ว +1

    Baraka za MUNGU ziwe nanyi kila hatua wimbo mzuri umewabariki wengi sichoki kuusikiliza!pongezi kwenu kaka

  • @isabellamethod1842
    @isabellamethod1842 4 ปีที่แล้ว +1

    Hi nyimbo nimeisikia jana nikaulza kaimba nani nikaambiwa nikaitafuta sikujua km umeimba wew nyimbo yko ninayoijua ni lijend Aise Nimebalikiwa sana Mungu akaifikishe huduma yko mbali Akubariki kadri atakavyo dah😭😭😭🙏🙏

    • @ashaamiri1994
      @ashaamiri1994 4 ปีที่แล้ว

      Ni wewe bwana ....nice song hongera mungu aifikishe huduma yako mbali

  • @psychologyislife1644
    @psychologyislife1644 4 ปีที่แล้ว +15

    Godfrey Steven YOUR MY ALL TIME BEST GOSPEL SINGER IN THIS WORLD OF MERCY

  • @luganomwaite9638
    @luganomwaite9638 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupongeza kaka yangu kwa wimbo huu mzuri Mungu aendelee kukubariki

  • @sarahjoseph9734
    @sarahjoseph9734 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebalikiwa sanaa

  • @elviraaleksandrova9470
    @elviraaleksandrova9470 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo unanibariki sana napenda kuusikiliza kila wakati Yan..Mungu ni Mwema sana🙏

  • @gloryandrew7639
    @gloryandrew7639 3 ปีที่แล้ว +1

    Msaidizi wangu ni wewe bwanaaa🙌🙌🙌

  • @joymedardi7023
    @joymedardi7023 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana. Another time try to mention Jesus not only God

  • @JudithMsemwa-gk3in
    @JudithMsemwa-gk3in ปีที่แล้ว

    Katika magumu niliyonayo wimbo huu unafanyika faraja na baraka niwewe Mungu wa kuniongoza na kunifuta machozi

  • @lenahsimon
    @lenahsimon ปีที่แล้ว +1

    This song🙏😭😭😭😭🙏

  • @richardgeorge3260
    @richardgeorge3260 2 ปีที่แล้ว +1

    For real am blessed

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 4 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mkubwa sana huu

  • @rehemamartin4574
    @rehemamartin4574 ปีที่แล้ว +1

    Ni wewe bwana

  • @evakanini-pw5my
    @evakanini-pw5my ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo inafanyanga siku yangu ikuwaenge mzuri

  • @ObbyAlpha
    @ObbyAlpha 4 ปีที่แล้ว +9

    I really love you brother's

  • @evekiondo5828
    @evekiondo5828 4 ปีที่แล้ว +6

    Ni wewe Yesuuu😢🙌🏻

  • @evarinejoseph6941
    @evarinejoseph6941 2 ปีที่แล้ว +1

    Blessed❤️

  • @rachelsammy
    @rachelsammy 4 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe🙏

  • @naomysalim6477
    @naomysalim6477 4 ปีที่แล้ว +1

    Milimani mabondeni kotee...🙌🏼aghh

  • @bantammwanri1046
    @bantammwanri1046 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo Umenibariki sana naomba

  • @joselyneirabibona3190
    @joselyneirabibona3190 3 ปีที่แล้ว +6

    This song will always be my favorite😭if I can’t remember anything at all please play this song for me🙏🏼and I will be just fine😭Brother Godefrey you got a unique talent🔥there is something in your voice💪❤️

  • @priscalukumay4241
    @priscalukumay4241 4 ปีที่แล้ว +3

    Waoooooooooo from January to December nmejua amenilindaa......... Be blessed 🥰🥰🥰🥰🥰

    • @pascalhaonga2561
      @pascalhaonga2561 3 ปีที่แล้ว

      Nchi ya ahad nizuri na mwisho wa njia nzuri kuliko mwanzon,,, tukae humu

  • @focusmauki3668
    @focusmauki3668 3 ปีที่แล้ว +8

    Wimbo Bora wa Gospel 2021🙏🏿🇹🇿🔥🎶🎵🎶🎶🎶🔈

  • @MercyMkambala
    @MercyMkambala 9 หลายเดือนก่อน

    Naupenda sana uu wimbo na unanibariki sana

  • @msleny6767
    @msleny6767 3 ปีที่แล้ว +16

    Am gld to receive what I asked for.. God bless you for this lyrics
    My favorite song this week, month and Yr 2021🔥🔥🙏🙏

  • @matheosimkoko5859
    @matheosimkoko5859 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @a2mmusic905
    @a2mmusic905 4 ปีที่แล้ว +4

    Nilikuwa nasubiri kweli hiki

  • @mommykarrisa9011
    @mommykarrisa9011 3 ปีที่แล้ว

    Good song! Mungu akbariki na akuweke tuzidi kusikia nyimbo nzuri na kutukuzwa MUNGU

  • @agnesndetaramo7209
    @agnesndetaramo7209 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni wewe Bwanaaaaaaa

  • @marikimartha9932
    @marikimartha9932 2 ปีที่แล้ว +2

    May God take you Higher

  • @hellenlaulau4341
    @hellenlaulau4341 3 ปีที่แล้ว

    huu wimbo una mafuta ya Roho mtakatifu kilaniusikilizapo unanigusa sana Barikiwa sana Godfrey mna sauti nzuri.👍

  • @benicanziku6253
    @benicanziku6253 3 ปีที่แล้ว

    Sikujua kama huu wimbo n wako Mathias ... Hongeraaaa kaka

  • @mirianmohaz3250
    @mirianmohaz3250 4 ปีที่แล้ว +7

    I can't hold my tears listening to this song....indeed God has bn amazing to us whom are still breathing healthy..😭😭😭😭😭🙏🙏🙏💖Thankyou Thankyou God for this far

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..

    • @mirianmohaz3250
      @mirianmohaz3250 3 ปีที่แล้ว

      @@siscatherineebenesar3467 really Thankyou

  • @dinnajulius7387
    @dinnajulius7387 4 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na huu wimbo Kila Napo usikia

  • @lomevency9231
    @lomevency9231 3 ปีที่แล้ว

    Dahhhhh wimbo unanibariki

  • @luzlrivera8977
    @luzlrivera8977 10 หลายเดือนก่อน

    God bless you Brother.

  • @elizabethchengula7799
    @elizabethchengula7799 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango vya juu🙏

  • @rahabuhebron2841
    @rahabuhebron2841 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda

  • @elizabethsamson8092
    @elizabethsamson8092 3 ปีที่แล้ว

    i'm blesses with this worship song...indeed nchi ya ahadi imejaa Asali na mwisho ni mzuri kuliko mwanzoni.............ni wewe Jehova no one like you

    • @ericamfuru6257
      @ericamfuru6257 2 ปีที่แล้ว

      Hakika nabarikiwa Sana Mungu aendelee kuwalinda ktk uinjilishaji wenu. Its Very nice song

  • @farajakisese985
    @farajakisese985 2 ปีที่แล้ว +1

    Good man of God!!

  • @RejinaMsungu
    @RejinaMsungu 10 หลายเดือนก่อน

    Natamani kuliahuu wimbo

  • @mamlyremmy
    @mamlyremmy ปีที่แล้ว

    Ni bwana tu🙏🙏

  • @brianboniface4283
    @brianboniface4283 3 ปีที่แล้ว

    Nyakati za uzuni furaha zote unanipa amani, barikiwa sana

  • @costacemwangolwa181
    @costacemwangolwa181 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni, Ameen

  • @lembojunior1920
    @lembojunior1920 4 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiii sanaaaaaaaaaa

  • @christinengala1904
    @christinengala1904 10 หลายเดือนก่อน

    Ni wewe bwana hayupo mwingine ni wewe ❤

  • @madamkissakeneth2286
    @madamkissakeneth2286 3 ปีที่แล้ว

    Siku ya kwanza nilopousikia huu wimbo nikaupenda adi leo bado naupenda na wala cuchoki barikiwa sana

  • @Gentrix-j2e
    @Gentrix-j2e 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mtamu sana

  • @suleimanidina388
    @suleimanidina388 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kijana

  • @estelibenjamin309
    @estelibenjamin309 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa 🙏

  • @darlingtoncopurum7430
    @darlingtoncopurum7430 2 ปีที่แล้ว +1

    Nchi ya ahadi, nzuri imejaa asali
    Iye iyee, iyee iyee
    Wa kunifikisha mbali ni wewe
    Ni wewe Bwana, ni wewe
    Ni wewe Bwana, ni wewe
    Sina mwingine
    Ni wewe Bwana, ni wewe
    Ni wewe Bwana, ni wewe
    Listen to “Mathias Walichupa - NI WEWE Ft Godfrey Steven” below;

  • @Homlee_games
    @Homlee_games 3 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo ni nzur kila idara kuanzia ujumbe na mpangilio wa sauti yaan kila kitu 😊 mungu awabaliki sana🙏

  • @LinaMusa-sv9ge
    @LinaMusa-sv9ge 2 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu maana unakuwa nami

  • @christophermaswe7162
    @christophermaswe7162 4 ปีที่แล้ว +8

    A very anointed Song, Glory to God

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..

  • @faboneagle7890
    @faboneagle7890 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo umenibariki sana

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni we Bwana nakutegemea sanaaa Asante Yes🙏🙏

  • @hossanawilliam5876
    @hossanawilliam5876 4 ปีที่แล้ว

    Oooh!waooo be blessed mtumishi was Mungu nimebarikiwa Sana🙏🙏🙏🙏

  • @meshtamtam9604
    @meshtamtam9604 3 ปีที่แล้ว +6

    1m is possible..this sing have won my heart

  • @japhetchiwanga2818
    @japhetchiwanga2818 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtu wa Mungu kwa wimbo unaogusa sakafu ya moyo

  • @agnesgeorge1226
    @agnesgeorge1226 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzur sna

  • @nyamburikamori3750
    @nyamburikamori3750 4 ปีที่แล้ว

    Nice song sichoki kuusikiliza,,,,ubarikiwe Sana Matthias

  • @victormathias7169
    @victormathias7169 ปีที่แล้ว +1

    Very song

  • @nachangwanakenya1449
    @nachangwanakenya1449 4 ปีที่แล้ว

    Ni wewe beans hayupo mwingine ila niwewe bwana msaidizi wangu kila niingiapo ktk shida hakika hii nyimbo imenipa utukufu barikiwa sana

  • @puttenyanthony9284
    @puttenyanthony9284 4 ปีที่แล้ว +13

    Still de best in presence of Lord of mercy

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 3 ปีที่แล้ว

      @@siscatherineebenesar3467 you scammer

  • @scarletnaomi6196
    @scarletnaomi6196 ปีที่แล้ว +1

    I Love This Song 😍 It Gives Me courange To Not Give Up

  • @kwandaphily1206
    @kwandaphily1206 2 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful 😊 song.

  • @jamesWNI
    @jamesWNI 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa lugha ya mtaani tunasema Unajua Kaka!

  • @evakanini-pw5my
    @evakanini-pw5my ปีที่แล้ว +1

    Thank you .

  • @bahatimosha7061
    @bahatimosha7061 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo imenibariki saaana thanks

  • @KenzyKaireri-vu4hx
    @KenzyKaireri-vu4hx หลายเดือนก่อน

    Nani ako hapa end of the year 2024?

  • @roselyndermaxwell684
    @roselyndermaxwell684 4 ปีที่แล้ว +2

    Verse two its a blessing i love it...thank you Jesus

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว +1