Hii ndio maana ya maendeleo ya teknolojia katika mazingira yanayotuzunguka. Bravo kwako Mr Brian. Barikiwa ningependa uendeleze elimu aina hizi kwa jamii zetu. nina susbsribe!!
Kinacho shangaza wa +255 comments kwenye mambo ya maendeleo kama hivi hawaoni ila udaku na mengine yasiyo na faida ndio tuko mbele kushabikia, inasikitisha sana.
Alhamdulillah nimejifunza kitu kikubwa sana shukraan kwa wote mulioshiriki kutufikishia ujembe huu mubalikiwe sana tupo pa1
Naomba na ya Simiu good idea
Hii ndio maana ya maendeleo ya teknolojia katika mazingira yanayotuzunguka. Bravo kwako Mr Brian. Barikiwa ningependa uendeleze elimu aina hizi kwa jamii zetu. nina susbsribe!!
From Kenya.I love this technology.Briliant idea
Very simple kabisa daaa
Safi sana
Kazi nzuri
Kinacho shangaza wa +255 comments kwenye mambo ya maendeleo kama hivi hawaoni ila udaku na mengine yasiyo na faida ndio tuko mbele kushabikia, inasikitisha sana.
Ally Jerome Kweli kabisa Kaka Uko sahihi
waooo,so simple & cheap
nilikua ninaomba kujua hilo tenk mpaka linakamilika nitatumia mifuko mingapi ya cement?
Dar
God bless this guy
Good idea
Winfrida Wilbert kabelege haleluya
Its very interesting what is your contact?
.
Great idea
Je ninaweza kumpata wapi nahitaji kujenga kabla ya mvua za masika
Samahani naomba namba ya simu
Yani wewe mzungu noma sana yani nimeamini kua hakuna mzungu maskini duniani kwa halihii
very Nice
nimeipenda sana, ila swali langu ni je siwezi kutengeneza tank la zaidi ya lita elfu 10?.
Very simple and cheap!
kiukweli nimeipenda sana na nitakwenda kuifanyia kazi
Good idea