🔴 LIVE: 12/01/2024 | DAY 3 - SIKU 10 ZA MAOMBI | PR. DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @dennischinamo3154
    @dennischinamo3154 8 หลายเดือนก่อน +13

    Kutoka china nipo nafuatilia siku za 10 za maombi. Mungu atujalie roho mtakatifu

  • @monicaphabian3908
    @monicaphabian3908 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anisamehe ,,makuwa mwepesi wa kuktaa tamaa juu ya maombi yangu

  • @MAISHAYACANADA
    @MAISHAYACANADA 8 หลายเดือนก่อน +5

    Ameen pastor nakupata kutoka hapa Canada 🙏🏾 siku hizi kumi Bwana anipigani natayaweza yote katika yeye Anitia nguvu 🙏🏾🙏🏾

  • @ednaaswile6631
    @ednaaswile6631 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen

  • @namsifumaduhumwita2495
    @namsifumaduhumwita2495 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mchungaji wetu. Ubarikiwe sana

  • @NeemaDavidCheavo
    @NeemaDavidCheavo 8 หลายเดือนก่อน

    Pr nashukuru kwa kuwa Mungu anakutumia kutusogeza karibu na KRISTO, Naomba unisaidie ktk maombi, ninaishi na mumewangu ambaye hatujafunga ndoa bado japo taratibu zingine zote tumekamilisha ni mwaka wa tisa sasa.

  • @user-du2rc8zh8w
    @user-du2rc8zh8w 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu baba naomba unisamehe makosa yangu

  • @user-tl3dd8hr5p
    @user-tl3dd8hr5p 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amen..Mungu awabariki pia nami nabarikiwa na neno ,Mungu atusaidie katika hizi siku kumi za maombi roho mtakatifu atuongoze

  • @faustermtavangu8212
    @faustermtavangu8212 8 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu anijalie Roho ya uvumilivu ktk mapito yangu yote

  • @thabitawanka963
    @thabitawanka963 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutunze pr kwa utukufu waMungu sifa zirudi kwa Mungu

  • @Kivukutv
    @Kivukutv 8 หลายเดือนก่อน +1

    bwana yesu asifiwe nazidi kubarikiwa toka Congo goma

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @user-mm3vx9xw7g
    @user-mm3vx9xw7g 8 หลายเดือนก่อน

    Amin mtumish tunabarikiw san

  • @jannykomu5345
    @jannykomu5345 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema nazidi kubarikiwa kwa mahubiri.

  • @mariamaswani832
    @mariamaswani832 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa kutoka nairobi naomba maombi nikuwe kiroho

  • @eustina0
    @eustina0 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa Mungu akubarik

  • @deokanyerere979
    @deokanyerere979 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo bujumbura na barikiwa sana na vipindi hivi, David mbaga umekua mwanga na kulitangaza kanisa la sabato hakika mngu ni mwema kwako

  • @jonaseliatoshamrimia2140
    @jonaseliatoshamrimia2140 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Zidi kubarikiwa pr.

  • @EliyaBujilima-hs9ei
    @EliyaBujilima-hs9ei 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tuombe Mungu atubariki tunapoendelea kufatilia siku hizi za maombi

  • @RoseMshana-mn9zm
    @RoseMshana-mn9zm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @jonaskaminsa1810
    @jonaskaminsa1810 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dada yangu anaumwa Sana Goitre naomba maombi kwa ajili yake

  • @gladysmochere7193
    @gladysmochere7193 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atubariki

  • @user-fx2qf7zg2e
    @user-fx2qf7zg2e 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏 🙌

  • @noahsempambo8833
    @noahsempambo8833 8 หลายเดือนก่อน

    Nakuombea uwe na maisha maerefu mchungaji..

  • @user-os3vo4sm2n
    @user-os3vo4sm2n 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Mteule wa Mungu David Mmbaga 🙏

  • @daudisobera9367
    @daudisobera9367 8 หลายเดือนก่อน

    Pastor ombea mtoto wangu ambaye Ako na shida za miguu yahani joints.alitokea na hiyo shida alipokuja nyumbani likizo.namtoto wangu na mzee na Mimi pia.mungu akubariki

  • @simonmaginga
    @simonmaginga 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani hili hubiri nimelipenda ila nimeshindwa kudanlod ila mbarikiwe kwa kazi njema mnayo fanya

  • @oman798
    @oman798 8 หลายเดือนก่อน +2

    AMINA ubalikiwe sana mtumishi nawapata vizuli kutoka oman MUNGU Ni mwema maombi yenu wapedwa katika Bwana mdogo wangu anapitia chagamoto za kukata tamaaa na MSONGO wa mawazo

    • @komboakiwale
      @komboakiwale 8 หลายเดือนก่อน

      😢😢 aminaaaa ubalikiwe Sanaa mchungajii

  • @victormponzi-g9k
    @victormponzi-g9k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na barikiwa na mahubiri yako yote nashuhudia uponyaji wa Mungu kupitia masomo yako pastor.

  • @uniquefactsmediaufm6735
    @uniquefactsmediaufm6735 8 หลายเดือนก่อน

    Amen ! Bwana awabariki Mahubiri TV team. Nasisi Unique Facts Media (UFM) Kigoma tunafuatilia . Karibuni pia kwa program zetu.

  • @barakakulwa5342
    @barakakulwa5342 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni ajibu maombi yetu sawa sawa na mapenzi yake ndani ya mwaka 2024, nitumaini Bwana atatendakatika jina la Yesu Amina.

  • @user-dy7zz2fx3j
    @user-dy7zz2fx3j 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo kwenye maombi naomba nifunguliwe kwa ajili ya uzao wangu na biashara yangu.

  • @ninamwita49
    @ninamwita49 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina🙏🏽

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe Pastor.

  • @immamahenge9494
    @immamahenge9494 8 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @YonaAnania
    @YonaAnania 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kutoka Moshi mjini nazidi fatilia live siku kumi za maombi huku tuzidi kumkumbuka Madaam Boss Manager Glory katika shughuli zake za kila siku pamoja na Afya njema

  • @sesenemwanze9376
    @sesenemwanze9376 8 หลายเดือนก่อน

    Asante muchungaji

  • @user-be9zx6ew4f
    @user-be9zx6ew4f 8 หลายเดือนก่อน +1

    amen pastor

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 8 หลายเดือนก่อน

    Nawafuatilia kutoka Saudi Arabia,.. MUNGU anizaidie Kwa hii maombi nitakazike kabisaa Kwa jina la YESU.

  • @CyiriaqueNtakirutimana-zb6up
    @CyiriaqueNtakirutimana-zb6up 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka Rwanda nami niko pamoja nanyi kwenye Siku 10 za maombi, mbarikiwe.

  • @user-ig9hk9bi3g
    @user-ig9hk9bi3g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana chungaji

  • @ellenjoseph1475
    @ellenjoseph1475 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba mtuombee familia yangu

  • @geophreykikoti192-sb5be
    @geophreykikoti192-sb5be 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana Pastor kwa vile Mungu anavyokutumia. Kikoti Iringa Gangilonga

  • @user-xp9mn2xw7k
    @user-xp9mn2xw7k 8 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen hakika kuna wkt tunalipia shule ya mungu Mimi mwenyeye nashukuru mungu nilifanya kazi galf one full year 300keyan money nikatumia my husband ambaye kikweli kabisa alijua maisha ambayo tulikuwa nayo lakini zoote hakuweka hata 10 thousand baadaye nikagundua n mungu aliruhusu hata sasa sijui nishukuru vipi kwa sababu iyo our God is sooo loving and faithful Asante mtumishi wa Mungu

  • @zebrinmichael3058
    @zebrinmichael3058 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pastor kwa somo zuri naomba tuendele kumkabidhi mwanangu Aron mikononi mwa bwana yy ndio jicho lake linamwona alipo akate Minyororo iliyo mshika na atimae arudi nyumbani salama tarehe 30 mwezi huu atafikisha miaka miwili hatujui yuko wapi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @amospoppe7616
    @amospoppe7616 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika tunamhitaji Roho Mtakatifu na kuisikia sauti ya Bwana tufundishe kuomba amen

  • @victormponzi-g9k
    @victormponzi-g9k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Natokea Iringa mufindi Nakufuatilia masomo haya nimepata kaz naombaiombee Maana nipo mbali na kanisabko nakosa mda wa kwenda kuungana na wenzangu.

  • @tilaboymatata3411
    @tilaboymatata3411 8 หลายเดือนก่อน

    Paster bakiwa na mungu sana niliokoka kupitia kipindi chako pia nilkuwa nashambulia hata kazin lakin vipindi vyako vimefanya ni kue kiimaniii

  • @user-ls2ez2qc1y
    @user-ls2ez2qc1y 8 หลายเดือนก่อน

    Amen nafutilia siku10 za maombi Mungu pamoja nasii

  • @victormponzi-g9k
    @victormponzi-g9k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Natokea Iringa mufindi Nakufuatilia masomo haya nimepata kaz naombavuniombee

  • @eunicenyandega
    @eunicenyandega 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba nielekezwe mwaka wetu wawasabato unaishia wapi?

  • @user-vx6tb9gh1e
    @user-vx6tb9gh1e 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye siku 10 za maombi naomba mniombee namimi ninamtoto ikifika usiku anaanzakulia mkiombo mmuombeee

  • @eunicenyandega
    @eunicenyandega 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna jambo linanitatisha wasabato tunamaliza mwaka wetu mwenzi Gani?

  • @seiframadhan3387
    @seiframadhan3387 8 หลายเดือนก่อน

    Nafuatilia siku kumi hizi za Maombi nikitokea Tunduru mkoa wa Ruvuma

  • @user-nt1bs1bc4v
    @user-nt1bs1bc4v 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina.

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @user-vx6tb9gh1e
    @user-vx6tb9gh1e 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye siku 10 za maombi naomba mniombee namimi ninamtoto ikifika usiku anaanzakulia mkiombo mmuombeee

  • @user-ig9hk9bi3g
    @user-ig9hk9bi3g 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

  • @sarahemukule
    @sarahemukule 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @elizabethgimero2117
    @elizabethgimero2117 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @neemankimbili7927
    @neemankimbili7927 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @Powerinpra
    @Powerinpra 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bamag-021
    @bamag-021 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @user-vx6tb9gh1e
    @user-vx6tb9gh1e 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye siku 10 za maombi naomba mniombee namimi ninamtoto ikifika usiku anaanzakulia mkiombo mmuombeee

  • @user-vx6tb9gh1e
    @user-vx6tb9gh1e 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye siku 10 za maombi naomba mniombee namimi ninamtoto ikifika usiku anaanzakulia mkiombo mmuombeee

  • @user-vx6tb9gh1e
    @user-vx6tb9gh1e 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye siku 10 za maombi naomba mniombee namimi ninamtoto ikifika usiku anaanzakulia mkiombo mmuombeee