Bwana Yesu atawakana Wakristo | Ukristo sio Dini Mwenyezi Mungu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Kukuru kakara katika muhadhara wa HillTop jijini Nairobi. 0722600533 au 0777600533

ความคิดเห็น • 66

  • @ngokaomary5123
    @ngokaomary5123 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukristo ni njia mmoja yapo ya ukolonii mambo leo sio dini pia ni campuni za wazungu

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mungu akujalie heri hapa duniani na akhera inshaallah

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 ปีที่แล้ว +8

    Kwasana kabisa al-islama dinn ya Allah yaaaaaaaarab shukuruni kwa kazi nzuri kabisa kila la kheri asante

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah MashaAllah ma sheikh wangu

  • @jamila8355
    @jamila8355 3 ปีที่แล้ว +1

    الله أكبر

  • @omaryally198
    @omaryally198 3 ปีที่แล้ว +4

    Wakrsto kueni waelewa mandiko yapo waz tu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah

  • @johnkinyua9175
    @johnkinyua9175 8 หลายเดือนก่อน

    If Bible is not a true book, even us we don't exist for it's the only book which reveal our origin the fall &Our salvation through Jesus Christ as the way back to God John14:6, 1Timothy2:4

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir

  • @evancekireri1514
    @evancekireri1514 3 ปีที่แล้ว

    Achana na kuhubiri imani nyingine, ww hubiri Wokovu .

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    Allah awape nguvu na umri mref

  • @mwabwagizojaytummumwabwagi7182
    @mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 ปีที่แล้ว +4

    Jazakha Allahu kheir mashee wetu Allah awape umri INSHAALLAH

  • @iddyally4439
    @iddyally4439 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awajalie mashekh wetu kazi nzuri tena nimependa na kujua jinsi ya na bii Issa atakavyokuja

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo Wakristo wamekaririshwa kukariri na kuamini uongo mfano; dhambi za asili/dhambi za kurithi kwa Adam n.a. Hawa wakti Mubngu Allah alishamsamehe Adam tangia akiwa Mbinguni, Oooh Yesu anaokoa na kusamehe dhambi wakti Yesu ni binAdam iweje awe na mamlaka uwezo wa kusamehe dhambi ("dhambi zenu mtakufa kazi wenyewe"). Mungu nae anazaliwa, Mungu hana mwana wala hana mama (kufuru kubwa, wacheni kukufurishwa na kukufuru). Hebu muwe mnawauliza maswari Viongozi wenu wa Makanisa msikubali kuongopewa na kurithiishwa kukariri uwongo.

  • @leadyl5757
    @leadyl5757 2 ปีที่แล้ว

    Yesu nakupenda xana

    • @yohana1242
      @yohana1242 11 หลายเดือนก่อน

      Ww mpende ila ww hajikukutambua

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah takbiiir

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  4 ปีที่แล้ว +1

      Alhamdulillah, fatabaarak Allah

    • @bilalomar1185
      @bilalomar1185 4 ปีที่แล้ว

      @@StraightPathDawah
      Dini hii itabaki mpaka siku ya Qiyaamah, wanasimamia kundi Umati Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) mpaka itakapokuja amri ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala). Imekuja katika Hadiyth kutoka kwa Mu’aawiyah (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema, nimemsikia Mtume (Swalla Alaahu ‘alayhi wasallam) akisema:
      “Halitoacha kundi katika Ummah wangu unasimamia jambo la Allaah, haitawadhuru wenye kuwapinga mpaka ije amri ya Allaah nao bado wapo wazi kwa watu.” Al-Bukhaariy na Muslim

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah.

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakristo hawana elimu niporojo tu

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Maustadh wetu. Allah awape afya na umri ndefu mutoe Daawah kote Inshallah nawapenda wote Mashee kwa ajili ya Allah

  • @iddyally7228
    @iddyally7228 3 ปีที่แล้ว

    Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam na ningependa kuweka mawaidha ya huyu ustadh abubakar Hada km anazo za mawaidha za historia

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashekhe Allah.Azd kuwapa ushndi.viongozi wamakanisa wataendelea kudhalilika pamoja nadini yao yakishetan yakanisani...

  • @abdelnasseraq7133
    @abdelnasseraq7133 3 ปีที่แล้ว

    Lahaula

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa huu ni mtihani kweli

  • @ayubumzaire4853
    @ayubumzaire4853 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo hawana shida ya Dini, YESU yeye ndiye Njia Kweli na Uzima, Sasa kama YESU yeye ni njia alafu yeye ni kweli na ana uzima, sasa dini inafaida gani! YESU ndo mpango mzima, Mnajichosha tu, Mbamshobokea YESU mtume wenu kaoza sio!?

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 3 ปีที่แล้ว +1

    مشا ألله مش الله الله أكبر

  • @jameskabungo2733
    @jameskabungo2733 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh kanda siku mingi bila kumusikia daktari wa majimbu na maswali karibu tena uwape funzo wenye hujiita wakristo

  • @hannanyokabi7588
    @hannanyokabi7588 3 ปีที่แล้ว

    Mtu ata Hafai kukaa chini na hawa watu wameharidika akiri

  • @husenuledi3400
    @husenuledi3400 3 ปีที่แล้ว

    WeWe achani kumnyanyasa msabato naombeni msome kuruhani 2 aya ya 65 afu mtoroke tuone

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 ปีที่แล้ว

    MAA SHAA ALLAH Sheikh ila sijui ulipotele wapi hatukuoni skuizi

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  4 ปีที่แล้ว

      Sheikh yupo tu ukipiga hizo number utampata inshallah

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 ปีที่แล้ว +1

    jangombeboys1999

  • @ndelemwalonde2145
    @ndelemwalonde2145 4 ปีที่แล้ว +3

    Bible is not as inspiration book that anyone can understand,the mysteries of living God are hidden there,so continue to think you know Bible.
    John 8:44
    [44]Ye are of your father the devil, and the lusts of your father ye will do. He was a murderer from the beginning, and abode not in the truth, because there is no truth in him. When he speaketh a lie, he speaketh of his own: for he is a liar, and the father of it.
    Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  4 ปีที่แล้ว

      Read Deuteronomy 29:29

    • @ndelemwalonde2145
      @ndelemwalonde2145 4 ปีที่แล้ว +1

      @@StraightPathDawah your not chosen one,how can God reaveal his secrets to non believers,your don't obey his command then you want him to reaveal his Visions to you,Our God is the God of Order,you don't obey his order forget about him and continue with your False gods.

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Ona Wakristo wanavyogawanyika Makanisa kibao kila kukicha yanaanzishwa Makanisa (hawjaupata Ukweli na wake haupatikani ukweli ktk Ukristo). Someni imaan za Dini zote muujuwe ukweli. Mnaamini Biblia ilikuwa na mtume/nabii (imeandikwa mtaani na wajanja/wachakachuaji na wapiga deal). Hawajui hata kuongea lugha ya Kabila ya Yesu kweli mnampenda Yesu?!!! Hebu tumieni akili.

  • @johnkinyua9175
    @johnkinyua9175 8 หลายเดือนก่อน

    If Bible is not a true book, even us we don't exist for it's the only book which reveal our origin the fall &Our salvation through Jesus Christ as the way back to God John14:6, 1Timothy2:4

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @juariaswabrina4549
    @juariaswabrina4549 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah