Pole Gambo cheo ni dhamana lakini wewe bado kijana mbichi na utasonga mbele pengine mungu atakufungulia njia nyingine inshalaah usijali mi nashanga watu waengine wanashabikia utadhani kakatwa mikono hapa huyu ni mchapa kazi mzuri tu ila walishindwa kuelewana na kawaida yetu binadamu si ajabu
Kwa kweli RC Gambo alikuwa kijana safi hapa ni fitina tu za watu Rais wetu asiwe na maamuzi haraka maoni yangu wangehamishwa vituo vya kazi hii inavunja moyo sana.
Mkuu wa Wilaya huyu hana nidhamu kabisa. Kwa kweli Mkuu wa Mkoa ni muadilifu sana kwani kotendo cha kudharauliwa tena mbele za watu kinataka moyo sana na ujasiri mkubwa wa uvumilivu. Nampongeza sana!
Gambo alichokosea ni kuashiria kuwa hii hoja ilijengwa na ofice ya Dc wakati hii hoja iliagizwa na Naibu waziri, lkn hata hivo DC hakutakiwa kureact na hilo kosa pale kwa media inaonekana walikuwa na misunderstanding tokea awali hawa ni bora walivyotumbuliwa
Tatizo hatujui hiyo mada ilianzia wapi, mpaka kufikia huo uamuzi wa ukaguzi kuna source na hizo shutuma lazima alifikishiwa mkuu kutoka kwenye chanzo husika !!
Kutenguliwa na RAISI SIO KAMA HUJUI KUFANYA KAZI. ila lipo kosa ulipoteleza. Hata RAISI MWINYI alipokua WAZIRI WA MAMBO YA NDANI mwl Nyerere alimtengua UWAZIRI. Lakini baadae alikuja kuwa RAISI. Usikate tamaa.
Gambo alikuwa sahihi lkn hata Kama Gambo alikosea Dc hakupaswa ku-react kwenye kadamnasi pia anapaswa ajue yule mkubwa wake!kweli Mimi nimejisikia vibaya Dchajatumia hekima Kama kiongozi!viongozi wetu mungu awape uvumilivu wa kuvumiliana!
Kwanini nayeye amsingizie DC hadharani wakati naibu Waziri aliagiza na si DC? Na kwanini wakae katika vyombo vya habari? Kwanini wasikae kikao cha ndani?
Ni hekima inadai hali ya uvumilivu na usikivu. Hekima inapungua pale unapojiaminisha kuwa wewe tu ndiye uliye sahihi Bila kujipa nafasi ya kupokea mawazo tofauti.
Gambo !! Alikuwa ni kiongozi mwenye hekima na busara, mimi nimeshuhudia akiwa fare kwa sisi wana Arusha, tatizo lilikuwa kwa mkuu wa wilaya na mkurugenzi wake walikuwa wanamdharau sana mkuu wa mkoa, walikuwa wanafanya maamuzi hawamshirikishi. Na nilitamani sana Gambo angegombea ubunge Arusha kura yangu kwake itakuwa ni 100%. Hawa wengine kama alivyosema mkuu wa nchi waende wakabishane nyumbani kwao !! Mkuu Gambo bado atabakia kuwa kiongozi hata kama sio leo hata kesho na kesho kutwa !!
Sikutegemea kama kuna mkuu wa wilaya yuko hivo hajui hata utaratibu wa kulalamika endapo hajatendewa haki jamani mkuu wako anazungumza unatakiwa ukae kimya tu kweli kaudhalilisha uongozi wake kuwa aliipata hiyo nafasi lkn alikua hovyo sana.
Namuurumia sana lakini hayo yote si yalihandikwa jamani? Lakini Gambo hakuwa mkali huyo wa pembeni alikuwa na hasira sio mchezo. afahali ya Gambo kuliko yule alie kalazimisha aletewe Nandy na yule wa Dar.
DC kaambiwa na Waziri achunguze kuhusu geji za bati. Naibu waziri hakusema kua geji feki. Sasa RC anaanza kusema kuna tatizo, kaambiwa na nani? Kwani TBS walishamaliza uchunguzi. Ikiwa geji iko sawa jee. RC alitaka kumtumbukiza mwenzake shimoni. Safi sana DC, mara ya pili atakua ana akili timamu.
Huyu mkuu wa mkoa ni mnafiki sanaalitaka kutumia maxingira ya kikao hicho kumjengea mwenzake mazingira ya kuonekana mkosaji. Ila.jsmaa akashtuka. Unajya kuna wati ni welevu na wamejaa hila sana..wepesi dana kutumia mazingira kukuchafua.unaweza.kuona kam wanaongea maa upole na kistaarabu ukafikili ni wastaarab lakin huwa wanajua wanalenga nini.
Wewe una akili kuliko wote. RC alianza kuhangaika na kitu ambacho Naibu Waziri kaagiza na si Mkuu wa Wilaya. Wengi hawalioni hilo wanamsema tu DC. RC aliingilia jambo ambalo nadhani hakulijua undani wake. Naibu Waziri mpaka kaondoka na kipande cha bati.
Viongozi bhana mmeua tasinia ya filam Nchini kwa kutowapa kipaumbele wasanii na sasa badala yake mmeanza kutumia furusa hiyo kwenye mitandao ya kijamii kutuigizia dah kwel
Gambo kaituliza Arusha! Huyo DC anashida zake. Inaonekana alikuwa hamsikilizi Gambo na huo ni ukosefu Wa nidhamu . Sasa Gambo kosa lake nn hapo yeye anatetea maslah ya Taifa. Duh! Anyway tumwache Raisi wetu anajua anachokifanya
Mkuu wa wilaya alikua na mawazo ya ukweli ila hana busara, RC alikosea kidogo kutoa maelezo lakini ameonesha ukomavu maana pamoja na kuwa interrupted hadharani, yy hajareact. BUSARAA
Cheothamana hata mfalme Belishaza alilewa madaraka nakumkosea Mungu Gambo kilichotokea ndichoulichoshuhudia maisha yapo baada ya Rc ila Dc bhna umezingua sana ugomv wa chumbani mpaka kordoni 👂 aliyesikia ndiye kaambiwa
Leo tumeona matokeo ya vita yenu...Lkn vijana wenzetu lazima mnaopata fursa ya uongozi someni nyakati..Rais huyu sio wa ofisini ni neema ya Mungu aliyotupa kutufikisha Watz Kanani
Tatizo ndio hili LA kuteuwana kwa misingi ya ukada na uccm, hii husababisha kuteua watu wasio makini na weledi wa kuheshimu misingi ya nafasi walizopewa kuzisimamia.
Daah Ok, lakini mm nadhani katika vitengo au tasisi ambazo adabu ni asilimia 100 hata kama boss wako ni mdogo kwako kielimu au kiumri ni hiyo uliyoitaja hapo, sijategemea kuona hichi alichokifanya DC mbele za hadhira hata kama RC anamakosa
kinachoendelea hapo wala bado hamjakijua dc yuko sawa kabisa ametumwa akachunguze bati siyo yy. alichokifanya ameagizwa sasa hapo Rc alikuwa anamtupia mzigo.
Kuna vitu havipo sawa hapo kwenye uongozi wa Gambo anafaa ajitadhimini kwanza coz ni kiongozi mzuri ila anafeli kitu kimoja tuu.Akiwa public anashindwa kuonesha leadership hata lema ambaye ni mbunge wa Arusha mjini walitofautiana mbele ya wageni and was a shame
DC unatakiwa kuwa msikivu. Wacha muongeaji amalize kutoa hoja ili upate hoja kamili. Kitendo cha kumkatisha mtoa hoja kinakukosesha kupata hoja kamili na matokeo yake no hayo uliyoyafanya. Zaidi hapo utii kwa kiongozi wa ngazi ya juu ni muhimu...au hata zile ABC as JKT umezisahau?
Post ni 1 year ago lakin comments ninazoziona hapa ni 4 days ago, 3 days ago 1 day ago. Kwamba hii post ilikuwa haionekangi mtandaoni au mlikuwa mnapita tu ila kwa sasa mkaamua kucomment. Duuh ama kweli wantanzania mna hatar 😄😄😄😄
Dc mtata😃😃😃😃 Kamp0nza Rc wake ....haya mkapambane nje sasa ,kuzodoana mbele ya waandishi hii inaashiria walikuwa hawapatani hata kdgo ina maana walikuwa hawakai pamoja kuongea mamb yao haraf ndo waongee hadharan 😄😄😄
Ila RC anahekima sana kiukweli,na huyo dic ni wiv tu na chuki zisizo kuwa na maana hiv Inge kuwa rais angemfanyia hivyo chuki makazin tuziache mungu hapendi ili kazi iende vixur lazima kuwa wamoja,na Rc anaongoza kwa kutumia hekima sana labda apunguze upole gambo nimpole sana walah baba wawatu
@@felistergodbless7508 Felista, huyo jamaa ni mpole kwa muonekano, ila ana dharau na kiburi cha moyoni. Ana waona wa chini yake ni taka taka tu. Hana socialisation. Nenda kwenye ofisi yake utapata respond za wafanyakazi wake. Hataki kusikiliza wafuasi wake wanawaza nn wala wanajituma vipi. Yy ni alha na omega
Kosa la gambo, ni kwa huo mradi upo chini ya ofisi yake, sasa...kuna dalili za rushwa hapo...ht ukimsikiliza Naibu Waziri anasema bei ya bati ime double....na ubora wa bati hauendandani. Sasa Gambo kosa lake ni kutaka kumlisha DC maneno kwamba yametoka kweny ofisi yake....!! Hivyo kutumbuliwa wote ni muhimu wote hawana ushirikiano au maelewano mazuri.
Dc anaonyesha ana kiburi sana Na anaonyesha ni Jelousy hata sura yake unaona. .bodylanguage yake tu inakupa picha harisi ilivyokuwa huko Arusha.. Man he has no respect to his RC...wachaga tabu sana sisi
Pole Gambo cheo ni dhamana lakini wewe bado kijana mbichi na utasonga mbele pengine mungu atakufungulia njia nyingine inshalaah usijali mi nashanga watu waengine wanashabikia utadhani kakatwa mikono hapa huyu ni mchapa kazi mzuri tu ila walishindwa kuelewana na kawaida yetu binadamu si ajabu
Kwa kweli RC Gambo alikuwa kijana safi hapa ni fitina tu za watu Rais wetu asiwe na maamuzi haraka maoni yangu wangehamishwa vituo vya kazi hii inavunja moyo sana.
Mimi naona Gambo alikua sahihi sana
Mkuu wa Wilaya huyu hana nidhamu kabisa. Kwa kweli Mkuu wa Mkoa ni muadilifu sana kwani kotendo cha kudharauliwa tena mbele za watu kinataka moyo sana na ujasiri mkubwa wa uvumilivu. Nampongeza sana!
Kwa kweli Dc sio poa kabisa mie sijapenda tabia yako mbele ya viongoz wenzako
Gambo alichokosea ni kuashiria kuwa hii hoja ilijengwa na ofice ya Dc wakati hii hoja iliagizwa na Naibu waziri, lkn hata hivo DC hakutakiwa kureact na hilo kosa pale kwa media inaonekana walikuwa na misunderstanding tokea awali hawa ni bora walivyotumbuliwa
Wote wana makosa!ukiangalia alichosema waziri na alichosema Gambo ni vtu viwili tofauti kabisaa!!
Tatizo hatujui hiyo mada ilianzia wapi, mpaka kufikia huo uamuzi wa ukaguzi kuna source na hizo shutuma lazima alifikishiwa mkuu kutoka kwenye chanzo husika !!
德尔斯 节拍 Sure kabisaa
Nicholaus Mbilinyi yeah uko sahihi
Kutenguliwa na RAISI SIO KAMA HUJUI KUFANYA KAZI. ila lipo kosa ulipoteleza. Hata RAISI MWINYI alipokua WAZIRI WA MAMBO YA NDANI mwl Nyerere alimtengua UWAZIRI. Lakini baadae alikuja kuwa RAISI. Usikate tamaa.
Gambo ni mzushi sana. Dc aliagizwa na naibu openly kbsa. Mbona amegeuza maneno wazi wazi. Na kwann achanganyikiwe
Gambo alikuwa sahihi lkn hata Kama Gambo alikosea Dc hakupaswa ku-react kwenye kadamnasi pia anapaswa ajue yule mkubwa wake!kweli Mimi nimejisikia vibaya Dchajatumia hekima Kama kiongozi!viongozi wetu mungu awape uvumilivu wa kuvumiliana!
Kwanini nayeye amsingizie DC hadharani wakati naibu Waziri aliagiza na si DC? Na kwanini wakae katika vyombo vya habari? Kwanini wasikae kikao cha ndani?
Sijapenda kbs DC alivyoonesha jeuri na kiburi kwa mkuu wake.
Gambo ni mtu smart sana,yaan unaweza kumkurupukia lkn ni mtulivu na hatoki kwenye mstar,,anajiamini ,safi sana
Kweli Rc ni MTU muelewa sana
Ni hekima inadai hali ya uvumilivu na usikivu. Hekima inapungua pale unapojiaminisha kuwa wewe tu ndiye uliye sahihi Bila kujipa nafasi ya kupokea mawazo tofauti.
Alijiona kamaliza dunia natoa heshima kubwa kwa mungu anaye mtumia mh Rais
Kua muadilifu kwa kiongozi wako na mwenye adabu insha allah utapanda chati tu. Chapa kazi yoyote ile ili mradi huvunji sheria.
Gambo !! Alikuwa ni kiongozi mwenye hekima na busara, mimi nimeshuhudia akiwa fare kwa sisi wana Arusha, tatizo lilikuwa kwa mkuu wa wilaya na mkurugenzi wake walikuwa wanamdharau sana mkuu wa mkoa, walikuwa wanafanya maamuzi hawamshirikishi. Na nilitamani sana Gambo angegombea ubunge Arusha kura yangu kwake itakuwa ni 100%. Hawa wengine kama alivyosema mkuu wa nchi waende wakabishane nyumbani kwao !! Mkuu Gambo bado atabakia kuwa kiongozi hata kama sio leo hata kesho na kesho kutwa !!
Ndio wajue madhara ya kufanya kila Jambo kupitia media, yote kutafuta sifa hiyo ndio drawback yake.
Subirieni uteuzi mwingine...
Tatizo wanamisifa namihemko yamadaraka
Aisee I litabiri
Dc uko sawa kbsa kuwaogopa ogopa watu haitakiwi kbsa
Mh Lema aje aamue hao ni waheshimiwa wapo jimboni kwake, hta kama hawapo hao ni rafiki zake Godbless Lema.,akae nao chini.
Ila DC inaonekana mkali kuliko rc na cheo chake nikidogo sasa hataki kuagizwa na mkuu wake
Jasusi uyo anarudi kulinda raisi
Sikutegemea kama kuna mkuu wa wilaya yuko hivo hajui hata utaratibu wa kulalamika endapo hajatendewa haki jamani mkuu wako anazungumza unatakiwa ukae kimya tu kweli kaudhalilisha uongozi wake kuwa aliipata hiyo nafasi lkn alikua hovyo sana.
DC sio ila gambo nina hakika atapata nafasi tu
Rais wetu ni mtu anae jitambuwa atanfikilia Tena gambo
Hapana, hapa Gambo kaonewa, huyu DC hajitambui.
Inawezekanaje mkuu wa wilaya anamwingilia mkuu wa mkoa ( boss wake)?
Hili ni ombwe la uongozi.
Dc ni mpuuuzi huyu Nani kamuweka huyuuu
Huyo Dc sijui mchaga? Maana mmhmm pole sana Gambo
Kwani wachagga wakoje?
Acha umalaya mwajuma shomari
Mmbulu huyo, hakuna mchagga ana mihemko na panic !!
Namuurumia sana lakini hayo yote si yalihandikwa jamani? Lakini Gambo hakuwa mkali huyo wa pembeni alikuwa na hasira sio mchezo. afahali ya Gambo kuliko yule alie kalazimisha aletewe Nandy na yule wa Dar.
DC hana adabu kabisa kwa kiongozi wake .. Ndio maana mmetumbuliwa mxiiewww
Kosa la gambo liko wapi
DC hana nidhamu.
Uko sawa alafu huyo dc mbona Hana adsbu
Duuu huyu DC anaonekana ni mkorofi sana hajui huyo gambo yuko juu yake? Naona anaropoka tu.
DC kaambiwa na Waziri achunguze kuhusu geji za bati. Naibu waziri hakusema kua geji feki. Sasa RC anaanza kusema kuna tatizo, kaambiwa na nani? Kwani TBS walishamaliza uchunguzi. Ikiwa geji iko sawa jee. RC alitaka kumtumbukiza mwenzake shimoni.
Safi sana DC, mara ya pili atakua ana akili timamu.
Huyu mkuu wa mkoa ni mnafiki sanaalitaka kutumia maxingira ya kikao hicho kumjengea mwenzake mazingira ya kuonekana mkosaji. Ila.jsmaa akashtuka.
Unajya kuna wati ni welevu na wamejaa hila sana..wepesi dana kutumia mazingira kukuchafua.unaweza.kuona kam wanaongea maa upole na kistaarabu ukafikili ni wastaarab lakin huwa wanajua wanalenga nini.
Wewe una akili kuliko wote. RC alianza kuhangaika na kitu ambacho Naibu Waziri kaagiza na si Mkuu wa Wilaya. Wengi hawalioni hilo wanamsema tu DC. RC aliingilia jambo ambalo nadhani hakulijua undani wake. Naibu Waziri mpaka kaondoka na kipande cha bati.
Makonda angemng'oa makende uyu DC😂😂
Ila Gambo kwann DC akujibu ujinga ivo? Au kisa ana kipara cha ukoo
Ni kweli huyu dc alidaut pia khs gharama kwamba iko mara 2 ya ule mradi wa ngala Sasa anabisha Nini mjinga kweliii huyooo
Viongozi bhana mmeua tasinia ya filam Nchini kwa kutowapa kipaumbele wasanii na sasa badala yake mmeanza kutumia furusa hiyo kwenye mitandao ya kijamii kutuigizia dah kwel
Huyu Alokua DC hana Adabu
gambo ni mwizi
Gambo kaituliza Arusha! Huyo DC anashida zake. Inaonekana alikuwa hamsikilizi Gambo na huo ni ukosefu Wa nidhamu . Sasa Gambo kosa lake nn hapo yeye anatetea maslah ya Taifa. Duh! Anyway tumwache Raisi wetu anajua anachokifanya
Kweli hawa hawakua sawa
Gambo yupo sawa
Huyu Dc ni tatizo wala Gambo hakuwa na shida hapa
Walivyo ndivyo mfumo ulivyo mbaka juu busara pembeni mabavu ndiyo mnayo yasifu mapoyoyo sana
Mweshimiwa Raisi angemuacha Mkuu wa mkoa amtumbue huyu mkuu wa Wilaya adabu ndio ingekuwepo hata kwa wengine
AmekusikiA
Mbon mkuu wakoa hajakosea kit jmn ila kuu wawilaya alipaniki t nakuomba raisiwe t mludishe mkuu wakoa plz
Ook nimejua huyu DC ndio kiburi. Magu atampa tu nafasi nyingine Gambo
DC hana adabu hata kidogooooo, Pekee alipaswa kupata msukosuko, embu ona sasa kaponza wenzake masikini🤔
Dc hana hekima!
Mkuu wa wilaya alikua na mawazo ya ukweli ila hana busara, RC alikosea kidogo kutoa maelezo lakini ameonesha ukomavu maana pamoja na kuwa interrupted hadharani, yy hajareact. BUSARAA
Mkuu wa mkoa ana busara kuliko DC
Cheothamana hata mfalme Belishaza alilewa madaraka nakumkosea Mungu Gambo kilichotokea ndichoulichoshuhudia maisha yapo baada ya Rc ila Dc bhna umezingua sana ugomv wa chumbani mpaka kordoni 👂 aliyesikia ndiye kaambiwa
🤣🤣🤣🤣 ilibidi wakati nasoma hii comment nipunguze sauti ya redio na tv na simu nikaweka silence ili niielewe !!
Dc kiaz hyuu kwel gambo hn kosa
Uyo Dc hana busara Wala hekima ya kuheshkmu wakuu
DC anaonekana mkaid sana
Leo tumeona matokeo ya vita yenu...Lkn vijana wenzetu lazima mnaopata fursa ya uongozi someni nyakati..Rais huyu sio wa ofisini ni neema ya Mungu aliyotupa kutufikisha Watz Kanani
Mkuu wa wilaya ni msengerema huyo
Huyu RC Gambo anafahamika ni mtoto wa mama muuza uji..!!. Vipi kuhusu DC huyu?.
Muuza vitumbua
Tatizo ndio hili LA kuteuwana kwa misingi ya ukada na uccm, hii husababisha kuteua watu wasio makini na weledi wa kuheshimu misingi ya nafasi walizopewa kuzisimamia.
DC huyo sio mstaarabu kbxa anampinga mwenzie hadharan
Huyo ni askari... hataki siasa. Hawa wengine ni wanasiasa
Yaani NIDHAMU ndo baa kubwa hapa JIJI
Waswahili wanasema
Ukiwa Na Viroboto
Muogope Mtoa Funza
Alafu hivi huyu DC ni wa chama kweli au mamluki?
DC ni tatizo!
Chakupinga .
Huyu sio mwanachama... huyu ni askari. Tena ni boss mkubwa sana. Na hapo yeye walivyotumbuliwa yeye karudi ofisini kwake.
Daah Ok, lakini mm nadhani katika vitengo au tasisi ambazo adabu ni asilimia 100 hata kama boss wako ni mdogo kwako kielimu au kiumri ni hiyo uliyoitaja hapo, sijategemea kuona hichi alichokifanya DC mbele za hadhira hata kama RC anamakosa
@@msetimagori6352 Usalamaaa
kinachoendelea hapo wala bado hamjakijua dc yuko sawa kabisa ametumwa akachunguze bati siyo yy. alichokifanya ameagizwa sasa hapo Rc alikuwa anamtupia mzigo.
upo sahihi
Hawa kenge tu
Kuna vitu havipo sawa hapo kwenye uongozi wa Gambo anafaa ajitadhimini kwanza coz ni kiongozi mzuri ila anafeli kitu kimoja tuu.Akiwa public anashindwa kuonesha leadership hata lema ambaye ni mbunge wa Arusha mjini walitofautiana mbele ya wageni and was a shame
Gambo jembe hv makonda ungesemaje
Raisi.wetu.gambo.bado.nikiongozi.dc.hana.nidham.kabisa
Huwezi kuongea wakati mwenzio anaongea kiongozi anatakiwa awe na busara.
DC ni tatizo anaonekana kabisa
DC unatakiwa kuwa msikivu. Wacha muongeaji amalize kutoa hoja ili upate hoja kamili. Kitendo cha kumkatisha mtoa hoja kinakukosesha kupata hoja kamili na matokeo yake no hayo uliyoyafanya.
Zaidi hapo utii kwa kiongozi wa ngazi ya juu ni muhimu...au hata zile ABC as JKT umezisahau?
Wakikwete walike kulia wale wa Magufuli walike kushoto tukutane baada ya uchaguzi mkuu
Seen
Ana kiburi xn hyo mkuu wa wilaya
Hako kadc kaliteuliwa na Magi kweli mbona kana adabu Mbaya ivo?
DC hatambui nafasi yake, Gambo hana kosa na alitumia busara sana.
Nigekua mimi jpm dc ndiyo tatizo
wewe unasema DC ndo tatizo hujamjua huyo Mrisho Gambo vizuri anamambo ya ajabu sana
DC mnafiki
Hirl ri DC yaan ni rikiburi hasa lkn Gamb yupo vizr tu bas tu kamuaharibia
Kawaida ya wambulu DC anajeuri mbele ya mkubwa wake sio vzr
Mmmh
@@rehemajohn8816 mbona unaguna
Ushapotoka wewe
Akina tlatla ni shiiidaa, wana dharau haooo🤣🤣👍
Post ni 1 year ago lakin comments ninazoziona hapa ni 4 days ago, 3 days ago 1 day ago.
Kwamba hii post ilikuwa haionekangi mtandaoni au mlikuwa mnapita tu ila kwa sasa mkaamua kucomment.
Duuh ama kweli wantanzania mna hatar
😄😄😄😄
Aiseeee big UP DC
Rc anapenda sifa
Apelekwe kwa makonda akamjibu ivyo
DC ni ziro KBS Ila gambo anabusara
DC alimharibia mood ya kuongea boss wake...!!!
Dc mtata😃😃😃😃 Kamp0nza Rc wake ....haya mkapambane nje sasa ,kuzodoana mbele ya waandishi hii inaashiria walikuwa hawapatani hata kdgo ina maana walikuwa hawakai pamoja kuongea mamb yao haraf ndo waongee hadharan 😄😄😄
duuh
DC jeuri
gambo tunajua tatzo nini
Naona gambo anaamlishwa namdogowake ache maneno nayy anakubalitu anacheka wakati dogo amepaniki
Hawa kweli walikua hawaelewani
Mm kwa kweli nampenda Sasa Rc Gambo
Ahmed Ahmed Unaruhusiwa kumpenda ila hapo kachemka?
Ila RC anahekima sana kiukweli,na huyo dic ni wiv tu na chuki zisizo kuwa na maana hiv Inge kuwa rais angemfanyia hivyo chuki makazin tuziache mungu hapendi ili kazi iende vixur lazima kuwa wamoja,na Rc anaongoza kwa kutumia hekima sana labda apunguze upole gambo nimpole sana walah baba wawatu
@@felistergodbless7508 Felista, huyo jamaa ni mpole kwa muonekano, ila ana dharau na kiburi cha moyoni. Ana waona wa chini yake ni taka taka tu. Hana socialisation. Nenda kwenye ofisi yake utapata respond za wafanyakazi wake. Hataki kusikiliza wafuasi wake wanawaza nn wala wanajituma vipi. Yy ni alha na omega
Yupo vzr,alijishusha
Hapo mh gambo kakosea wp..tatizo ni huyu mkuu wa wilaya..
Kosa la gambo, ni kwa huo mradi upo chini ya ofisi yake, sasa...kuna dalili za rushwa hapo...ht ukimsikiliza Naibu Waziri anasema bei ya bati ime double....na ubora wa bati hauendandani. Sasa Gambo kosa lake ni kutaka kumlisha DC maneno kwamba yametoka kweny ofisi yake....!! Hivyo kutumbuliwa wote ni muhimu wote hawana ushirikiano au maelewano mazuri.
Huyu DC ndio Kilaza
Tatizo Hawa walikuwa wanawavimbia maboss wao
ulijisikia sana mkuu
Tabia haina dawa
Gambo-kaangushwa-nawiokua Chin yake
Hii tabia ya kujiona uko juu kwenye ajira watanzania tunazo sana hii sumu IPO miaka yote
Bora wamekaa pembeni.
Dc hana adabu ata kidgo
Huyo DC hana nidham kwa mkuu wake"mh.Rais liangalie hilo.ikiwezekana viongozi was aina hii tumbua Mara moja.
DC kuwa na nidhamu kwa mkubwa wako kuwa na staha,au umekunywa mabaki ya chadema?
Viongozi wangu tuntangurize mwenyezi MUNGU rorote turifanyaro
Sijaona cha kukasirika dc sasa mshatumbuliwa
Mbona kama Gambo anamuogopa huyu DC?
anamueshimu kwa sababu ya ukubwa wa umri sio kama anamuogopa
Dc anaonyesha ana kiburi sana
Na anaonyesha ni Jelousy hata sura yake unaona. .bodylanguage yake tu inakupa picha harisi ilivyokuwa huko Arusha..
Man he has no respect to his RC...wachaga tabu sana sisi
Huyo so mchaga ni mmbulu
@@azizawaziri1507 Ndio maana basi 😂😂lol
DC huyu ana tatizo!!