NILILALA NA FRED VUNJABEI / SIONGEI NA GIGY /MONI ALINITESA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 155

  • @salmaomary80
    @salmaomary80 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyu dem ana jua kupangia maneno sana nakupenda sana my nilikua siku elewiii ila nita anza kukufatia my love

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 ปีที่แล้ว +2

    Nzr sana.

  • @giventweve8602
    @giventweve8602 3 ปีที่แล้ว +9

    Diva shikamooooooo jamn mlete fahma anajikutaga sana annakwepa intavyuu yaan nimekukubali

  • @johariyahya7886
    @johariyahya7886 3 ปีที่แล้ว +12

    Diva unawakaba sana na maswali khaaaaa 😀😀

  • @merecianaleonidas6338
    @merecianaleonidas6338 3 ปีที่แล้ว +23

    2015 means ulikua form one, tayari unamjua Fred unaingia na kutoka Town.ha ha haa.hawa wasanii ni pasua kichwa na stories zao

    • @zenamgwao9751
      @zenamgwao9751 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @separatebetres5315
      @separatebetres5315 3 ปีที่แล้ว

      Sio watu hawa

    • @catherinemhagama7505
      @catherinemhagama7505 2 ปีที่แล้ว

      Mara form one 2015 Mara form two niliishi nae Moni Sasa mtt wa sec, unaishije kwa wanaume bado upo na wazazi. Napenda maswali ya Diva ya kisomi ila huyu Dada umizwa kichwa mengine SI mkweli.

    • @catherinemhagama7505
      @catherinemhagama7505 2 ปีที่แล้ว

      Umetisha Diva nakupenda buree

  • @narjey2611
    @narjey2611 3 ปีที่แล้ว +4

    Diva unakaba sanaaa😂😂😂😂😂wallahi dah adi raha unapaswa umuhoji fahima yule ng’ombe anajikutaga mgumu sana
    Fahima please nexttt

  • @giventweve8602
    @giventweve8602 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaan diva ni diva tuu nakupenda we dada unasaut aisee

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 3 ปีที่แล้ว +11

    Fred ata wamaliza mastaa wa kike wa bongo Kwakweli mnajizalilisha bora ata mfanye biashara kuliko mnavyo achiana mabwana na maradhi haya

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 3 ปีที่แล้ว +2

      Hivi umeskia ngoma ya #TrueBoy #HAWAKATAI?? This is what he means....😂😂

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +8

    Divaaa maswali uko mbele 💥💥💥💥

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว +5

    DIVA GOOD KUNA WAtu hawajuwemaswari ukonomaDiva

  • @enjoomaliya1399
    @enjoomaliya1399 ปีที่แล้ว +1

    Nai , Niffer , nawapenda sana , afu wazuri ,

  • @jackyjacob2105
    @jackyjacob2105 ปีที่แล้ว

    Waah huyo fred noma anawachanganya mastar wote kweli pesa shkamoo 😅😅😅😅🙌

  • @nasinalaw8740
    @nasinalaw8740 3 ปีที่แล้ว +7

    Fredy kumbe malaya hivyo khaah😔

  • @marianajoachim9411
    @marianajoachim9411 3 ปีที่แล้ว +9

    2016 alikuwa 4m2🙄 Hawa wasanii wetu mbona kazi sana 😂 😂 😂

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว +2

    Diva ni fireee🤗💟gigy bangi znamsumbua.haya mwaya pambana usiachie kitumbua kikaliwa na kila mmoja mwsho ataetaka kukuoa atakuja aone uwanja wa mkapaa...sawa nai?

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +5

    Mmmmh hiii tabu fred anatembea na vichaaa watamuanika hawa vicheche akome

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +7

    Bora hamisa ulivyo jikataa huyu fred ni malaya sana

    • @tsagytz6755
      @tsagytz6755 3 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na ela lazma utafune nyama. No bakola tu

    • @sashoright8213
      @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว

      Kwel Mana kamjua Ila anawza kua anazururaa nao kisa anione yy anapendeka kwasbb hamisa kamkataa ttzo ilo

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyu binti anaongea uongo mtu, ,

  • @joharibashiri2446
    @joharibashiri2446 3 ปีที่แล้ว +5

    Yani gigy kila nimuangaliapo Haki simsomi before nilikuwa nacukulia nimceshi Tu lakini now naona Kama Kuna kitu kashaanza hakipo Sawa kwenye ubongo wak

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +9

    Fred alikusapoti na dyudyu la yuyuuuu😂😂😂

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 2 หลายเดือนก่อน

    Katika vitu hatar hapa duniani ni kudate na mtu ambaye anamahusiano mengi,hapo utakuwa unasubir ukimwi uhakika.

  • @eunicemaduhu484
    @eunicemaduhu484 3 ปีที่แล้ว +6

    fred , fred, fred nakuita mara tatu , hilo pweza lako tuliza , jamani wote hao, wanaume tafuteni hela mtaishia kuwapa hi! shemeji

    • @brightluvanda2795
      @brightluvanda2795 3 ปีที่แล้ว

      Sema na huo ukimwi je?utawaacha? Hiv is real jamani!!"

    • @janethpallangyo2633
      @janethpallangyo2633 3 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @benomdaile7271
      @benomdaile7271 3 ปีที่แล้ว

      Fredi vunjaa bei ana vunjaa bei Kwa madada

  • @rosetembe3785
    @rosetembe3785 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama namuelewa hivyo, gigy anamchuchunge mchafu,na kujikutaga mnyamwezi kumbe fala tu

  • @aboukefea6669
    @aboukefea6669 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanaume WENZANGU tutafuteni hela...

  • @dallasfarmer924
    @dallasfarmer924 3 ปีที่แล้ว +7

    Hustler wanaichukuliaje Hawa 😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂

    • @veeJesus
      @veeJesus 3 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawajui hasa nn maana yke wanajiongelea tu

    • @mariyammariyam6584
      @mariyammariyam6584 2 ปีที่แล้ว +1

      Nahis wanaongea tu kama wanavyojua wao ila means hawajui lolote hustler

    • @sashoright8213
      @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅awaelewiiiii

    • @adamdaudi6191
      @adamdaudi6191 2 ปีที่แล้ว

      😀😀😀

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 3 ปีที่แล้ว +5

    izo ndo ps za town 😂😂😂😂😂njaa hizi hataleee

  • @fatumaabdallah6720
    @fatumaabdallah6720 3 ปีที่แล้ว +6

    Hahaaa Fred amekula hapo et kakayangu nyoooo unajikanyaga t kuongea ,,,,,,Ila wasichana wa bongo msipokuwa makini Fred atawala wote

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว

      Wataliwa sana wanapenda mtelemko sana

    • @brightluvanda2795
      @brightluvanda2795 3 ปีที่แล้ว

      @@dottohamisi9844 na yeye fred ataliwa na ukimwi!!"?

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว

      @@brightluvanda2795 😃😃😃😃😃hatali

    • @bonnysure8706
      @bonnysure8706 3 ปีที่แล้ว +1

      @@dottohamisi9844 We mwenyewe unamtaka Fredy acha upimbi

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +1

      @@bonnysure8706 mm hata sihitaji mwanaume

  • @lordthelpus7577
    @lordthelpus7577 3 ปีที่แล้ว +1

    Ummm who are these ladies? Everything about this aesthetically? OMG! They killing it. Well done. 👏🏾👏🏾👏🏾 👁👄👁

  • @jacksonnduna4419
    @jacksonnduna4419 3 ปีที่แล้ว +1

    Bongo kumpata seroius artist, yaani kwenye mia, unaweza upate wawili tu wengi wao ni vituko tu au kutafuta ku trend

  • @faridakidoti6734
    @faridakidoti6734 3 ปีที่แล้ว +5

    Duh Fred unawatumia Sana slay Queen

  • @lovenesssarungi2193
    @lovenesssarungi2193 3 ปีที่แล้ว +1

    Nai amejibu vizuri sana

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +27

    Fred atawala wengi sana kwa sababu wadada wenzangu wanajilahisisha sana awasemi na njaa zao

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa wataliwa sana

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fetychina3273 haswaaa

    • @justinafyondi8455
      @justinafyondi8455 3 ปีที่แล้ว

      @@fetychina3273 Dah nomah san!!

    • @linnusaloyce6559
      @linnusaloyce6559 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa mama

    • @salamaignace7873
      @salamaignace7873 3 ปีที่แล้ว

      Tamaa za kutaka mambo makubwa ili hali hawana hata uwezo wa kumiliki, and angalia kwa jinsi walivyo wadogo jaman!!

  • @neemaratib6810
    @neemaratib6810 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwanamke akiumizwa na mwanamume basi akili yake haifanyi kazi huangukia kwa mwanamume atakaye mpa bega la kulilia.

  • @lizzydiy4590
    @lizzydiy4590 3 ปีที่แล้ว +4

    Wanyakyusa tuna comment wapi?

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +5

    🙄🙄🙄🙄Sasa siulele na dunia nzima na ww maisha Yenyew mafupi ay

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว +5

    Big up Diva unajua kuwakaba!🤣🤣

  • @jonsonigwakisa1162
    @jonsonigwakisa1162 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwongo huyu 2016 form two

  • @cecymosha4528
    @cecymosha4528 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda nai

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +4

    Hivi kuibiana ma bwana mnaona nidili jamani???atakutaka vipi na Kesha kulamba tayari Kesha kufunua mnatia mpaka kichefu chefu mxxxxxxxxxxxw 😏😏😏

  • @ashantyjojo5298
    @ashantyjojo5298 2 ปีที่แล้ว +1

    2016 upo forn 2017 ukaanza kukaa na bwana uwiii shule ikaishia apo

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapa hamna kitu Fred ashajishindia

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 ปีที่แล้ว +10

    Eti ni kawaida kuishi nyumba za millioni!? Wakati NYETI ZAKO NDIYO ZINAHANYA KWA KUBULUZWA KWA WANAUME WENYE NOTI ILI ULIPIWE KODI!! Khaa kweli mtoto mpumbavu ni Mzigo kwa WAZAZI WK🦉🦩🐉

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 3 ปีที่แล้ว +6

    Moni kasimama km man hata mm nisingekubali madharau

  • @salmahibrahimsalmahibrahim5427
    @salmahibrahimsalmahibrahim5427 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyu nae

  • @sarafinahmwakyusa1071
    @sarafinahmwakyusa1071 3 ปีที่แล้ว

    Say Ayeye

  • @sarafinahmwakyusa1071
    @sarafinahmwakyusa1071 3 ปีที่แล้ว

    Cool cool😊

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake bhana wakisaidiwa kidogo tu wanajiachia duuh sio watu wakuwaamini!

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 3 ปีที่แล้ว

      Hivi umeskia ngoma ya #TrueBoy #HAWAKATAI?? This is what he means....😂😂

  • @veeJesus
    @veeJesus 3 ปีที่แล้ว +10

    Nai anaongea kama wolper

  • @Bengo_OnlineTv
    @Bengo_OnlineTv 3 ปีที่แล้ว +4

    Nai unajua sana jinsi ya kujibu maswali nmekupenda bure

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 ปีที่แล้ว +5

    Fred alimega kisela 🤣🤣

  • @mugwevenant1963
    @mugwevenant1963 3 ปีที่แล้ว +4

    Shikamoo pesa

  • @lisahsamwel3508
    @lisahsamwel3508 3 ปีที่แล้ว +7

    2015 alijuana na fredy akiwa anakuja mjini 2016 alikua fom 2 uko kwao jamani 😅😅😅

    • @amaniomballa1855
      @amaniomballa1855 3 ปีที่แล้ว

      Duu inaonekan Alianza kupelekewa Moto toka form one maan kasem form two 2016 ...2015 Alikuwa Anaenda kwa Fredy

  • @moseskitangita915
    @moseskitangita915 ปีที่แล้ว

    dada zangu mumejitwisha dunia kwa tamaa inaonekana ww ulimchiti moni maongezi yako yanakusuta ww tamaa

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi umeskia ngoma ya #TrueBoy #HAWAKATAI?? This is what he means....😂😂

  • @tukaeamani7090
    @tukaeamani7090 ปีที่แล้ว

    Muwe mnaangaliaga mawani ya kuvaa jamani , hiyo mawani kama fundi welding vipi kisha umevaa usiku, vua bana

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna bwanamumbaya unawezavumiriyaunashidwa japokuwa nyiye hamujaolewa niumalayatupu

  • @user-xh7vw4kk7o
    @user-xh7vw4kk7o 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @hatari9591
    @hatari9591 3 ปีที่แล้ว +1

    Uhuru gani huo?

  • @tukaeamani7090
    @tukaeamani7090 ปีที่แล้ว

    Kupendeza gani huko kama fundi Welding

  • @paulmarcel1026
    @paulmarcel1026 3 ปีที่แล้ว +1

    Ulisharubuniwa ww! Vp shule ulimaliza ?

  • @erickmahona5357
    @erickmahona5357 3 ปีที่แล้ว +3

    Nai mbn sikuelew kweny vunj bei apo unaingia mala unatok

  • @aminamtikaonlinetv7305
    @aminamtikaonlinetv7305 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo ukuwa na mapesa wadada wanajileta wenyewe so kama huna msimamo aiseee utapiga sana.

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 ปีที่แล้ว

    Mliingiliana nyie,lakini km mlishayamaliza potezea tu

  • @nasibukhingengena455
    @nasibukhingengena455 3 ปีที่แล้ว

    Tume drinks😂😂

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 3 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe huyu Fred ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine anawapanga tu ukimuona huwezi kuamini

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +9

    We nai unajichubua naona vidole vinasugu veusi

    • @georgesikazwe5914
      @georgesikazwe5914 3 ปีที่แล้ว +4

      Jichubue na wewe..acha wivu

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +2

      @@georgesikazwe5914 unateseka ukiwa wapi 😀😀😀

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gillimangi5522 soon nitaanza kujichubua my 😄😄😄

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gillimangi5522 kwani kwao ni wapi

    • @florencychilango9198
      @florencychilango9198 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jenifajuma5395 Wadada tunawivu sana sasa unaangalia mahojiano au unaangalia maungo yake

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @Bengo_OnlineTv
    @Bengo_OnlineTv 3 ปีที่แล้ว +5

    Ujue sometimes sisi wanaume huwa tunazingua sana ujana uplayboy na tamaa ndio vinatufanya tuwalize sana mwanamke hebu tuache ili tuweze kuwa waaminifu kwa tuwapendao nmejifunza kitu hapo

    • @humphreyalbano3349
      @humphreyalbano3349 3 ปีที่แล้ว

      Kweli bro na wao wapunguze tamaa za pesa

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +1

      Ujengewe sanam lako posta😂

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

      Ulinzi unatakiwa kwa hyu kijana🤣

    • @Bengo_OnlineTv
      @Bengo_OnlineTv 3 ปีที่แล้ว +5

      Huwa naumia sana kuona mwanaume anamfanyia mwanamke ujinga ndio maana naogopa kumliza mtu nliyenae yan anafikia hatua ya kuniambia kuwa nikimuacha na yeye anajiua eti kisa sijawahi fanya kitu negative kwake kwenye swala la mapenzi pls mans hebu tuwe na huruma unakuta mwanaume anamcheat her girl kwa best yake alaf anachukulia fine kabisa ila sisi wanaume tutakuwa na moto wetu private siku ya mwisho

    • @esterngowi7159
      @esterngowi7159 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Bengo_OnlineTv mungu akueke brother love thiz

  • @aishahamissi3775
    @aishahamissi3775 3 ปีที่แล้ว +1

    Diva menakukubali unajuwa kuhoji kabisa

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 3 ปีที่แล้ว +1

    Oky

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda7347 3 ปีที่แล้ว +6

    Aka nakenyee aka katoke zake uko hakana utofauti na kuku kishingo

  • @zenamgwao9751
    @zenamgwao9751 3 ปีที่แล้ว +4

    2016 form2 na 2017 anaish na mon🤔

  • @aprow2059
    @aprow2059 ปีที่แล้ว +1

    Malaya tu wategemezi

  • @ginamulenga1878
    @ginamulenga1878 3 ปีที่แล้ว +4

    @Fred vunjabei Come See Your Trouble

  • @bashirusalehenandoro3128
    @bashirusalehenandoro3128 3 ปีที่แล้ว +5

    Fred aisee amewakula sana hawa wadada 😂😀😃

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 ปีที่แล้ว +1

      Si wanapenda pesa wataliwa2

    • @saidramadhan5396
      @saidramadhan5396 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwastaili hii amewala mnoo😅😅😅

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saidramadhan5396 sana 🤣🤣🤣

    • @bashirusalehenandoro3128
      @bashirusalehenandoro3128 3 ปีที่แล้ว

      Na mwamba simu moja tu anapitisha piza analipa kod ya miez 3 alafu mbele huko utajitegemea

    • @dfinafriga9863
      @dfinafriga9863 3 ปีที่แล้ว +1

      Nipesatu🤣😂

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +15

    Ila huyo Gigi money nae kila mtu unagombana nae hebu acha kujiamini Sanaa ujeuri umekujaa mdomo mchafu Sana yaani Gigi money huwa nakupenda ila kwa hizi bifu za kijinga na wenzio tu jirekebishe bhana unakera Sana Gigi

  • @hiland255fundi5
    @hiland255fundi5 3 ปีที่แล้ว +3

    Umalaya shida kwel mtoto wa watu unajing'atA sana, Dunia iko mbio mno

  • @isackmaturo7331
    @isackmaturo7331 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwahyo ulikua unasoma huku umeolewa namaanisha ulikua unatoka kwa mume unaenda shule

  • @lovelylee7296
    @lovelylee7296 3 ปีที่แล้ว +2

    Haha

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumbavu tupu

  • @juniorjoseph7044
    @juniorjoseph7044 3 ปีที่แล้ว +1

    muongo

  • @speroachpaulsen
    @speroachpaulsen 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @nishaabias5694
    @nishaabias5694 3 ปีที่แล้ว +1

    I am mnyama mkali😂

  • @nyandabukombe9291
    @nyandabukombe9291 3 ปีที่แล้ว

    Mkukuje huku tulane

  • @fettyobah7855
    @fettyobah7855 3 ปีที่แล้ว

    Nilikua skupend we dda bt nw nimekuelewa, unaakili San

  • @jacksongidion2767
    @jacksongidion2767 3 ปีที่แล้ว +1

    Y

    • @jacksongidion2767
      @jacksongidion2767 3 ปีที่แล้ว

      Atawamaliza Frid vunja bei

    • @allyshamte1802
      @allyshamte1802 3 ปีที่แล้ว

      Vimeo tu hivi!
      Tamaa mbele umauti nyuma, pumbavu zao.

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj5407 3 ปีที่แล้ว +1

    Disgusting

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice