Sina streeesssy kabisa Nina imani na mungu wangu kile kibanda ambacho mamangu anaishi humo ndani niba Plani WA kumjengea Jumba nzuri I believe ntafaulu🙏🙏wasio na stress kwa chochote kile tukimtumainia mungu npeeni like zenyu am from kenya😘😘
Amen 🙏🙏🙏Bado nakumbuka maneno ya mamangu wakati natoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nakuja 🇸🇦🇸🇦🇸🇦Na sahii natimiza ndoto ya mamangu 😍😍😍😍Kaka Mungu akubariki sana nyimbo zako zanibariki
sina strees kwake bwana ninaimani naye Amen! Wimbo mzri sana unanipa nguvu ya kupambana na maisha na ninaiman pia na mungu wa mbinguni yote yatatimia kwangu aliyonipangia!! Mungu wa mbinguni akubariki zaidi!!!
Ameeen,,maisha ni magumu ndio lakini Nina Imani na mungu# amesema kwanza utafute ufalme wake na hayo mengine yote atayazidisha,, from Kenya,, tunakuombea mungu akiinue kipaji,🙏🙏
Maisha n magumu ndio lakini Nina Imani na Mungu,such a powerful song kuanzia Leo sina stress chochote kilicho kua kinanipa stress nimeachia Mungu ampiganie🙏
Butati barikiwa Sana I used to hear your songs on radio milele nashindwa uyu kijana anaimba vzri Ivo n nani baadaye nikaomoka nikabuy simu na nikakusearch na nikakupata umekuwa wa baraka kwangu kupitia kwa nymbo zko Mungu azdi kukuinua
Aniseti Butati kwakeli nakupenda sana , mungu aendeleye kuku weke pumzi kwasabatu unanifanya kujuwa mungu . Niko jiyani kwenda tanzani kukuona. 2025 lazima tuonane, from Congo
Aniset Butati, tunakupenda na tutakusupport. Much love from Kenya✨✨👏🏽
Sina streeesssy kabisa Nina imani na mungu wangu kile kibanda ambacho mamangu anaishi humo ndani niba Plani WA kumjengea Jumba nzuri I believe ntafaulu🙏🙏wasio na stress kwa chochote kile tukimtumainia mungu npeeni like zenyu am from kenya😘😘
Sina strss naomba like yakoo Basi Kama umeupenda wimbo huu
Nimeipenda sana
shut it
Amen
😢😮bj;vbiiviuvhuhh😅hgi😢!ybyyyyb ya😢😢😢😢😢😢😢
❤
Sina stress, Nina Imani na uyu Mungu 🙌. Ata kama Leo sijapata Kesho nitapata, sina stress 🥰🥰☺️🤗 🇸🇦🇰🇪🇰🇪 Like ya team Strong please
Mwanangu ni heri uvae shati lililo chakaa kuliko ukavaa suti ukakosea kufunga vifungo Walahi tena sina stress🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏Bado nakumbuka maneno ya mamangu wakati natoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nakuja 🇸🇦🇸🇦🇸🇦Na sahii natimiza ndoto ya mamangu 😍😍😍😍Kaka Mungu akubariki sana nyimbo zako zanibariki
Amen! Mungu amzidie, I'm fully touched
sina strees kwake bwana ninaimani naye Amen! Wimbo mzri sana unanipa nguvu ya kupambana na maisha na ninaiman pia na mungu wa mbinguni yote yatatimia kwangu aliyonipangia!! Mungu wa mbinguni akubariki zaidi!!!
😭😭😭I love this song. Your songs are super inspiring. #sinastress ❤wapi likes from 🇰🇪
Sina stress félicitation pour cette chanson imenikumbusdha shahuri ya wangu maman ❤
Mmmh jaman mama uliko nisikie uliko napambana kuna sku hicho kibanda tutabomoa tujenga nyumba nzur!! Sina stres..l love my mother!!..
Mama Asante Sanaa kwausia wako bora nivae shat lililochakaa kuriko kuvaa suti niliyokosea kufunga vifungo♥️♥️♥️♥️sina stress 🙏
Ameeen,,maisha ni magumu ndio lakini Nina Imani na mungu# amesema kwanza utafute ufalme wake na hayo mengine yote atayazidisha,, from Kenya,, tunakuombea mungu akiinue kipaji,🙏🙏
Maisha n magumu ndio lakini Nina Imani na Mungu,such a powerful song kuanzia Leo sina stress chochote kilicho kua kinanipa stress nimeachia Mungu ampiganie🙏
Butati barikiwa Sana I used to hear your songs on radio milele nashindwa uyu kijana anaimba vzri Ivo n nani baadaye nikaomoka nikabuy simu na nikakusearch na nikakupata umekuwa wa baraka kwangu kupitia kwa nymbo zko Mungu azdi kukuinua
Aksanti mungu akubaki
Aniset, naomba uje Kenya hakuna stress neema tele
Hata mm Sina stress, watoto nazaa huu mwaka, najenga huu mwaka, mama bado na pambana
Nyimbo imenitia sana Nguvu....Bro keep going,...Jina la Bwana libarikiwe, 🙏🙏 Hakika kwa Mungu ni no Stress
Mama cha kwanza umshike Sana Mungu Mengine yote atakutendea Kama nimajumba nami nitajenga tu Mungu akubaliki mtumishi
Ooooh haleluya Nina Imani na MUNGU wangu Sina stress mbinguni nitaingia
Sina stress mungu yupo pamoja na Mimi kila kitu kinawezekana
Hakika kwa Yesu Sina stress. how inspiring it is❤️❤️
Amen kwakweli wimbo umenigusa Sana ....amen inuliwa Zaid ndugu na Bwana Mungu
Barikiwa Sana kakangu, hata mimi Sina stress na maisha yangu sababu niko na Yesu
Kweli mvumili ula mbifu ,blessing song
Good song my big brother tunakupenda uku nchi ya burundi
Uinuliwa sana bro, sina stress
Kwake bwana sina stress..naamini atatenda..be blessed ❤
It's a nice song actually but I like yours tesmonies true this song
Asante,,sana mtumishi,,nimeukuzwa sana na hii nyimbo,,,"Sina Stress"lakini mungu atanipaa tu...
Sina stresses love this song alafu the message and the beat ni fire
No stress when in Christ. When you have him you have everything.
Cna stress, nikomungu, na badO nakumbuka shauri la mama
E
392
Ep 3039
Ata mimi nakukubali sana kaka kalibu na kwetu sumbawanga Laela mkoa wa lukwa mungu yupo najua utafika tu
WOWWW GONJA LIKE AMBAO HATUNA STRESS
Sina mbele za bwana ❤this song barikiwa Sana mtumishi
2023,..Am I the only visitor I Jerusalem? I join the bandwagon of FAITH..Sina STRESS! Naaminj huyu Munguu
Leo hapa Kapunga imba ile ya wataulizana mtumishi itanibariki sanaaaa
Listened to this song for over 10x.....i love it its so inspiring, may God keep lifting you to higher levels
AMEN - SINA STRESS niko naye MUNGU WA MBINGUNI kwa Imani.
Wow kaka u r touching me so much wah mama my love 💕💕 forever...from Kenya
God 🙏 you good messages.mr& Mrs Margaret Alston Nakuru kenya
hongera butat kila nikiuckia huu wimbo unanifanya nikaze but bila kukata tamaa
Daaaaaaah mungu aendeleee kukutmiazaid nazaid asant kwa ujmbe mzto waktutia moyo
Butati much love from kenya 254
Kwakee, kwake Bwana sina stress, amen, amen hakika nimebalikiwa sana🙏
Sina stress ipo siku Mungu wangu atanibariki
Big up brother 🙏
Great guy God can bless him aendele ivo
Kaka umeandika sanaa
Asante sana ndugu aniset wimbo wako unatiya moyo sana Mungu akuzidishiye ujizi
Amina, kazi yako nzuri sana na mungu aendelee kukutumia . Umenibariki sana
Barikiwa sana myumish wa mungu nyimbo nzuri sana❤❤❤
Hit from home boy God bless you kaka aniset Butati mm napenda ulivoanza kuimba apo mama anapiga cm🔥🔥🔥🔥
Sina stress najua Mungu atanifungulia milango.
Sina stress Bwana ataniinua Nina Imani na Mungu wa Mbinguni Kenya
Sina stress
Mungu akuinuwe viwango vingine Kaka yangu Aniseti Butati
God wil give you long life be couse you are blessingthe one are down
Sina stress in Jesus name namuamini Mungu wa mbinguni
Wimbo huu unanifaa sahi..sante Butati kutukumbusha,sasa sina stress God will take care of my situation
It's very inspirational song,of course sina stress in Jesus name,ubarikiwe servant
In God surebet no stress.move on bro
Aniseti Butati kwakeli nakupenda sana , mungu aendeleye kuku weke pumzi kwasabatu unanifanya kujuwa mungu . Niko jiyani kwenda tanzani kukuona. 2025 lazima tuonane, from Congo
no stress kwa mungu namwaminia
God continue blessing you my brother, comment from Zambia 🇿🇲
Sina stress kwa yesu.AMINA🙏🙏
Mtumish Wa mungu ubarikiwe kwa kazi nzur
Oooh my God this song has alot of courage, be blessed Aniset B. Sina stress kabisa🙏🙏🙏
I know God will bless my life 🙏🙏 sina stress be bless my brother
sina streesy song nina amani❤😮😮😮😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉🎉🎉l Love you song
It's 2023 and this remains my favourite song...#sinaStress❤
Sina stress may Almighty God bless you always
Hii kubwa zaidi Sina stress Yeye ni mkuuu
I am blessed my brother sina stress kesho nitapata
Kweli kwa Mungu hakuna stress, wimbo nzuri huu,naiskiza kila wakati❤❤❤
Naipenda sana hii inanipa ngungu ya kupambana
Nabarikiwa na wimbo huu kaka mung akutunzeee na akufikisheee mbaliiii
Kwa kweli kwa mungu Sina stress, thank you I like the msge of the song,,, all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 you never dissapoint in your song
I love this song from D.R.CONGO
Ulashobhoye chane ndakwemela mwabhoooo ulakoze chane
The song is so touching....have cried 😭😭😭😭😭 may God fulfill my desires........Sina stress 🙏
Sina stress,,barikiwa mtu wa MUNGU
Mapacha Wa Yesu Tumetulia zetu huku tukiwa hatuna Stress Hongera Saaana kaka Videos Kali wimbo Mkali Mungu Akubariki Saana na uendelee Kuwa Juuuu 💯
Emen
Waha hawajawahi kukosea👌👌👌👌👌
SINA STRESS NAPAMBANA HUKU MJINI NAJUWA KILE KIBANDA TUTAKIBOMOWA NA TUTAJENGA GOLOFA .
UJUMBE HUU SIYO WAKAWAIDA MUNGU AKUTUNZE ZAIDI BUTATI
Jamn Mungu akubark sana kaka, naupenda sana huu wimbo
Barikiwa sana mtumishi
Wee!!!Goosepumps nazo, 😍😍😍much love from Kenya 😍😍😍sina stress, ni na Imani kwake Bwana 🙏🙏🙏🙏🙏
Caro kemunto watching from saudia kama huna stress gonga like zetu tukienda AMEEEN
Hakika 🔥🔥🔥🔥🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️ ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 📖
Hongera bro kesho,kesho kutwa nitajenga tu.
Glory to God watching from Saudi Arabia am blessed
QAs to air
Sina stress from South Africa 🇿🇦
Sina stress Mangoli (Mama) ,acha nitafute ufalme wa mbinguni kwanza
nimeipenda saana mama,mama bado napambana
Ubalikiwe.sana.kwa.wimbo.huu.mtumishi.wa.mungu
Nakubali nyimbo zako moendwa
I much encouraged by this mr Aniset.....more grace
Sina stress wow🥰🥰very touching song🙏🙏
Ni wimbo ninao upenda ukiimbwa nakumbuka mbali
Am Aidah from Uganda you make not lose hope
Kwakweli kwake bwana sina stress.Amen.
Kwake bwana Sina stress ak Mungu wangu in Saudi am blessed ❤
From Kenya. Nikiusikiza huu Wimbo machozi ya furaha unitiririka.barikiwa sana mwimbaji