Jiulizie : Wacha tuachane tu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @rhumbadoctore0
    @rhumbadoctore0 5 ปีที่แล้ว +2

    Bora uhai

  • @cecekariuki9425
    @cecekariuki9425 5 ปีที่แล้ว +4

    Uyo mama alikua anamis uyo jamaa

  • @jonahkamau4278
    @jonahkamau4278 5 ปีที่แล้ว +7

    uyo dem ni ufala.... anachokoza jamaa bure

  • @winniewayesu6876
    @winniewayesu6876 5 ปีที่แล้ว +1

    Nombre moja

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 ปีที่แล้ว

    Huyo mama nimuongo sana.

  • @roselineawinja6604
    @roselineawinja6604 5 ปีที่แล้ว +3

    Mary bado unapenda Samuel, ukiolewa inafaa ubadilishe number ya simu, Mara hiyo.

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 ปีที่แล้ว +3

    Better to be single forever

  • @bekathiongo359
    @bekathiongo359 5 ปีที่แล้ว

    Kenya vituko ni mingi bana

  • @faizshikoo9503
    @faizshikoo9503 5 ปีที่แล้ว +6

    Singles mom mnashikanisha manenoz hapo

  • @maxwelseagal7399
    @maxwelseagal7399 5 ปีที่แล้ว +3

    Ii dame inataka kurudisha uu jamaa ...jamaa hana shughuli

  • @keyadaniel6548
    @keyadaniel6548 3 ปีที่แล้ว

    Temple ya warasta

  • @bravinpeace6431
    @bravinpeace6431 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona anachokozea samuel bure

  • @janejayne7199
    @janejayne7199 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama amechanganyikiwa ajue huyu mwenye anasema anamlelea watoto atamgeuka tu siku moja men ni men. Alafu please mtumie lugha tunaelewa wote wengine hatuskii kikamba ama ni kikuyu io.

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri7537 3 ปีที่แล้ว

    Huyu dem ni uchokozi tu ako nayo

  • @its_madollah254
    @its_madollah254 3 ปีที่แล้ว

    huyu dem ndo anatafuta huyu boiz

  • @lucykariuki109
    @lucykariuki109 5 ปีที่แล้ว

    Niurimu...

  • @marysarahkadogo116
    @marysarahkadogo116 4 ปีที่แล้ว

    Niurimu...huyo mwanamke ni mjiga sana ...

  • @marynderu9846
    @marynderu9846 5 ปีที่แล้ว

    Huyo dem ako na yaja na jamaa

  • @johngitaka8409
    @johngitaka8409 5 ปีที่แล้ว +1

    Ulikuwa unamlika jamaa

  • @jenniferkamosh6708
    @jenniferkamosh6708 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanamke ni wale wakutafute maneno, ama alikuwa anataka kujiskia kwa radio Bure kabisa, wachana na kijana wa watu kwanza una sound mzee kumliko nkt

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว +2

    Leon pls ni fafanulie vile samuel nijue ameongea nini

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 5 ปีที่แล้ว +1

      Omukhana wefu bolakhwo!!

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว +1

      @@roselineawinja6604 amalai obiri khulishi wa mama

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 5 ปีที่แล้ว +1

      Roro17758 Rose 17758 rororo endi omulamu mwanawefu, ekhupila Nyasaye orio khubulamu, naawe??

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว +1

      @@roselineawinja6604 orioo yetsomibwe khubulindi katasie endi omulam sana

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 5 ปีที่แล้ว

      Roro17758 Rose 17758 rororo 👊👊 haya akoloba indayi, ekhusesienge butswa owefu

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mwanadada why kama uliacha yeye why bado unajibu text zake..Block yeye nauachane naye.Nainakaa ata wale watoto Ile Mwanaume alikuowa sio wa Huyu umepitia simu wote.Niwa Baba wawili

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว +1

      Sikia vile anaongea kikumbavu 😛🤣🤣

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว

      @@RoroRoserororo Iyo ndio ujinga ya kufunga miakaa na ex wake

  • @loisegithumbi1124
    @loisegithumbi1124 5 ปีที่แล้ว

    T care of uaself ama uuwawe

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani Mwanaume mzima anaolewa na shosh .Do kill people of Redio jambo 😂😁😂😁😃

  • @zaynpdogdhgg8755
    @zaynpdogdhgg8755 5 ปีที่แล้ว

    Achana nahuyo hatamaongezi yake hakaikuwa sireas bado anaraha nyingi ndani yake nauwongo mwingi wemove one achana nae

  • @simonmwangi3279
    @simonmwangi3279 5 ปีที่แล้ว

    You are trying to force boychild to admit your falsehood nkt kinugu kisichana kibaya

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri7537 3 ปีที่แล้ว

    Am getting bored to listen to this,, this woman shaitan

  • @mohammedhadijellyboy8753
    @mohammedhadijellyboy8753 5 ปีที่แล้ว

    What kind of rubbish is this ?? Just move on with your life marriage is like doing business it fails and you start a new one