Wah! Mungu wangu nakuamini siku sote, wee ndie umefungua njia ili hii story ijulikane..nakuomba kwa unyenyekevu ufanye haki itendeke na pia huyo msichana umtoe kwa mikono ya wahalifu.
so sad malipo ya dunia ni hapa to wasting young girls life damu inalia n hutapata Amani I feel mercy for her hakuna kitu inafichika umejiset mwenyewe ulifanya kwa siri.
Wallah huyu kijana ni jambazi sugu kwakweli, yaan miaka yote mtu wamemfungia wallah anahaki ya kunyongwa kabisa maskini wazaziwake walishamshukuru mungu , sasa hao wote waafrika na wakenya wangefanyiwa na watu wa nchi zingine wangeandamana hadi kwa rais wallah haki itendeke
Eii very sad,mbussy make sure mumefatilia huyu nyang'au na rafiki zake wawajilie huyo msijana akiwa salama,na wale wote walio husika na hicho kitendo wakamatwe na kufunguliwa mashitaka.
ngaii tangu lini?wazazi wa huyo msichana hawana amani nayuyo mwanaume anaongea kama nikitu poa alifanya?haki mpatianeni huyo miaka hio yote na yuko naamani tu?
uyu sheria ichukue mukondo wake kwani ma penzi ni lazima alafu anasema wata mwacha usiku usiku akipatana na watu wabaya watatoka kwa hayo mambo. ati fathe ata kasirika bado ata kasika2 juu iyo sio poa.
Whaaaatttt😭😭😭😭😭 Aki Kuna watu wana Roho mbaya wallah.....alafu lifala linaongea Kama Ni kitu kizuri tu...atafutwe na police😥😥
Oh my God have Mercy .....tomy sister
Wah! Mungu wangu nakuamini siku sote, wee ndie umefungua njia ili hii story ijulikane..nakuomba kwa unyenyekevu ufanye haki itendeke na pia huyo msichana umtoe kwa mikono ya wahalifu.
OMG!! Mbusii na Lion pls keep updating us, we wanna know I'd atapatikana huyo dem
Sad indeed , is Matiang’i available 🤔🤔🤔
Huyo kaka akamatwe afungwe Mwendawazimu kweli
A very bold criminal shame on you😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Arrest Arrest
So 😔... Am out of words...
Ata kama Aki
Hio mbaya
Bangi mbaya sana duh hii noma
Please let me us know next steps please well done guys
So sad
Huyo Jamaa a nafaa ashikwe
Iyo ni kidnapping jameni
This police case
Thats a criminal offense....
Jesus,🙀🙀🙀🙀 this is serious!!,need to know how this ended
Mungu kubuka watoto wetu,woooii mahali alipo Mungu msaidie.aki Huyu kijana ako na mambo.
He should be in jail with his group ASAP
Kwa hivyo unamanisha wanatumia hyo msichana kimapenzi wote waaaah n baya aki hyo boy ako n roho mbaya sana
I think this guy is now in jail for kiddinaping there worker coz the guy himself has confess with his mouths
bytha hii story kuliendaje @2020?
Wah
He should be in jail.
Heartless soul
Khai jinga ya wapi hii😬
kwa sheria yangu kama mwana Redio jambo musikilizaje..Nawaomba please Huyo kijana ashikuwe nasio siri please
hizi ni ngibwe sana, nikiwapata nawakata masikio yote
Labda hata kwao walidhani amekufa so sad huyo kijana mjinga ashikwe
The soul of an innocent gAl suffering is haunting this guy atleast atashikwa na gal ataokolewa
40 days dio hizo Hata police wangekua wameshika huyu ngombe
Mbusi na lion tupee update kuliendaga aje?
Gahii huyo kijana nimwalivu sana ashiguwe na gropu yake mara hiyo hiyo plzz hii sio siri plzz
😲😲😲 waah!
so sad malipo ya dunia ni hapa to wasting young girls life damu inalia n hutapata Amani I feel mercy for her hakuna kitu inafichika umejiset mwenyewe ulifanya kwa siri.
Omg omg..very wicked and heartless people..how can u do that to an innocent soul ..karma is real..wait for your karma also
Weee Yani miaka 6 kufungiwa ju ya Lolo ashikwe Mara moja jambazi sungu
eti 6 years?
Mm naona hawa vijana wamlipe hio.6yrs 1m.pia huyu wakisha mlipa wafungwe six yrs funzo
Mpango kwa police awekwe Dani👍
Ndani sio dani 😀😀😀
miaka sita mnafungia mtoto wa mtu?? ashikwe awekwe ndani
Thats jaluo jeuri
Wallah huyu kijana ni jambazi sugu kwakweli, yaan miaka yote mtu wamemfungia wallah anahaki ya kunyongwa kabisa maskini wazaziwake walishamshukuru mungu , sasa hao wote waafrika na wakenya wangefanyiwa na watu wa nchi zingine wangeandamana hadi kwa rais wallah haki itendeke
Eii very sad,mbussy make sure mumefatilia huyu nyang'au na rafiki zake wawajilie huyo msijana akiwa salama,na wale wote walio husika na hicho kitendo wakamatwe na kufunguliwa mashitaka.
Aki hii ya leo apana saidien uyo msichana awachiliwe
ngaii tangu lini?wazazi wa huyo msichana hawana amani nayuyo mwanaume anaongea kama nikitu poa alifanya?haki mpatianeni huyo miaka hio yote na yuko naamani tu?
ambia mamboyz wamuachilie
Huyu ni kumshikisha na polisi
Shalo aki hii dunia imeharibika kweli..Kijana mdogo hii
uyu sheria ichukue mukondo wake kwani ma penzi ni lazima alafu anasema wata mwacha usiku usiku akipatana na watu wabaya watatoka kwa hayo mambo. ati fathe ata kasirika bado ata kasika2 juu iyo sio poa.
So sad arrest him matiang
Peana huyo jamaa wacha kuaribu wakati
Huyu ni mpumbavu ashikwe awekwe ndani Jesus all those years 🤔
Blood crying,,,,,wah,,,,he never know what is happening to him,sleepless nights ndo izo
Mbusi tupe hii story ilienda aje
who is reading commends za ladies? eti maboys hehe
Jamaa afuatwe na ashikwe na hatubu kabisa.
So these two clowns are promoting smoking of ganja in this pic that Radio Africa has used? Media ethics!!!