VIVUMISHI VIULIZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024
- Viulizi ni maneno yanayotumiwa kutaka kujua kuhusu jambo, mtu au kitu fulani.
Viulizi hutumika kuulizia maswali.
Mifano ya viulizi ni: -pi?, -ngapi? = huchukua viambishi ngeli.
Je? Nani? Nini? Gani? Lini? Mbona? Kwa nini? = havichukui viambishi ngeli.
Viulizi ni wingi, umoja ni kiulizi.