- 36
- 25 110
MUKUZI KELVIN MWALIMU
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 23 พ.ค. 2020
I am a passionate and competent Kiswahili teacher with over a decade of experience in imparting the beauty and richness of the Kiswahili language to learners of all levels. My teaching philosophy is built on fostering a deep understanding of Kiswahili culture, grammar, and vocabulary while promoting effective communication skills. I am dedicated to creating a supportive and engaging learning environment that empowers my students to achieve their language goals.
วีดีโอ
Mchèle ni mui na wapishi nao. #methali #motivation #kiswahilirahisi
มุมมอง 310 หลายเดือนก่อน
Mchèle ni mui na wapishi nao. #methali #motivation #kiswahilirahisi
Dhima ya lugha - Sarufi Kidato cha kwanza #kiswahilirahisi #kcsepastpapers #cbc
มุมมอง 4510 หลายเดือนก่อน
Dhima ya lugha - Sarufi Kidato cha kwanza #kiswahilirahisi #kcsepastpapers #cbc
methali za Elimu na Maarifa sehemu ya pili.
มุมมอง 14111 หลายเดือนก่อน
#methali #kiswahilirahisi methali za Elimu na Maarifa youtube.com/@mukuzikelvin?si=00WLC58rXcqTt5vB Hamjambo? Mimi ni Mwalimu Mukutsi Kelvin, na nina furaha kujitambulisha kama mwalimu mwenye uzoefu wa Kiswahili ambaye amefundisha kwa miaka kumi. Safari yangu katika elimu imekuwa yenye furaha, na nimepata heshima ya kushiriki ujuzi wangu wa lugha ya Kiswahili na utamaduni na wanafunzi kwa muong...
#methali #methali za adabu #swahiliprovebs
มุมมอง 10811 หลายเดือนก่อน
Hamjambo? Mimi ni Mwalimu Mukutsi Kelvin, na nina furaha kujitambulisha kama mwalimu mwenye uzoefu wa Kiswahili ambaye amefundisha kwa miaka kumi. Safari yangu katika elimu imekuwa yenye furaha, na nimepata heshima ya kushiriki ujuzi wangu wa lugha ya Kiswahili na utamaduni na wanafunzi kwa muongo mmoja uliopita. Kupitia kazi yangu, nimeona nguvu ya lugha katika kuwaunganisha watu na kufungua m...
kiswahili proverbs methali za adabu #kiswahilirahisi #methali
มุมมอง 139ปีที่แล้ว
kiswahili proverbs methali za adabu #kiswahilirahisi #methali
KISWAHILI SHULE YA UPILI #KCSE #SHULE YA UPILI
มุมมอง 85ปีที่แล้ว
KISWAHILI SHULE YA UPILI #KCSE #SHULE YA UPILI
#CBC #kiswahilirahisi #CBC #KICD #kiswahili GREDI YA KWANZA Karibu darasani
มุมมอง 94ปีที่แล้ว
#CBC #kiswahilirahisi #CBC #KICD #kiswahili GREDI YA KWANZA Karibu darasani
#kcpe2022 Insha ya mdokezo 1985- Insha ya kwanza ya K.C.P.E
มุมมอง 427ปีที่แล้ว
#kcpe2022 Insha ya mdokezo 1985- Insha ya kwanza ya K.C.P.E
#KCPE2022 mambo yanayowakwaza video2587801568
มุมมอง 1122 ปีที่แล้ว
#KCPE2022 mambo yanayowakwaza video2587801568
Neno Mwalimu ukubwa wake ni gani?
@@suleimanmohamed4481 jalimu - majalimu
wastani silabi neno Kwa kubwa mtu Mji mbwa Mto
mtu-jitu, mji-jiji, mbwa-jibwa, mto-jito
@viviankanana asante.
nipate whatsapp kwa maswali mengi +254713548997
Mimi ninawaamini wafanyakazi katika kiwanda changu alitamka mkurugenzi itakua aje katika usemi taarifa
Muziki uko juu kwa sauti
Matumizi yake
Matumizi yake ni kuwa waja huhimizwa kujatihidi kuifanya shughuli ambayo inaonekana kubwa unahitajika kuifanya kidogodogo hadi iishe.
Kazo nzuri
Heko mwalimu. Tujengana. Chuma hunoa chuma
Hewala.
Kazi nzuri
Umenisomesha vizuri
Asante sana umenisadia pakubwa endelea wafafanua vyema kazi hiyo
Karibu sana
Vile katika karatasi zingine ninaanguka maswali kama hizi za vifungu.Shukrani🙏🤩
Mwalimu ni Dean.Asante sana kwa kazi yako yakuwa mwalimu wangu kutoka darasa la saba hadi saa hii.🙏
Karibu sana. Nashukuru bwana mdogo.
GOOD JOB
Asante makori
Mwalimu Kevin asante sana
Karibu sana Jepkosgei
Kazi nzuri ustadhi
Udogo wa neno ziwa ni ?
Waweza kufunza kuhusu vishazi
@Josephine Kemboi nitafanya hivyo.
Kazi nzuri
Asante sana
Heko kigogo
Good work
Hongera... Kiswahili kitukuzwe
Good job mwalimu Mukutsi.Keep it up
Kazi nzuri
Sayari ni gimba kubwa au dude linalozunguka nyota na kujizungusha lenyewe kwenye mhimili wake mfano ni nyota yetu jua ambayo huzungukwa na sayari nane ambapo syari ya tisa iliondolewa kwenye orodha hiyo nayo ni utaridi au pluto Sayari zenyewe:- Zebaki Hii ni sayari ya kwanza na ipo karibu zaidi na jua Sifa zake 1 hii ndio sayari ndogo zaidi kwenye mfumo wa jua 2 ni sayari ya pili kwa joto kali kwenye mfumo wa jua 3 humaliza mzunguko wake kulizunguka jua kwa siku 84 4 haina mwezi wowote Zuhura Hii ni sayari ya pili kwenye mfumo wa jua hii sayari ndio yenye mazingira ya kutisha sana kwenye mfumo wa jua Sifa zake 1 ndio sayari yenye joto kali sana kuliko sayari zote ina zaidi ya sentigrade 300 2 mvua yake ni ya asidi 3 ndio sayari inayojizungusha kinyume na sayari nyingine zote 4 ndio sayari inayolipuka volkano muda mwingi 5 siku katika sayari ya zuhura ni ndefu kuliko mwaka Siku moja ni yake ni sawa na siku za dunia 243 na mwaka wake ni siku 223 Dunia Hii ni sayari ya tatu na ndio sayari ya pekee sana kutoka Sifa zake 1 ndio sayari yenye viumbe hai 2 huzunguka jua kwa siku 366 Tutaendelea
Kazi nzuri mwalimu
Beautiful music and song .
Tamsak done and great message video.
Hi this is garvi
Thank you
Thanks Garvi
Asante mwalimu Kwa kipindi chako 👏👏👏
Asante sana @savage 29
Watching also because of my teacher
Worst teacher
He is so slow
Boring person am listening because my teacher told me to
This is so tech-savy ,
thank you @Vanessa Mwiti
@@mukuzikelvin welcome
Nashukuru sana.
Swafi sana