Jaman twapaswa kumrudia Mola wetu sana na sio mbaya kuungana kama taifa Kwa kutenga siku maalumu kumuomba MOLA msamaha atupunguzie majanga kama Ajali, Kuuana na Moto pia
Innalilah wainnailaih rajiuni Allah amswamehe Dhambi zake na amlaze mahala pema peponi nasi atupe bihusnilhatma poleni sana vipenzi na Allah awape subra kubwa na awalipe Kilichobora badala Yake wote walioathirika na yarabi tuwapishe na kila maafa Kwa kila hali
Yni Bibi Ameamua Kumnusuru Mjukuu wake Kwanza Kisha Yye Aruke Hii Inaamana Kubwa Mbeke Ya RABBANA hii Yoye Ni Ule Uchuku Nani Kma Mama Anglikuwa Ni Mwanaume Angejitazama Yeye Kma Yeye Ila Bibi Kashindwa Kwa Roho Ya Uzazi Akiangalia ni Mtto Mdogo Bibi Nakuombea kwa RABBANA Akupe kauli Dhabit na Kuburi Lenye Nuru na Firdaus Kama Ulivyo Jitolea Bibi
Tanzania bado sana, katika swala la kuwahi uokoaji, kwenye izo secka muongeze ufanisi jamani, nimewaza muda uliotumika kuwaka moto hadi wanarecod na amekili walipiga simu... lala salama bibi., Pole pia mdgo angu upone haraka
Ayo maeneo yatavunjik yenyew kwa7bu ayo yalkuwa majengo ya warabu licha ya makaz pia kivutio cha cha mambo ya kale, cha kufanya watu waamishwe t kiusalama
Serikali ilisema hz nyumba zivunjwe ili kupitishwe ujenzi wa kisasa,,,! Lkn inasemekana wakazi hawataki coz ni nyumba za kihistoria na utalii ok vzr xn...! Lkn tutazame na tujifunze kwny ajal hii!! hapo gari ya FIRE 🔥 inapita wap mpk ifike hapo!???
Pengine alikua anaangalia mambo ya Liverpool anaeka comment imemaliza na kuunganishika na habari hii kwa hio comment imeingia huku na hajashtuka😂. Ishanitokezea km mara 2, 3 hv.
Oh masikini bibi was watu ni upendo kwa mjukuu wake amemuokoa yeye ameenda mungu amlaze mahalo pema peponi
Innalillah waina ilahi rajioun mbele yke nyuma yetu ALLAH ampe kauli thabit amsamehe makosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia 🙏🙏
Amin
Allah humma mamiin 🤲
😭😭😭😭😭😭😭😭😭nani kama mwanamkee aiseeee
Hakuna
Allah Akbar . Mungu mkubwa polen Sana ndugu na jamaa zetu
Jaman twapaswa kumrudia Mola wetu sana na sio mbaya kuungana kama taifa Kwa kutenga siku maalumu kumuomba MOLA msamaha atupunguzie majanga kama Ajali, Kuuana na Moto pia
Innalilah wainnailaih rajiuni Allah amswamehe Dhambi zake na amlaze mahala pema peponi nasi atupe bihusnilhatma poleni sana vipenzi na Allah awape subra kubwa na awalipe Kilichobora badala Yake wote walioathirika na yarabi tuwapishe na kila maafa Kwa kila hali
Daaaah jaman Bib apumzike kwa Aman
Ndugu yangu Issa longtime brother
Pole sana ndugu zetu
Innalillah wainna illahy rajiun poleni sana ndugu zetu
Yni Bibi Ameamua Kumnusuru Mjukuu wake Kwanza Kisha Yye Aruke Hii Inaamana Kubwa Mbeke Ya RABBANA hii Yoye Ni Ule Uchuku Nani Kma Mama Anglikuwa Ni Mwanaume Angejitazama Yeye Kma Yeye Ila Bibi Kashindwa Kwa Roho Ya Uzazi Akiangalia ni Mtto Mdogo Bibi Nakuombea kwa RABBANA Akupe kauli Dhabit na Kuburi Lenye Nuru na Firdaus Kama Ulivyo Jitolea Bibi
Poleni Sana ndg zetu Mungu awaponye majeraha yenu muweze kupona.
Innalillahy wwaina ilayhi rajiun.... Allah ampe kauli thabit na amsamehe makosa yake.... Husnu lkhatima yaraby Amiin.
Amin
Inalilah waainalilah rajjiun Allah ampe kauli thabit
Jaman hizi nyumba c zakukaa tena watu yarabii majumba mabovu serekali waziangalie
@@salma0000 nikweli chanzo umeme ila ukiangalia na ayo majumba yamesha choka kiukweli yanahitaji mayengebezo au wanasubiri mpanga yaje kuanguka?
Jamanii jamanii Bwanaa Yesu Urehemu cc na ulimwengu mzimaa 😭😭
Bwana huyo bwana Yesu akulinde wew tu.....!!!
@@neemazee1864 😅😅
@@neemazee1864 pumbavu
@@avitusmichael5 mwenyewe
@Frank Temu Yesu yupi?
Innalilai wainnaraj poleni Allah amjalie kauli thabiti mbele yke nyumba yetu 😭🙏
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun
Innalilahi wainnailai rajhun mungu amjaalie Pepo kwa juudi yake aliyo ifanya kwakweli
Innah lilah wainah ilah rajiuun Bibi
Inalillah wainaillah rajiun Allah ampe kauli thabit
Nyumba za Zanzibar jaman mtihaan ilaa Allah ni mwem
Inalillah waina ilayh rajiun 😭
Mbele yake nyuma yetu Allah amuhifadhi pema nasi atupe mwisho mwema Amiin
MUNGU akubariki Sana kaka😭😭jama poleni Sana
Izo nyaya tangu mkoloni mpk leo?
Innalilah wainalilah rajiun! Mwenyezimungu ampe kauli thabit amsamehee makosa yake!
Amin
Allahumma Ameen🤲
Bibi kama huyu ningempata raha sana kuna bibi jmn wenye upendo
Innalillah wainnaa ilayhi raajiun. Poleni
R. I. P Bibi
Tanzania bado sana, katika swala la kuwahi uokoaji, kwenye izo secka muongeze ufanisi jamani, nimewaza muda uliotumika kuwaka moto hadi wanarecod na amekili walipiga simu... lala salama bibi., Pole pia mdgo angu upone haraka
😭😭😭😭😭izo singa zinatiya uoga
Yesu akusamehe zambi zote
Subuhanallah
Innalilahiwanlarajinn mungu ampe kauli sabiti inshaallah
So sad jaman 😭
Subhaana Llah!
Uko ni wapi au ni zenj
Ni zenji
Zenji
Zanzibar mji mkongwe
serikali msiwe mnakusanya pesa tu,uhai wa watu ndo muhiimu,vunjeni ayo majengo yote mujenge mji mpya na barabara za uhakika
Magorofa ya zanzibar yamechoka yanafaa kubomolewa yote tokea enzi za watumwa
Ayo maeneo yatavunjik yenyew kwa7bu ayo yalkuwa majengo ya warabu licha ya makaz pia kivutio cha cha mambo ya kale, cha kufanya watu waamishwe t kiusalama
Nyumba zimekaa karibu mno arafu zinaonesha za zamani sana
Si ndio kukaitwa mji mkongwe ? Upuuzi mtupu kila siku ajali za moto mji hawataki kuujenga ati kivutio cha watalii . hawafi wao ati .
@@kiri5807 mtihani kwakweli
M/mungu amrehemu amin.
Baadhi ya nyumba za mji mkongwe hazikaliki lakini watu wanapenda mji hawataki kuhama duh Allah atuhifadhi
Nyumba uloizowea kuihama ina kazi aloimba huu wimbo hajakosea.
@@bintmuhammad4913 vizuri
Pole
Inalilah waina ilah rajion polen
Jamani pole bibi
maskn pole sana
Sasa,jmn🙆
Subhna llah maskin hizinyumba nihatari tena kukaawatu jmn
Innalillah Wainnalillah Rajiun
Inna lillah wainna I laihi raaajioon
Inna lillahy waina ilahy rajiun
Allah ampe kher Zaid huko alikokwenda
inalilah wainailaih rajiun .
R.I.P poleni sana wafiwa
Laillaha illa llah
😭
Sub hanallah 😭
Kafariki huyo bibi au
Ndio
Kafa ehee
@@bahatinassor5823 😭😭😭😭
Sij
Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun. Mtihani mkubwa.
Mashujaa
Serikali ilisema hz nyumba zivunjwe ili kupitishwe ujenzi wa kisasa,,,! Lkn inasemekana wakazi hawataki coz ni nyumba za kihistoria na utalii ok vzr xn...! Lkn tutazame na tujifunze kwny ajal hii!! hapo gari ya FIRE 🔥 inapita wap mpk ifike hapo!???
Na wew unaamin ivo km raiya hawataki wao wanafaidika nauwo utalii hao raia kuliko serikali
Sawa ifunjwe kisha pia serekali waweka barabara vizur wajenge majengo tena kama ya historia
maskini jamani pole
Kafa shahidi
Miundombinu Ya Huo Mji Ilivyo Ya Ovyo Kama Naona Jinsi Zimamoto Walivyopata Tabu
Simgemdaka bibi simlikua wengi jamani
R. I. P
😭😭😭
Rip bibi
RIP
😱😱
Duuuu
Nimimi mashaka nauliza usajili wa Liverpool
Hivi uko na akili sawa wewe
@@ibrahimissakhamis4268 🤣🤣🤣🤦🤦🤦
Pengine alikua anaangalia mambo ya Liverpool anaeka comment imemaliza na kuunganishika na habari hii kwa hio comment imeingia huku na hajashtuka😂. Ishanitokezea km mara 2, 3 hv.
Taarifa yako mbovu mno Millard jipange
Leta yako
th-cam.com/video/Rrtc4BO-RTA/w-d-xo.html mdada wa kazi kafumaniwa wakifanya mapenzi na mlinzi jikoni utacheka sana alivyoongea
Innalilah wainnalilayh rajiun
Inna Lillah waina ilaihi rajiun
Innalilah wainailah rajiun
Inna lillah wainna I laihi raaajioon
Rip bibi
Innalillahy wainna ilahy rajiun
Innalillah wainna ilaihi rajiun
Innalillah wainna illah rajiun