Mimi sioni ubaya kuona mondi kasema kama zuchu ni msani wake kila mtu anajuwa kuwa nimsani wake ila hajawahi kumtambulisha kama mcumba wake ila ni mzizi mwenziye si mcumba wala mke zuhura mi ningekuomba tu umuombe Allah akupe Mme bora apana awo wasani dada yangu Allah akupe subra
Kwel bora tu awemo zuchu watauwa sana hapa kajaribu kumuonea huruma zuchu kila cku anamtia pressure akiwemo mbn atafit tu n atakuwa pambe n ndio sasa tutajivunia zaid watanzania
Zari kaongelea upande wa wanawake kuingia kwenye show sio wanaume. Na hajasema uongo tunapenda umbea sana hata waume zetu tunateta nao kabla ya kulala😂😂😂😂
But that is the reality zari kaongea ukweli. Kataa kibali ndo hvyo kumbuka watz wengi especially stars they fake life. So reality show hawewez maana 80% ni reality ya maisha ya mtu
Unafki gani...walishaachana na diamond siku nyingi kabla ya kumjua zuchu hawezi kumnafkia zuchu hata siku moja...amisa mobeto ndo alisababisha zari na mondi waachane acha uchonganishi😯
Wengi kitu ambacho hamjui Zari anamaanisha nin kuwepo kwa Zuchu kule kweny #YFA ni kutaka kumuaribia Diamond drama zake za wanawake wakina Fantana, Nadia na wengine coz uwepo wa Zuchu kule itamfanya Diamond ashindwe kumreject Zuchu hadharani
Hivi unamjua yule unamsikia? Zari mwenyewe alimshangaa ile clip anakula denda na Fantana, Zuchu aliachwa hotelini na watoto wa Zari. Wamerudi kajikausha kimya kama sio yeye katoka kumbusu mwanamke mwingine. Yule shetani hashindwi
Exactly 👍 alicho ongea zari anasema ukweli maana wa Tanzanie 🇹🇿 wengi wanataka sana umbea mimi ni congo 🇨🇩 lkn nilikuiya Tanzania 🇹🇿 wa Tanzanie 🇹🇿 wana roho mchafu sana
Na hizo hasira SI atajiua zuchu hawezi ana roho ndogo mtamuuwa jmn modi manina anampinga demu matukio we zari unapenda zuchu kwas7nimfanya kazi wa watoto wako sio vinginevyo hahaha unachekeshaa wew
Zari anampenda sana zuchu kwakwel
Team zari for life 🎉🎉🎉🎉
🙌👑diamond
Zari likes Zuchu so bad ❤❤❤❤❤❤❤❤
Zari hajakosea, it's true💯
Huyu bibi anazarau sana
Mimi sioni ubaya kuona mondi kasema kama zuchu ni msani wake kila mtu anajuwa kuwa nimsani wake ila hajawahi kumtambulisha kama mcumba wake ila ni mzizi mwenziye si mcumba wala mke zuhura mi ningekuomba tu umuombe Allah akupe Mme bora apana awo wasani dada yangu Allah akupe subra
Hivi Zuchu unelogwa na nani? ONDOKA.
Mama lao ❤❤❤
Zari anapenda Zuchu bcs siyo kiwango chake yanni ni kama dada wa kazi ivi hataki diamond apate mwanamke wa high level than her
Kwa kipi na yeye ashaolewa jamani?
Na hzo hasira zake watampanikisha huyo zuchu atavunja Camera za watu huko 🤣🤣
😂😂😂😂😂
@ 🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂wampumzishe asiwape hasara 😂
😂😂😂😂😂😂
Zuchu ataweza kabisa
Zuchu akiwemo itakuwa👍
Jamani mnaelewa story?
Kwel bora tu awemo zuchu watauwa sana hapa kajaribu kumuonea huruma zuchu kila cku anamtia pressure akiwemo mbn atafit tu n atakuwa pambe n ndio sasa tutajivunia zaid watanzania
That 100% true 👍
Mzungu mzungu tu Africa bdo Sana
Nakupenda bure Zari we ni mzungu huna roho mbaya
wewe ni mzungu huna roho mbaya we forget and keep colonize our mind
Uzungu na roho nzuri wapi na wapi
😂😂😂mbona povu @@MomaDedu
@@MomaDedu Nisaidie kushangaa😂
Zari kaongelea upande wa wanawake kuingia kwenye show sio wanaume. Na hajasema uongo tunapenda umbea sana hata waume zetu tunateta nao kabla ya kulala😂😂😂😂
Ukweli unauma
But that is the reality zari kaongea ukweli. Kataa kibali ndo hvyo kumbuka watz wengi especially stars they fake life. So reality show hawewez maana 80% ni reality ya maisha ya mtu
You don’t have any Netflix you have to listen the story what is going on?
Udaku na mm naipenda
Zari kasema kweli 😂😂😂😂
Zuchu atawapiga kwamana hasira zake sio zakawaida 😂😂 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂ampige bwana ake na yule Fantana
Amesema zuchu akuwepo aone diamond akimkana...waaa 😮
Zari alimpenda sana zuchu ❤
Kwa zuchu ameongea kwa unafki
@@isabellarkageha7707watanzania kweli mwisho hovi unajuajr moyo wa mtu? 😂😂😂😂
Unafki gani...walishaachana na diamond siku nyingi kabla ya kumjua zuchu hawezi kumnafkia zuchu hata siku moja...amisa mobeto ndo alisababisha zari na mondi waachane acha uchonganishi😯
@@mamboshepea8888 hebu skiza vyenye ameongea ...zuchu akuje aone vyenye Mondi anaongea halafu akacheka
@@mamboshepea8888 ama kizungu ni shida....
zuchu hafai kuwa sehemkamahio kwasababu kiwangochake chamonekano hafai
Kwani ni mlemavu?
Sasa zuchu ataweza ile kiingereza ya hiyo show
Zuchu ni msomi sana tu kama huna habari
Mbona hata wao wanafanya umbeya tu km wa kina juma lokole🤣huko kusutana tu
😉🙃🤸♂️🤸♀️🤸
Anamanisha Ladies (wanawake) nilivyoelewa mimi.
Yes, na huyu mtangazaji hakuelewa
Mi nataman zuchu angekuwepo ili ajionee mabusu ya chibu na fantana 😂😂😂😂zuchu amezidi majigambo saana alafu mondi amkane akiwa anasikia xx😂😂😂 nitacheka
She's sarcastic on diamond n zuchu coz the dude is a liar😂
Let him say that on Zuchu's face he'll see fire 😂😂😂
Zuchu angalia ustaarabu wako huyo mond anakutumia iweje?aseme ww ni msanii wake tu na wakati pia ni mpenzi wake 😮😮
Wengi kitu ambacho hamjui Zari anamaanisha nin kuwepo kwa Zuchu kule kweny #YFA ni kutaka kumuaribia Diamond drama zake za wanawake wakina Fantana, Nadia na wengine coz uwepo wa Zuchu kule itamfanya Diamond ashindwe kumreject Zuchu hadharani
Hivi unamjua yule unamsikia? Zari mwenyewe alimshangaa ile clip anakula denda na Fantana, Zuchu aliachwa hotelini na watoto wa Zari. Wamerudi kajikausha kimya kama sio yeye katoka kumbusu mwanamke mwingine. Yule shetani hashindwi
Na pia inaoneka Zari bado anampenda Mondi
@Bravo-or8oy
Atakua hamjui vizuri
@@hamiduhamdun1858
Sio kweli
😂😂😂😂😂😂
Kwani uongo? Wabongo tunapenda kiki za kijinga na udoku, well said mama t
Sure thing
Asitusemee, huo udaku wanapenda wachache tu wala sio watanzania wote
Asilimia kubwa wanapenda na huo ndio ukweli
😂😂😂😂😂😂😂
Exactly 👍 alicho ongea zari anasema ukweli maana wa Tanzanie 🇹🇿 wengi wanataka sana umbea mimi ni congo 🇨🇩 lkn nilikuiya Tanzania 🇹🇿 wa Tanzanie 🇹🇿 wana roho mchafu sana
Roho chafu hapo umetusingizia ila umbea ni kweli tunapenda😂😂😂hadi pesa ya kula mtu ananunua bando
@ ila nyie yaani muna kera sana wa tanzania 🇹🇿 alafu utakuta wambea ni jiinsia zote duuuh nimelia sana 😂😂😂😜😜😜
Shika adabu yako wewe, watz Wana upendo
@@Mrsflower-g2n
Tz hakukufai, kinachokuliza ni kitu gani, baki kwenu.
😂😂😂😂😂
Na hizo hasira SI atajiua zuchu hawezi ana roho ndogo mtamuuwa jmn modi manina anampinga demu matukio we zari unapenda zuchu kwas7nimfanya kazi wa watoto wako sio vinginevyo hahaha unachekeshaa wew
Pengine watoto wake wana mpenda sana