ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wakenya gonga like hapa kama unapenda bracelet ya sheyshey ❤
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hoyee ss ndo tumetangulia hapa
Sheyshey, unafanya vizuri Sana , nasubiri kukuona tena na @KP WA AKWINO
Walai trust me hii movie hpo mbele itakuwa ni 🔥 mno au mm tu ndio naona hivyo 🇰🇪 mambo vp juu i know kila sehemu mpo sijui nani kawaroga😂😂😂😂
Nitakuwa na wewe bega kwa bega kwenye hii tamthiliya naona akili mingi imetumika🌍🌍🌍🌍
Naogopa sheila usije ukamtwanga askari mpelelezi rungu la kichwa tena we ni hatari sana😂
😂😂😂
Gadisa jabbari ukimuona neliy tu unakimbia ha😂😂😂😂 nakupenda saaana jaman
Waaah aya bas msicheleweshe tujue kumeendaje, ila majonzi jamani kipindi Cha kuhuzunisha🙆🙆🙆🙆😰😰ila darkid nakupendaa sana kwa kuongea ukweli ila shey anafanya mbaya 😰😰😰😰😰
Sheila diboz manuva kasha jua tukisema kimeumana kimeumana weweeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kumeanza kuchangamka sasa
Shey shey hashindwi kwa lolote 😢😅apo kwa kuua nimekuinamishia shey shey nakupenda bure big up wote
Mkenya daima mm apa 🇰🇪 🇰🇪 Naona kushaanza kuchangamka sasa ukuAlafu shey shey ongeza dakika kata kama zinakimbia 😂😂😂😂
Shey shey Mzee wa plan huyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana. Wa kwanza kucomment like zenu plz
Mimi ni mkongo na mimi ni shabiki wako asante sana
Nawapenda Sana Shy Shy💓💓
Shey Shey apakazitu unakipaji na Mungu ayibariki kaziya mikono yenu
Shey shey tunakupenda Sana huku Kenya 🇰🇪
Wakwanza kutoka kenya🇰🇪🇰🇪wapi likes jameni
Shey shey nakukubalia sana itanonga Walai 😅😅😅
Sheyshey and your team dibozi and your team congratulations🎉🎉🎉🎉
Nimeipenda hongera mmejitahidi I'll tunaomba utuongezee Dakika zone hats 25
Nakushauri kitu dada kwenye matangazo mueke sauti ya kiume sauti yako haina uzito kbs ushauri lakini
Lazima ajikubali yeye labda umshauri aongeze kujiamini na kuwa na sauti yenye mvuto zaidi
Bora umeongea wew kaka abadili sautii
Sheila nakuombea mafanikio tele ila kwann umeham
Kazi nzuri san congratulations 🎉🎉🎉 kwe2
Sheila hizo pesa umetoa wapi nigee pia😂😂
Jamaniii shey shey utekaji umekupendeza🎉🎉🎉🎉
Sheyshey napenda movie zako aky
Sheila dakika episode ya Tano mbn haikutoka jamani 😭😭
Hapo sasa shy shy ukichukua computer najuaga kumechemka🎉🎉🎉 nivizuri kufanya ki ww lkn I wish umetengeneza kolambo na kp nyingine mnatoa tu pamoja
Huyu tena mama makompyuta😂😂😂
Hii episode umejitahidi kunishawishi kuifatilia hii Tamthilia ❤
Daaaah! me jameni naomba nijoin team yenu niigize nanyi
Looo pesa mwanaharamu kabisaaa😢😢😢😢 sheria zanunuliwaa mwenyehaki amexulumiwaa
🎉🎉kazi nzuri
Unaweza dada utafika mbalii🎉🎉🎉🎉❤
Asante shey shey Akili na PC ndo mpango mzima 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana da sheyshey
Bg up Sana shei shei nakupenda bureeee
Askri anapata rungu sasa Ivi au kama vipi apokee rushwa Tu na sjui shey shey kapata wapi izo pesa😂😂😂😂
sheyshey kazi nzuri ila unachelewesha na dakika zinakuwa chache
Kazi tamu
Twakupenda sana shey
Duh sheyshey hapa umetuweza...🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🎉🎉❤
Mm n mkenya ninae ishi 🇲🇴 sheyshey kazi nzuri
Hongera sana
Wow saidi nilikuwa nimekumiss sana,ok karibu mwanafunzi
Side boy ❤
Yes🥰
😂😂😂😂😂sheyshe Mungu analuona
Shei shei ongeza dakkMchezo mtam🎉🎉🎉
Ila Sheila anajua mambo ya ujambazi 😂👏🎉
Sheyshey me nakukubali sana❤
Shey shey uko kinoma sana
Kazi nzuri Shey
Sheila unachelewesha moveo zako jitahidi kuwatisha pia mwambie dibozi yupo kimya
Kazi nzuri🎉🎉🎉
Noma Sanaa
Sasa pameanza kuchangamka big up shyshy
Nzur sana naomba uniunge kwenye kikundi chako
Naomba niweze kuigiza
Jmn mpka.nilisahau imechelewa.mno
Sheyshey tatizo 1 tu,munachelewesha sana
Hey na mie nimkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hapa mmi nataka mbogo hawe mshumba wangu🎉🎉🎉🎉
Mshuumba ya nyoko uko mubogo wa nyoko kwenu hakuna washumba 😂😂😂
@LidyaLidya-k3s 😅😅😅wewe washuba wengi siwezi 😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅@@LidyaLidya-k3s
Hlw
Mm apa
Ongera sana syey syey.
Ongezeni mda basi mnatuchelewesha sana
Hongereni sana time sheyla hoyeeeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dibozi umependeza sana
😂😂yam diboz yuko seriously hii movie ❤❤
Kama sio yule wa usiseme hivyoooooooo 😂😂
Mbona dakika chache jaman
Cheila mbona unachelewa kuleta utamu❤❤
Kazi nzuri❤
Detective gadisa kazi bzuri
Mimi apa wakwanzaaaaa
Sheila bint mwenyewe akili nyingi kuliko
Safi sana 🎉🎉❤❤
Dipozi manuva aupendezi kucheza sirihazi unapendeza comedi
Hongera sana sheishei
Wa 10 leo
Umeshatengana na kp wa aquno
Bonge la kaziiii shey shey😮😮😮
Una chelewesha saaana jamani.
Movie ni yamoto hatarii🎉
Dibozi manuva mbona hapa humepaukaa
Wa kwanza kutoka tz 😂
Dar kid umepatikana utachomoa betry muungue ama utaacha msiungue😂😂
Hongera mama
Naomba nafasi ya kuigiza dada shey kwenye group lako
Shei shei 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kazi njema
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jomaani mbona hawa wanalia musiba wenyee hawanaga majilani wakuweza kuakalibu naao wakuwa faliji ehee pole nisan
I'm ready 🎉🎉❤❤
Congratulations 👏👏
Nice shey shey lkn jitaid vipande viwe virefu virefu
jaman police ndivyo wanavyo zima kesi zetu masikini tunashida ss atupewi hako zetu
Diboz si ungechukua sim ya Maya kwa shei shei
Du Sheila sio poa kabisa 😢
Wakwanza kutokea DRC
Hey shey ongeza dakika
Mtaalamu wa plani najuwa huwezi kifeli hapo fanya yako usikimbilie kutowa rushwa
Hawa watu hapa mbna wamezingua mama Maya hawezi kuwa Binti ambaye wanaringa
Sheyshey ❤❤❤❤❤ni yako
Kwa Sasa sijapendezwa na sheyshey kuuwa watu hovyohovyo.
uyo side angekua anasoma sekondar sio ya msing
Mkenya pia weka like ukipita tafadhali
Wakenya gonga like hapa kama unapenda bracelet ya sheyshey ❤
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hoyee ss ndo tumetangulia hapa
Sheyshey, unafanya vizuri Sana , nasubiri kukuona tena na @KP WA AKWINO
Walai trust me hii movie hpo mbele itakuwa ni 🔥 mno au mm tu ndio naona hivyo 🇰🇪 mambo vp juu i know kila sehemu mpo sijui nani kawaroga😂😂😂😂
Nitakuwa na wewe bega kwa bega kwenye hii tamthiliya naona akili mingi imetumika🌍🌍🌍🌍
Naogopa sheila usije ukamtwanga askari mpelelezi rungu la kichwa tena we ni hatari sana😂
😂😂😂
Gadisa jabbari ukimuona neliy tu unakimbia ha😂😂😂😂 nakupenda saaana jaman
Waaah aya bas msicheleweshe tujue kumeendaje, ila majonzi jamani kipindi Cha kuhuzunisha🙆🙆🙆🙆😰😰ila darkid nakupendaa sana kwa kuongea ukweli ila shey anafanya mbaya 😰😰😰😰😰
Sheila diboz manuva kasha jua tukisema kimeumana kimeumana weweeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kumeanza kuchangamka sasa
Shey shey hashindwi kwa lolote 😢😅apo kwa kuua nimekuinamishia shey shey nakupenda bure big up wote
Mkenya daima mm apa 🇰🇪 🇰🇪
Naona kushaanza kuchangamka sasa uku
Alafu shey shey ongeza dakika kata kama zinakimbia 😂😂😂😂
Shey shey Mzee wa plan huyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana. Wa kwanza kucomment like zenu plz
Mimi ni mkongo na mimi ni shabiki wako asante sana
Nawapenda Sana Shy Shy💓💓
Shey Shey apakazitu unakipaji na Mungu ayibariki kaziya mikono yenu
Shey shey tunakupenda Sana huku Kenya 🇰🇪
Wakwanza kutoka kenya🇰🇪🇰🇪wapi likes jameni
Shey shey nakukubalia sana itanonga Walai 😅😅😅
Sheyshey and your team dibozi and your team congratulations🎉🎉🎉🎉
Nimeipenda hongera mmejitahidi I'll tunaomba utuongezee Dakika zone hats 25
Nakushauri kitu dada kwenye matangazo mueke sauti ya kiume sauti yako haina uzito kbs ushauri lakini
Lazima ajikubali yeye labda umshauri aongeze kujiamini na kuwa na sauti yenye mvuto zaidi
Bora umeongea wew kaka abadili sautii
Sheila nakuombea mafanikio tele ila kwann umeham
Kazi nzuri san congratulations 🎉🎉🎉 kwe2
Sheila hizo pesa umetoa wapi nigee pia😂😂
Jamaniii shey shey utekaji umekupendeza🎉🎉🎉🎉
Sheyshey napenda movie zako aky
Sheila dakika episode ya Tano mbn haikutoka jamani 😭😭
Hapo sasa shy shy ukichukua computer najuaga kumechemka🎉🎉🎉 nivizuri kufanya ki ww lkn I wish umetengeneza kolambo na kp nyingine mnatoa tu pamoja
Huyu tena mama makompyuta😂😂😂
Hii episode umejitahidi kunishawishi kuifatilia hii Tamthilia ❤
Daaaah! me jameni naomba nijoin team yenu niigize nanyi
Looo pesa mwanaharamu kabisaaa😢😢😢😢 sheria zanunuliwaa mwenyehaki amexulumiwaa
🎉🎉kazi nzuri
Unaweza dada utafika mbalii🎉🎉🎉🎉❤
Asante shey shey Akili na PC ndo mpango mzima 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana da sheyshey
Bg up Sana shei shei nakupenda bureeee
Askri anapata rungu sasa Ivi au kama vipi apokee rushwa Tu na sjui shey shey kapata wapi izo pesa😂😂😂😂
sheyshey kazi nzuri ila unachelewesha na dakika zinakuwa chache
Kazi tamu
Twakupenda sana shey
Duh sheyshey hapa umetuweza...🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🎉🎉❤
Mm n mkenya ninae ishi 🇲🇴 sheyshey kazi nzuri
Hongera sana
Wow saidi nilikuwa nimekumiss sana,ok karibu mwanafunzi
Side boy ❤
Yes🥰
😂😂😂😂😂sheyshe Mungu analuona
Shei shei ongeza dakk
Mchezo mtam🎉🎉🎉