SHILOLE KAFUNGUKA ALIVYOFUKIA MILIONI 60 KUWEKEZA SHISHI FOOD DOM, AWEKA PICHA ZA KANUMBA NA MAJUTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 136

  • @salhasalha9362
    @salhasalha9362 2 ปีที่แล้ว +23

    Mungu na mimi hanifikishe kibiashara kama wewe shishi Ameeeen 🙏

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 2 ปีที่แล้ว +7

    Beautiful and brain,nakupenda na nafata nyayo zako shilole mungu akulinde

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah shishi anajielewa sana jamani;wadada wa mjini,mastaa,Kuna la kujifunza hapa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +8

    Ongera sana mwanangu shishi❤❤👍👍

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera shii nakupenda bureeee,kwa uthubutu wako.

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda shishi wewe ni mwanamke wa shoka hutegemei sana

    • @leahchigugu7313
      @leahchigugu7313 2 ปีที่แล้ว

      Wewe sio mwanamke wa kujionuesha Mtandaoni

  • @clevisaboytz544
    @clevisaboytz544 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakubali sana dada shilole 🔥🔥

  • @imanibakili8028
    @imanibakili8028 2 ปีที่แล้ว +26

    Shilole nakupenda, napenda unavyo jiamini bila makeup, napenda unavyojituma kipenzi Mola akujaalie upate riziki ya halali

  • @fatimamtoo9288
    @fatimamtoo9288 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera dada nakupenda san

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii Dodoma iliokuvutia mpaka ukafungua branch huko na sio mkoa Mwingine wowote Tanzania isingekua hivi bila Magufuli lakini Umeshindwa kabisa kumuweka, sijapenda

  • @kadito-music
    @kadito-music 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko kenya natamani kuonja mapishi yako mamangu please 🙏 nialike siku mojaaaa

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie katika kazi zako shishi hakika hii ni kubwa sana Mungu akamsimamie kwa kila mtu mwenyewe nia na kila jambo analo panga kulifanya ameeen

  • @kokububelwa
    @kokububelwa ปีที่แล้ว

    Hongera dada

  • @mabrouck6209
    @mabrouck6209 2 ปีที่แล้ว +10

    Shishi nataman kufika ofisini kwako dada yangu! Nnaweza kupika vyakula tofautofaut!

  • @abrahamjoseph6108
    @abrahamjoseph6108 2 ปีที่แล้ว +3

    so far so good 😂😂😂 safiiiiiiii shishi

  • @stellakiula3497
    @stellakiula3497 2 ปีที่แล้ว

    Habari dada.mimi nipo Arusha nahitaji kazi yoyote shishi naomba nisaidie

  • @mesykicky9405
    @mesykicky9405 2 ปีที่แล้ว +7

    Wangekua wasanii wengine wangesema wametumia milioni 800
    Dada mpambanaji na mkweli😍❤️🤣

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว +14

    Ananipa moyo sana huyu dada...

  • @Silyvesta
    @Silyvesta 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana hatua nzuri Sana Mungu azid kukusimamia katika kaz yako!

  • @lodrickmwambene133
    @lodrickmwambene133 2 ปีที่แล้ว +2

    Jembe shishi hongera mama

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana Dada shishi maana ni mtu unajiheshim sana na pia unahaso sana uzidishiwe zaidi na MUNGU

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 ปีที่แล้ว +9

    Mimi namshauri shishi ange anzia elfu 3 na kuendelea na sio kuanzia elfu 5 atambue kuwa watu saiz Wana tozo maisha magumu sana awe Kama bakresa achagui ela ata wa viwango vya chini wanauduma yao.

    • @Juke995
      @Juke995 2 ปีที่แล้ว +2

      Sasa katumia million 60 na sio million fikiria faida achana na tozo bro dodoma mji mkubwa hajakurupuka pia sidhan kama chapati na chai ni elfu tano na kasema chakula shishi anapika kwa ubora hana ugali na mboga moja au mbili ni kuanzia nne hadi sita

    • @missykalele5520
      @missykalele5520 2 ปีที่แล้ว +2

      Njoo kigamboni migqhqwq tu mbona tatu ila 5k sembuse shishi good

    • @abelyphilimon8415
      @abelyphilimon8415 2 ปีที่แล้ว +2

      Akiuza elfu 3 na mama ntilie watamuuzia nani ,jamn wengine tutulie bhna

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 ปีที่แล้ว +1

    Apoo ulivosema kizazi kipya wanaleta bifuu hujakosea maana bongo tuna lawama za kitoto kinomaa kituu chako lakini mtuu anakuletea bifuu😀😀😀😀 Hongera sanaaaaaa shilole

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 2 ปีที่แล้ว +4

    Yaan natamani sikumoja niwe kama shsh mwanamke mpambanaji mungu akulinde

  • @mwajumaemmanuel9359
    @mwajumaemmanuel9359 2 ปีที่แล้ว +1

    Saf Sana Mnyamwenz mwenzangu 🙌🙌🙌🙏

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana dda zuwena Allah azidi kukusimamia kwa kila hatua nakupenda sana mpez yangu

    • @ndimimaskati3641
      @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว

      Unasema Allah amzidishie katika Pombe, anasema watu watakunywa.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@ndimimaskati3641 UKISEMA KUNYWA NI POMBE 2 KWANI MAJI SODA CHAI KAHAWA NA JUICE UNAFANYA NINI SI UNAKUNYWA????

  • @swalehshumishee1193
    @swalehshumishee1193 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuona sherukhan ama niko na kengeza,hongera n Allah Akufungulie zaidi

  • @zahraaisha6069
    @zahraaisha6069 2 ปีที่แล้ว +1

    kitu napenda sana hii na wish siku moja nije kuwa na restaurant km ww shilole unanipa moyo sana sana ALLAH akuongeze palipo pungua ameen🤲

  • @abdallajuma6262
    @abdallajuma6262 2 ปีที่แล้ว

    Hata kama wanaaema hujui kidhungu ila unajua kupambana hongera Mungu atakusaidia muombeee Sana na Kisha mtangulize yy zaidi Kwa sababu kwake ni kuwa na inakuwa tulia zaidi panga mipango mizuri zaidi ila usiwache kumtanguluza Mungu mbele

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera shishi 😍😍😍

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana dada❤❤❤❤❤

  • @rojahman9971
    @rojahman9971 2 ปีที่แล้ว +3

    Millady nawakubali mnawahoji watu wenye akili c mtu unamuhoji anasema nimewekeza ml 500 honger shilole

  • @merisianantandu1327
    @merisianantandu1327 2 ปีที่แล้ว +4

    Shishi anazidi kuwa mrembo

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana dogo ubarikiwe,, ilA Apo angekuwa na Baba levo

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 2 ปีที่แล้ว

      Baba levo chawa au kunguni?

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 2 ปีที่แล้ว +7

    Yanii Hiyo Milion 60 ni kweliii kabisaaaa Tena inaweza akawa kapunguzaa 😂😂😂huyu dada ni NEXT LEVEL

    • @neysherbenedict6296
      @neysherbenedict6296 2 ปีที่แล้ว +1

      wallah tena😂🙌

    • @mesykicky9405
      @mesykicky9405 2 ปีที่แล้ว +1

      Angekua paula angesema milion 700🤣

    • @pendokissatu937
      @pendokissatu937 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaa ila Hawa Watu Wenye majina makubwa Mitandaoni Unajua wanaweza kufanya jamboo Zurii tu kw Ukubwa Wao lakini wanaishi Fake mnooooooooo kwa Mfano Wema Ana Fursa Bado ya kufanya Vitu Vingiii sana Kwenye Maisha ila Ndo hajali Wala Nini

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana zuwena

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 2 ปีที่แล้ว +3

    Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Allamdulirai Ishaalla Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Asallam maalequ Shushu

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana shishi unapenda kusema ukwel

  • @tiffusumaiya1342
    @tiffusumaiya1342 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations shishi

  • @graceraphael6658
    @graceraphael6658 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana bi mzuri

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 2 ปีที่แล้ว

    Anajitambua sana siyo kama hao wengine wadangaji wanashindwa kujituma

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana shishi

  • @husseinchambau3015
    @husseinchambau3015 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera shishi dodoma sehemu gan jamani

  • @khaldakassim6632
    @khaldakassim6632 2 ปีที่แล้ว +6

    Shishi mrembo mashallah

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว

      Chakula anachotumia..matunda,mboga mboga na maji..protein,wanga kidogo

  • @wozanawewoz979
    @wozanawewoz979 2 ปีที่แล้ว +3

    Apo ndio wenye madanga, wanyamaze tuu😃

    • @jazeerajuma5014
      @jazeerajuma5014 2 ปีที่แล้ว

      Wengine tuna madanga lakini hawajatufikisha huku hongera shishi

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 ปีที่แล้ว

    Hongera lakini kumbuka kutumia lugha yako kuliko kufosi kutumia lugha ambayo inakuaibidasha

  • @yomamausafi1137
    @yomamausafi1137 2 ปีที่แล้ว

    Safi san

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 2 ปีที่แล้ว

    Nakupendaga bure

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +5

    Shishi ni mfano wa kuigwa👏.

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 2 ปีที่แล้ว

      Huyu dada nampenda sana pamoj na uchekeshaji wake lkn ni super women wa nguvu ana ni shawish sana najifunza kupitia yeye..inshaa aa Allah ipo siku nitakuwa kama wew

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว

      @@shameemrashid5219 Mungu akufanyie pesi mtu wa kwanza kumuajiri niwe mie usinisahau🙏.

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaamwalimu2887 amin inshaa aa Allah jaman

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera ila hu mama ni mnafki sana hivi mna kumbuka kipindi magufuli yuko hai alivyo kuwa anaonyesha ana upendo nae na kujipendekeza sasa!na siku anafariki alivyo tuigizia!? Leo hii hata maraisi ambao hawamhusu kawapachiki ila magufuli ame shindwa hata kum enzi kama. 💔😓

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      MUENZI WEWE HUJAKATAZWA USILETE UNAFIKI.

    • @wizbob7207
      @wizbob7207 2 ปีที่แล้ว

      Izo ni choyo na husda mbwa ww tafuta eneo lko alaf weka picha unyotk ata ya scober

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@wizbob7207 👍👍👍👍👍

    • @stellajohn5647
      @stellajohn5647 2 ปีที่แล้ว

      @@wizbob7207 😂😂😂😂

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว

      WEWE UKIMUENZI YA TOSHA MNAFKI NI WW MBWAAAA🤣🤣

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 2 ปีที่แล้ว

    Afadhali umesema ukweli mama yangu siyo wale wa milioni 500🤣🤣🤣

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimependa iyo nimetoboa kweli

  • @missclementsemizigimisscle7458
    @missclementsemizigimisscle7458 2 ปีที่แล้ว

    Mingu akubariki shishi

  • @kasangalajoseph7162
    @kasangalajoseph7162 2 ปีที่แล้ว +1

    Ipo kutokea round about ya shabby kuelekea shopperz opposite yake

  • @zawadizawadimussa23
    @zawadizawadimussa23 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว +2

    Shishi hongera ww ni mtafutaji sn

  • @walburgammassy2050
    @walburgammassy2050 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Shilole

  • @siphaeljoseph2156
    @siphaeljoseph2156 2 ปีที่แล้ว

    SAFII SAAN KAZI IENDELEE

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 ปีที่แล้ว

    Kingereza akimueshimu shishi kimemgomea kutoka mbele zawatu😂😂sijapenda

  • @christinammasy4115
    @christinammasy4115 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa ubunifu wako hongera

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 ปีที่แล้ว +2

    YAANI JAMANI NATAMANI SIKU MOJA NIMILIKI HATA ROBO TU

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 ปีที่แล้ว +2

    Shilole chapa kazi

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว

    mzee sharukhan😂😂😂shishi

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli kafanya mambo mazito sana na ya maana Tanzania.Labda Shishi una sababu nzuri tu kwa nini hujamuweka.Mana hii ni Tanzania na hapo ikulu karibu na wahusika.

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 2 ปีที่แล้ว +1

    Iko wapi shishi fudi

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Shishi

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Mami

  • @carinamatt1031
    @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukusimamia shishi ake

  • @salehrashidshekidele1039
    @salehrashidshekidele1039 2 ปีที่แล้ว

    Kwa nn hujaweka picha ya Sharo milionea

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

    HAMKUTUONYESHA MAENEO ANGALAU TUIONE.

  • @mariamdullazy8166
    @mariamdullazy8166 2 ปีที่แล้ว +1

    ♥️

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 2 ปีที่แล้ว

    Amepunguaa kidog

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona umechanganya marehemu na wazima

    • @mariamomar1735
      @mariamomar1735 2 ปีที่แล้ว

      Hahah hao wazima pia ni marehemu watarajiwa

    • @jacquilinenoah949
      @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว

      @@mariamomar1735 nmecheka

  • @graceraphael6658
    @graceraphael6658 2 ปีที่แล้ว

    Naombeni namba ya Da shishi mwenye nayo

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 ปีที่แล้ว

    jamani fungua Mwanza

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 ปีที่แล้ว

    jamani fungua mwanza

  • @janejonathan9846
    @janejonathan9846 2 ปีที่แล้ว +1

    Twambie location Shishi ipo Dom pande zipi?

  • @annamariamarcel9268
    @annamariamarcel9268 2 ปีที่แล้ว +1

    First in 😌

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli hujamweka

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 2 ปีที่แล้ว +1

    Dodoma sehemu gani huwa nakuja sana huko

  • @khamisissa9787
    @khamisissa9787 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaallAh shishi 🥰🥰

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 ปีที่แล้ว +2

    Dodoma ipo sehemu gani hii ck nikamwagilie moyo mieee

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 2 ปีที่แล้ว

      Pale karibu na morena au shopaz plaza

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 2 ปีที่แล้ว +3

    Waafrika ukoloni Bado uko moyoni mwethu Obama anausiana na Nini apo pamoja na izo picha za kiindi

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 2 ปีที่แล้ว

    NAKUPENDA mno

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 2 ปีที่แล้ว

    Participate....😂

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 ปีที่แล้ว

    Waongo tu hawa! Tena msanii! Hawa ni kupiga picha za kimagumashi na kutafutia kiki! Achana nao, Kwani hata kama una ishu yako ni lazima uite waandishi?

  • @drsalma837
    @drsalma837 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
    NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO,ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO,NA KUA NA MAONO..,.*#*#
    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html

  • @aprow2059
    @aprow2059 2 ปีที่แล้ว

    Toto jike na mavituzi

  • @mpayufilm
    @mpayufilm 2 ปีที่แล้ว

    Utamu th-cam.com/video/yrzGiIZOGFo/w-d-xo.html

  • @johnnytravo
    @johnnytravo 2 ปีที่แล้ว

    Wanawake wana ushawishi mno
    th-cam.com/video/iYjijfV-YRw/w-d-xo.html

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 2 ปีที่แล้ว

    mchukua video arudi shule

  • @kingyeskingyes2263
    @kingyeskingyes2263 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/2H7qrULb3qk/w-d-xo.html yo

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
    NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO,ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO,NA KUA NA MAONO.....,,*#*#
    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations shishi

  • @aoman5214
    @aoman5214 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana shishi

  • @drsalma837
    @drsalma837 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
    NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO,ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO,NA KUA NA MAONO..,.*#*#
    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
    NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO,ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO,NA KUA NA MAONO.....,,*#*#
    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html

  • @protinimusic8866
    @protinimusic8866 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
    NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO,ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO,NA KUA NA MAONO.*#...,..,,,*#*#
    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html

  • @protinimusic8866
    @protinimusic8866 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
    NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO,ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO,NA KUA NA MAONO.*#...,..,,,*#*#
    th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html