Hii nyimbo Nilikuw naitafta Mda sana Jaman, Tangia 2014. Leo 23/9/2022 Ndio naipata😃, Tatzo nilikuw sijuw kaimba nan, Kumbe Jamaa anaitwa Nolichoko. Inanikumbusha Mbali sana 2007 - 2008 Nko Dalasa la 5 daah Old is Gold. Ngoma Tamu sana✨✨
Huyu ni brother wangu ni mwandishi sasahivi sikiliza ngoma yangu ameandika yeye yuko dar es salaam tabata Sikiliza wimbo alioandika beat zinafanana aidia tofauti usisahau ku subscribe
Wote tuliotafuta huu Wimbo we got things in common
Ngoma inaishi hii ❤
The living song , kazi nzuri sana Norichiko na Master Jay ✅️
Huyu jamaa anajua asee bonge la ngoma yaan
Hii nyimbo Nilikuw naitafta Mda sana Jaman, Tangia 2014. Leo 23/9/2022 Ndio naipata😃, Tatzo nilikuw sijuw kaimba nan, Kumbe Jamaa anaitwa Nolichoko. Inanikumbusha Mbali sana 2007 - 2008 Nko Dalasa la 5 daah Old is Gold. Ngoma Tamu sana✨✨
Daah, asante yutube kwa kuhifadh hii ngoma hatimae nimeipata🙏🙏🙏🙏 jamaa sijui kapotelea wapi, aje basi na nyingine zaidi ya hii!
Daa jamaa sasa ivi ni Askar
2020 Leo bado naisikiliza hii ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2020 dah nimeitafta hi ngoma kwamda mlefu sana
Noma sana Vitu Konki
Duh. Hawa Jamaa wapo wapi siku hizi?
#OldisGold am telling you unafanya kitu kizuri mkubwa tuletee na nyingine adimu basi
Kitamboo sanaa
Woooow 2022
Hatar
Vipaj vinapotelea wap dah angekuwepo kwenye game angemsaidia ally kiba kupambania bongo fleva yetu halisi sa kabaki pekeake tu kiba dah
Noeliiii mzee wa lugalo secondary Iringa miaka hiyo mkali wa sauti ya tatu
Nimehangaika sanaaa Yuko wapi Nolichinko..? Namkumbuka rafiki yangu Mr Pro Gheto Likwati Street...one Love!
As eee nimeisaka sana hii kitu 😂 asee 2020 saiv
Ngoma hii nilikua naisaka kitambo hatimaye leo nimeipata👏👏👏👏 keep it up! Tuletee na zingine mfano ya saida karoli inaitwa mimi nawewe tumetoka mbali
Aise nimekutafuta we nyimbo mda mrefu na sasa nimekupata
Nliitafuta hii ngoma week mzima 👋👋
Nimeisaka sana Kaz ya Master Jay kipindi hicho yupo jikoni
Dah nimekumbuka zamani sana aisee
17.October 2020 naisikiliza daa @Norichiko aliitendea haki hii ngoma ila kwa sasa ame okoka,
Finally asee..Nimeisaka saana hii pini..Mziki wa Zaman ni Gold mazee
dah hii ngoma hii inaliza sana enz hiz noma sana
Nilikuwa nautafuta sana huu wimbo aseee, hatimaye nimeunyaka 😀
Hii kitu ukiiskiliza inakufanya utege skio vizuri
😅😅😅 dah aisee old is gold nolichiko
naikubari kinyamaaaa hii ngoma....kwanza inaeleweka vizur
Eti nimemfukuza my sweet heart kwa sababu ya binti mm ningemrudisha kwao na barua yake mkononi
Nyimbo nzuri kinyamaa ... Sitaki kuamini kama wote tulikua tunaiwaza muda huu😁✌️
Nimekupata dah!!..nmeangaika sana skia hii kama inamatusi na viungo vya uzazi
😂nilitaftaga sana hii ngoma leo nimeipata aiseee
2024 we till listen 💪💪💪
Oya nimesaka hili goma miaka mitatu ndo naupata.. 😂
Ebwana kaka Mkubwa we acha tu. Me tangia 2014 naisaka hii Ngoma yani leo 2022 ndio Naigumia dah😃💪💪
Hii Ngoma nimeitafuta kitambo kwel kwel
Bongeee la ngomaa kitambooo miakaa yetu
2021 nani ako hapa
Nice
Kitambo hii nyimbo naitafuta hatimae leo nimeipata dah
2022..
Living song💥✊🏾
lik apa kama unasikiliza huu wimbo 2019
Rudi kwenye game brother waliobakia hatuwaelewi
Hii sio original version yake
Nilidhania Ameimba Ditto Huu Wimbo
ila sauti kama dito mzaz
Kitambo sana amazing
Ditto kipindi icho alikua mtu pori anavuta bangi na kaka ake afande sele
@@fadhilimatandala7629 😂😂😂
2022
living legend 2024
Norichiko kitambo kweli sijuag ata yuko wapi?
mimi nimemtafuta mpaka nimechoka NOELI NYACHIKO JAMANI SCHOOL MATE LUGALO JAMANIII
Mara ya mwisho kuusikiliza 2005 hatimaye leo July 2024
Huyu ni brother wangu ni mwandishi sasahivi sikiliza ngoma yangu ameandika yeye yuko dar es salaam tabata
Sikiliza wimbo alioandika beat zinafanana aidia tofauti usisahau ku subscribe
Og 2021
1/1/2020 nipo hapa saa 4:30 majogoo
Hatimae nimeipata
kipindi hicho tunatumia hokman cd
Noma sana
Jomakin hela
hata li
2024