BARAKA YA UCHUMI MZURI KWA FAMILIA- PR. DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @benjaminmuema
    @benjaminmuema 4 หลายเดือนก่อน +3

    I like this pastor..I'm from kenya

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie sana ktk hili.Kwani kuna mwingine ukifanya hivyo hata zaka na sadaka tu hutatoa hata siku moja mia tano.

  • @FurahaGisele-wz1mb
    @FurahaGisele-wz1mb หลายเดือนก่อน

    asante kwakunitiya moyo pasta Mungu akubariki

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie wote tumjue Mungu na kuondoa ubinafsi

  • @marywambui5518
    @marywambui5518 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana pastor kwa mahubiri mazuri

  • @ElvinaLuvuno-d7u
    @ElvinaLuvuno-d7u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏🙏 Hallelujah neno limenipa matumaini

  • @PendoOscar
    @PendoOscar 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo zuri mchungaji neema ya bwana iwe nawe

  • @purity134
    @purity134 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nitakopesha sitakopa in Jesus name

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 4 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe san mtumishi

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana pasta Mbaga

  • @IrineoyaruOyaru
    @IrineoyaruOyaru 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana pasta mbaga. Mimi ni Irene kutoka Saudi. Arabia. Nataka. Kutoa. Sadaka yangu. Akaute ya Banki.

    • @Vanillah-lg3pn
      @Vanillah-lg3pn 4 หลายเดือนก่อน

      Tumia mpesa global

  • @hopistgraphics8326
    @hopistgraphics8326 5 หลายเดือนก่อน +5

    ya kale ilipita sasa tuna Yesu tunaishi kwa neema yake mambo ya zaka haina maana katika neema ya uchumi sio lazima utoe ili ufanikiwe katika uchumu just understand the principles of business you'll flourish... toa chenye unataka lakini sio 10% hadi unaweza toa 50% eccording to your will... matoleo iliachwa kwa wanao fanya sacrifices but as a christian Yesu diye sacrifice yetu..... but support the work of God... we're not in slaverly any more Jesus paid all....

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 5 หลายเดือนก่อน

      leta ushahidi wa mandiko kutoka kwa Biblia

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unajua watu hawajui nini maana ya neno Neema.Ndomaana Leo jjnamafindisho potofu hata kusema hakuna dhambi Dhambi ni mawazo ya mtu vile atakavyolitazama jambo alilolitenda hata kama mtu atafanya tendo lakujamiana namtu asiye mke au mume wake wanasema hilo jambo si dhambi.
      Tuwe makini sana nafaundisho yanalenga kuwafurahisha watu badala kumleta Mungu ndani ya mioyo ya watu.

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 4 หลายเดือนก่อน

      Unajua watu hawajui nini maana ya neno Neema.Ndomaana Leo kunamafundisho potofu hata kusema hakuna dhambi, Dhambi ni mawazo ya mtu vile atakavyolitazama jambo alilolitenda hata kama mtu atafanya tendo lakujamiana namtu asiye mke au mume wake wanasema hilo jambo si dhambi.
      Tuwe makini sana nafaundisho yanalenga kuwafurahisha watu badala kumleta Mungu ndani ya mioyo ya watu.

  • @eliudbeyanga8575
    @eliudbeyanga8575 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana mahubiri tv

  • @Thyme938
    @Thyme938 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Leo, ni chungu lakini lazima niimeze hata kama ni kwa maji, iingie TU! Maana imapita mlemle.

  • @MakwiriMabula
    @MakwiriMabula 5 หลายเดือนก่อน

    pr Mimi kipindi nimeolewa mwanaume aninizuia kujifunikashuka lake akadaikwamba nijifunike shuka nililotokanalo kwetu, swali mimi nitakuhusije shuka langu?

  • @sylviesaidi5740
    @sylviesaidi5740 5 หลายเดือนก่อน

    Asanta sn pastor ila unisaidiye na maombi

  • @elienew3788
    @elienew3788 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂❤❤

  • @josephinesanita4904
    @josephinesanita4904 5 หลายเดือนก่อน

    Na kwamfano uko mbali na unahitaji kutoa zaka na sadaka ukitumia mzazi kuna shida ama inaruhusiwa, plz mnisaidie

    • @adelinaamosi9437
      @adelinaamosi9437 5 หลายเดือนก่อน

      Toa hapo ulipo kama kanisa lipo sio lazima liwe kanisa lako

    • @JumaKitundu-u1d
      @JumaKitundu-u1d 5 หลายเดือนก่อน

      Toa eneo ulilopo maan ndo ardhi unapotafutia riziki,mama mtumie pesa yake binafsi nae atatoa zaka kwny pesa uliompatia ya matumiz

    • @Vanillah-lg3pn
      @Vanillah-lg3pn 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@JumaKitundu-u1dna kama hakuna kanisa kwenye huko

  • @neemamwanjala
    @neemamwanjala 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaelewa

    • @allworldstrendshere1378
      @allworldstrendshere1378 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hujaelewa Nini Neema

    • @MaddieMoreno-i7i
      @MaddieMoreno-i7i 5 หลายเดือนก่อน

      @@allworldstrendshere1378Eti jamani kuna kitu cha kumfanya Neema asielewe hapo

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye kukopa pasta..
    Daah hii pia ni mtazamo.wengine tunaamini hakuna kupiga hatua mpaka mkopo

    • @olphanyamweya3154
      @olphanyamweya3154 5 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏

    • @olphanyamweya3154
      @olphanyamweya3154 5 หลายเดือนก่อน +1

      Asante YESU nimembalikiwa nikiwa Saudi Arabia ,pia naomba MUNGU anielekeze Kwa Yale matabau nakumbalika kutoka sadaka zangu🙏🙏🙏

    • @josephjames4587
      @josephjames4587 4 หลายเดือนก่อน

      Mie mikopo imenisaidiaa sana

  • @MeshckJackob
    @MeshckJackob 4 หลายเดือนก่อน

    Pasta unatuharibia wauza vyombo😂😂😂

  • @LevinaRutashongerwa
    @LevinaRutashongerwa 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi sio msabato do not bring this to me