Azam Complex katika muonekano mpya, viti 5,000 vafungwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Maboresho kwenye Dimba la Azam Complex yanaendelea, viti vinafungwa kwa kasi...
    Meneja wa uwanja huo, Amri Juma anasema matarajio ni kufunga viti 5,000 huku akitaja majina ya majukwaa huku mashabiki wakitoa maoni yao.

ความคิดเห็น • 15

  • @ExaveryLukas
    @ExaveryLukas 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri team nzuri uwekezaji wa maana kabisa

  • @Ally-jf6wu
    @Ally-jf6wu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vp kuhusu paa la juu lakuzuia jua ama mvua kwa mashabiki

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana, kazi nzuri

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 2 หลายเดือนก่อน +4

    Azam football wanazidi kuonesha maana halisi ya uwekezaji katika football 🎉🎉🎉

    • @hunterboytz
      @hunterboytz 2 หลายเดือนก่อน

      Sio wakina mo kazi drama t

    • @davidpeter8099
      @davidpeter8099 2 หลายเดือนก่อน

      @@hunterboytz boss wetu maneno mengi

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo bado kuziba juu tu kwa ajili ya JUA na MVUA

  • @nicoledMalale
    @nicoledMalale 2 หลายเดือนก่อน +1

    hongera azm media

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila bosi aanze kujenga majukwaa maana ukidondosha simu huikuti. Kuna madogo huko chini ni noma

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kama ndo hivyo mbona tabu ipo pale pale

  • @omarijamal
    @omarijamal 2 หลายเดือนก่อน +3

    Simba na yanga munakwama wapi?

    • @FatumaIssa-w1s
      @FatumaIssa-w1s 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unataka mkapaa uhalibike wakkat simba &yanga wanachangia pesa nying ni siasa tyu

  • @KhamisShaur-wt3fk
    @KhamisShaur-wt3fk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wekeni paa la kuzui jua au mvua mtakuwa mmetisha azam

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 หลายเดือนก่อน +2

    VAR

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Saf