Silabi/ Silabi za Kiwahili/ Kiswahili/ Irabu/ Konsonanti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Silabi ni tamko, ambapo sauti za lugha hutamkwa mara moja na kwa pamoja. Kama vile
    b+a=ba
    b+e=be
    b+i=bi
    b+o=bo
    b+u=bu
    Miundo ya Silabi
    1. Irabu pekee - u+a=ua
    2. Konsonanti na Irabu - b+a =ba
    3. Konsonanti pekee - m+pi+ra =mpira
    4. Konsonanti + Konsonanti + Irabu - mwa+li+mu= mwalimu
    5. Konsonanti+ Konsonanti + Konsonanti +Irabu - ki+chwa =kichwa
    #swahili #jifunze #learnswahili

ความคิดเห็น • 8