JUSTINE KESSY: HAKUNA MCHEZAJI WA SIMBA ANAEANZA YANGA/ MZIZE NI BORA KULIKO ATEBA/AWESU KIUNGO BORA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market"
    #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate

ความคิดเห็น • 28

  • @michaelluziga2709
    @michaelluziga2709 วันที่ผ่านมา +1

    Tumuogope Mungu, Matusi tusiyape nafasi. Ni mchukizo kwa Mungu.Tuliumbwa kwa mfano wa Mungu alafu unatukana, ni kumfedhesha Mungu na Malipo yake mnayajua. Tubadilike na tufanye toba. Siku njema watu wa Mungu.

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 วันที่ผ่านมา

    Usimfananishe Ateba na mzizi wewe acha unazi hapo umri wako mpaka Leo hujanuwa kichambua mpira mpaka Leo ukae nyumbani uwaogeshe watoto. Mzize Hana macho

  • @ScarsePeter
    @ScarsePeter วันที่ผ่านมา

    Hahaha mzize we kichaa kweli msimu huu ana goli ngap uzalendo kweli kwanza ila ateba fund hataki nafasi nane ndo update goli

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo วันที่ผ่านมา +1

    We kessy uko sahihi achana na mashabiki maandazi wasiojua kitu.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 วันที่ผ่านมา

    Nyie mlisema Chama hawezi pata nafasi Yanga sasa anacheza wapi?acheni kuwachanganya wachezaji. NA WEWE HUJUI MPIRA NDY MAANA WANAKUTUKANA.

  • @alamamedia
    @alamamedia 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakati chama AKIWA simba, mwakajana tu, Justin kessi alikua anasema chama ameisha, hawezi kupata NAMBA pale yanga, lakini leo anasema hakuna kama chama nchi hii! Huyu kessi tumwelewe kama MASHABIKI wa yanga au!?

  • @SalehFaki-im4nh
    @SalehFaki-im4nh วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaaa kiukweli aseme tu nimshabiki wa timu gani ili tiekane sawa haina haja ya kuumizana kichwa mana anaishi kiushabiki kabisa na sio kimpira mana huwezi kuongea ayo maneno kama wewe ni mwandishi na mchambuzi bora

  • @officialjayclassic577
    @officialjayclassic577 วันที่ผ่านมา

    Anaehoji na anae hojiwa wote mabongolala hakuna anaejielewa

  • @AliUsi-ms4bm
    @AliUsi-ms4bm วันที่ผ่านมา +1

    Mm nakukubali mara nyingi, lkn unakosea kuona kwamba mawazo Yako ndio ukweli wote, Amini mawazo yako, usiyachukue na ya wenzako .
    Unalosema ww unamaamisha ndio ukweli halisi? Sivyo kaka.

    • @mwitachacha8637
      @mwitachacha8637 วันที่ผ่านมา

      Akili mbovu kama likichwa lako

  • @MakarotiKamugisha
    @MakarotiKamugisha วันที่ผ่านมา

    Kesi umeanza kuchanganyiwa maana wenzako wanamtaka mavambo weunaangaika2 tatizo elim

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 วันที่ผ่านมา

    KWANI ATEBA AMECHEZA MARA NGAPI?NA WEWE MWANDISHI HUNA MAANA KABISA

  • @abdullatifushambe4435
    @abdullatifushambe4435 วันที่ผ่านมา

    Walioachwa Simba ndio yota yangatatizo bahasha inawaponza

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 วันที่ผ่านมา

    Kesi wacha unazi zungimza football kaka usiabike utakuja kutafuta la kusema

  • @WistoniMtewele
    @WistoniMtewele วันที่ผ่านมา

    Chama anaanza yanga ? Chama hawezi kuanza yanga , unamaanisha k akae nje?

  • @timotheothadeomgassa4929
    @timotheothadeomgassa4929 วันที่ผ่านมา

    Dkt. Aliwahasa nyie wachaa mbuuuuzi uchwala walipiwaji wa kodi za chumba na sebure huko uswahilini kwenu ni kwamba, hata kama unamahaba na team fulani especially hapa bongo basi ni vyama ukabalance upambe na uchawa. Ni kwamba yanga wanawachezaji bora kuliko simba ? Aisee wee ni choko kweli kweli.

  • @abinaeljuliusmwaikenda8529
    @abinaeljuliusmwaikenda8529 วันที่ผ่านมา

    Tuone baadaye utasemaje

  • @abinaeljuliusmwaikenda8529
    @abinaeljuliusmwaikenda8529 วันที่ผ่านมา

    Wewe upon kundi lipi au ndo ushabiki?

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 วันที่ผ่านมา

    Chama alifikia bench yanga aka sugua gamondi kampika Kisha amempa nafasi

    • @JabirJabir-c9o
      @JabirJabir-c9o 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unatafunwa na mbwa wewe

  • @RamadhanSaidy-q7k
    @RamadhanSaidy-q7k วันที่ผ่านมา

    Justin mkundu kessy

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 วันที่ผ่านมา

    Justine mkundu kessy alisema chama hawezi kupata namba ya kucheza yanga, saizi chama anakiwasha yanga so huyu ni mkundu tu

    • @Asia-p5r
      @Asia-p5r วันที่ผ่านมา

      Ni rotation tu ndy inayomuanzisha chama yanga in reality mwl akiamua kuanza na first 11 yk chama anaanzia nje ...hwz muweka nje pacome haha iweje

    • @FiniasBugobola
      @FiniasBugobola วันที่ผ่านมา

      Wew k tu mechi na pamba chama sialikuwa nje au

    • @imamhussein1104
      @imamhussein1104 วันที่ผ่านมา

      punguza mihemko , wahuni watakumbato

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 วันที่ผ่านมา

      @@imamhussein1104 tangu umeende kwa pi Diddy hujitambui

    • @calistgwaydamuy8813
      @calistgwaydamuy8813 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli yanga wapo kweny mfumo kwa sahv, lakin kusema eti hakuna mchezaj wa Simba anayeanza pale yanga ni uongo mtupu,, chama ni mchezaji mzr ndo maan viongoz wa yanga walimwona wakamsajili