Wallah ndan ya nafc yang napat furah mno kupata faida kutok kwa mashaykh zetu wa kisalaf (Allah awahifadh waliohai na awarahamu waliokufa katka wao)....
Masha Allah Allah awahifadhi na awabarik walinganizi na wafuasi wa salaf ssaleh Ni wazi inaonesha umuhinu na ubora wa masheikh katika elimu ile ya wema wa karne bora na warithi wake na inatoa dalili tosha ya masheikh kuhusu upeo wa mambo yalivyo kwa ufaham wa elimu iliyosalimika Baaraka llah fiikum team na warusha faida
Namuomba Allah kwa rehemazake na fadhila zake aatuhifadhi sisi namasheykhe zitu katika uwislamu na sunna na atufishe haliyakuwa niwaisilamu allahmma amiin
Hili Swali Liliulizwa Dawrah Ya Mwaka 2019M Ya Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Tanzania 🇹🇿 Ilioandaliwa Na Wanafunzi wa *Chuo Kikuu Dar es Salaam* Sheikh alipokuwa Akifundisha Risala Ya Sheikh Ibnu Utheymein Allah Amrehemu Ya Udhu Kukoga Swala Baaraka Allah Fiykum
@@subulus_salaam2023 Hizi Ni Dawrah Huwa Zinafanyika *Markaz Sheikhil Islaam Ibni Taymiyyah, Pongwe Tanga* Kila Mwaka Baada Ya Likizo Yao Fupi Ya Baada Ya Semester Tatizo Ratiba Huwa Zinaparaganyika Ila Tunategemea Mwkaa Huu Zinaweza Kumaliza Sawasawa Kwa Hiyo Tunategemea Vyuo Vingi sana Kushiriki kwenye Dawrah Ya Mwaka Huu Itakaporatibiwa maana Ni Desturi Iliozoeleka.
Wallah ndan ya nafc yang napat furah mno kupata faida kutok kwa mashaykh zetu wa kisalaf (Allah awahifadh waliohai na awarahamu waliokufa katka wao)....
Yaa waylaha
Aamin
Naam nakumbuka ilikua semina ya wanavyuo 2020 Allaah awahifadhi masheikh zetu na Mzee wetu Hanein
naam nikwel akhui ata mm nikikuepo
Masha Allah
Allah awahifadhi na awabarik walinganizi na wafuasi wa salaf ssaleh
Ni wazi inaonesha umuhinu na ubora wa masheikh katika elimu ile ya wema wa karne bora na warithi wake na inatoa dalili tosha ya masheikh kuhusu upeo wa mambo yalivyo kwa ufaham wa elimu iliyosalimika
Baaraka llah fiikum team na warusha faida
Sahih.aameen
Allaah awape umri mrefu Mashekhe wetu na utumike umri wenu ktk dini ya Allaah na jamii inafungu kubwa kwenu inahitaji kujua Dini
اللّه اكبر
kusoma muhimu kwa kiasi ili bidi acheke tu shekhe wetu اللّه amuhifadhi
Allah awahifadhi masheikh wetu
جزاكم الله خيرا
Allaah awalipe kheri masheikh wetu wa sunnah
Namuomba Allah kwa rehemazake na fadhila zake aatuhifadhi sisi namasheykhe zitu katika uwislamu na sunna na atufishe haliyakuwa niwaisilamu allahmma amiin
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah
حفظكم الله ورعاكم
Tunawapenda Sana mashekh wetu allah awape mwisho mwema
Allah awahifadhi
Allah awalinde masheikh zetu namaadui wa daawa hii mubaraka
اللهم آمين
Allah awabarik masheikh wetu wa kisalafy
Aameen
Allah awabariki masheikh wetu wote.....aamin
Mashla❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
جزاك الله خيرا
MaashaAllah
Maashaa Allaah
MashaAllah
mashallah hayo maswali ajab
na huyo muulizaji alikua ni mkwe wa shekh Qaasim
Ahsanta!
mashekhe kazi munayo hapo
hhm nd comment gan ii
ماشاء لله
Shekheee hapo lazima uchekee tuy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shukrani sn kwa faida kubwa sn
Jazakumullah khayran.
Abul-khatwaab Abdallah Humeid
and
Abul-fadhwl kassim Mafuta Kassim.
Wapo wapi hapo Pongwe ama Mombasa?
Hili Swali Liliulizwa Dawrah Ya Mwaka 2019M Ya Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Tanzania 🇹🇿 Ilioandaliwa Na Wanafunzi wa *Chuo Kikuu Dar es Salaam* Sheikh alipokuwa Akifundisha Risala Ya Sheikh Ibnu Utheymein Allah Amrehemu Ya Udhu Kukoga Swala
Baaraka Allah Fiykum
Jazahumullah khayran.
Natamani siku moja pia waje katika chuo cha kilimo -SUA morogoro ili nasi tupate faida.
@@subulus_salaam2023
Hizi Ni Dawrah Huwa Zinafanyika *Markaz Sheikhil Islaam Ibni Taymiyyah, Pongwe Tanga* Kila Mwaka Baada Ya Likizo Yao Fupi Ya Baada Ya Semester Tatizo Ratiba Huwa Zinaparaganyika Ila Tunategemea Mwkaa Huu Zinaweza Kumaliza Sawasawa Kwa Hiyo Tunategemea Vyuo Vingi sana Kushiriki kwenye Dawrah Ya Mwaka Huu Itakaporatibiwa maana Ni Desturi Iliozoeleka.
Akhy abuu khairaty asalam aleykum vp utaratibu wa mtu kuja kusoma katika mrkaz ya sheikh Islam ibn tahmiyya. Utatibu ukoje kwa watu wa mikoani
@@hessenomary6032 Nitafute Kwa Number zangu Tutasaidiana Zaid.
Ndio
Dahhh
😂😂😂😂
Allah awahifadhi