Huyu baba kaongea mazito naya kweli baba shukran sana kutuzindua tulikuwa usingizini tena mzito sana na hii ni mungu anamtetea Samia ya Allah tulindie Samia wetu hana baya hana roho mbaya na wanao msakama kwa manufaa ya nchi yetu
Nimefarijika sana na hotuba hii ambayo imejaa weledi kuhusu hali ya usalama wa raia na Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla.. naomba ndg zangu tumwombee huyu mpendwa aendelee kuwa mwangaza wa kesho yetu. Mungu mbariki Ikongo 🙏
Wewe ni chawa tena kunguni, kama kuna makosa awamu ya tano kwani hawakuwepo kwenye ile serikali huyo Hamngatan si alikuwa makamu wa raisi wa dickteta uchwara??serikali na polisi wake wanahusika
Mr ikongo.leo umepotokwa.kwanza ufahamu kuwa serikari Haina awamu.bari tuna awamu kwa maraisi tu.serikari ilikuwepo tangu kwa mkoloni.raisi ataondoka lakini serikari itabaki kuwepo.
Najuta kukusikiliza kwasababu wewe ni muongo au hujuwi kitu ni mnafiki, ,kama hausiki kwanini anakataa wachunguzi huru na wakimataifa waje kuchunguza mauwaji ,wewe akbishop ni mzushi wacha kutulisha matunda pori,unapokuwa kiongozi yote yanayotendwa na watumishi wewe rais unakuwa unahusika kama hausiki kwanini hawafuti kazi watumishi wake?
Kwa hapa sio wengi watakuelewa kwani wale oyaoya wa kuipinga Serikali ndio wanatega sikio huku wamekuja na majibu mfukoni... wanangoja utamke kuwa "SERIKALI NDIO INATEKA WATU" ukitangaza kinyume na majibu yao ya mfukoni hawatakuelewa, sura zao kwa sasa utadhani wamelamba limao 😂😂😂 Ahsante kwa Maoni yako.
Ninamuelewa kinoma na amenikumbusha yale makambi ya vijana na mambo wanayofundishwa niya hatari sana bro umeongea kuntu nami ningesema mengi kuhusu haya sijui ni brigedi sijui vijana kazi bro shukran sana kwa hii hotuba yako mungu atakulipa kaka
Mimi nipenda kusema hivi vyombo vyetu vya usalama tunaviamina Mungu avifanyie wepesi kwajinsi vinavyo tulinda.Maana mwanadamu hataangefanyiwa nini has haachi lawama.Mungu atupe subira wakati serekali yetu ikifanyia kazi matatizo haya yakinyama
SIKU ZOTE MTU ANAPOIACHA NJIA HUWA HEKIMA YA KIMUNGU INAONDOKA NA ANAJAWA NA UBINADAMU. JITAFAKARI UPYA, REJEA KWA MUNGU TUBU NA YEYE ATAKUSAMEHE ILI UFAHAMU WAKO UKURUDIE. NI HATARI MAANA KUNA GIZZA KUU MBELE YAKO. Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. My people are destroyed for lack of knowledge: because thou hast rejected knowledge, I will also reject thee, that thou shalt be no priest to me: seeing thou hast forgotten the law of thy God, I will also forget thy children.
Bishop umeongea ukweli kabisa ni wenyewe wanateka na wanakuwa WA kwanza kupiga kelele na kuilaumu serkali. Na uchaguzi umekaribia wanaleta vurugu ili wasingizie kuonewa
Acha ubabaishaji wewe kada wa CCM hakuna jipya kwako unaposema kuwa vyombo havihusuki wewe msemaji wa jeshi la polisi acha mambo yako mtumishi wa Mungu hawezi kuwa na mtumishi kama wewe labda ni wakala wa shetani
Inaonyesha wewe unawajua watekaji, hebu twambie, watekaji na wauaji ni akina nani? Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya! Hiyo kazi yako ya uchungaji inakutosha, achana na uchawa we mzee wewe!
Ivi m23 nini ilianzaje na kwa madhumuni gani kwani migogoro ya wenyewekwanyewe vilianzaje nikwanini ilitokea hivyo angalieni sana watawala mambo haya yanayotokea leo hapa inawezekana hata wenzetu walikua naamani naupendo lakini ikatokea ujinga fulani nchi zao zikakosa amani
Huna msimamo, sijui imekuwaje nyie viongozi wetu wa dini mnakuwa waoga kusema ukweli, ma hii inawafanya mkose hata karama kwa Mungu. swala lipo wazi basi ongeeni ukweli tuone kumbe viongozi wetu wa Dini mmeshtushwa na hali hii. Mmekalia kupigia kelele waumini swala la sadaka tu.
Hueleweki, hujulikani ulivyo, maoni yako ya hovyo kama ulivyo...... Kama, kama kama kama huwezi kuitumia kukanusha. Kweli wewe ni chawa kabisa unakiri kisha inakanusha pimbi.
Bora ungenyamaza tu kama ni njaa yakwako imetia fora kama haya mambo yalifanywa na awamu zilizopita mbona hujajitokeza hadharani kusema hayo unayoyasema leo acha uchawa
Wewe utakufa kinywa wazi. Mtu anatekwa kwenye bus na watu wenye magwanda bado unadanganya watu. Kama kweli ni kiongozi wa dini bus hata kanisa lako lina mapungufu.
Naona wote mnaongea kwa mihemko TU. Jibuni hoja na siyo Matusi, kwa Mfano kama sijasema ukweli ebu wewe weka ukweli wako tuupime. Pia ni vema kusema Nilioyazungumza je ni kweli Katiba yetu Ibara ya 147 (1) SIYO KWELI? KAMA KATIBA INAPIGA MARUFUKU NYIE MNA SEMAJE?
Huyu baba kaongea mazito naya kweli baba shukran sana kutuzindua tulikuwa usingizini tena mzito sana na hii ni mungu anamtetea Samia ya Allah tulindie Samia wetu hana baya hana roho mbaya na wanao msakama kwa manufaa ya nchi yetu
Nimefarijika sana na hotuba hii ambayo imejaa weledi kuhusu hali ya usalama wa raia na Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla.. naomba ndg zangu tumwombee huyu mpendwa aendelee kuwa mwangaza wa kesho yetu. Mungu mbariki Ikongo 🙏
Tunachoka sana kusikiliza
Wewe ni chawa tena kunguni, kama kuna makosa awamu ya tano kwani hawakuwepo kwenye ile serikali huyo Hamngatan si alikuwa makamu wa raisi wa dickteta uchwara??serikali na polisi wake wanahusika
Nimeamini kweli Tanzania wzee wenye akili ni wachache sana
Mr ikongo.leo umepotokwa.kwanza ufahamu kuwa serikari Haina awamu.bari tuna awamu kwa maraisi tu.serikari ilikuwepo tangu kwa mkoloni.raisi ataondoka lakini serikari itabaki kuwepo.
Najuta kukusikiliza kwasababu wewe ni muongo au hujuwi kitu ni mnafiki, ,kama hausiki kwanini anakataa wachunguzi huru na wakimataifa waje kuchunguza mauwaji ,wewe akbishop ni mzushi wacha kutulisha matunda pori,unapokuwa kiongozi yote yanayotendwa na watumishi wewe rais unakuwa unahusika kama hausiki kwanini hawafuti kazi watumishi wake?
Kwa hapa sio wengi watakuelewa kwani wale oyaoya wa kuipinga Serikali ndio wanatega sikio huku wamekuja na majibu mfukoni... wanangoja utamke kuwa "SERIKALI NDIO INATEKA WATU" ukitangaza kinyume na majibu yao ya mfukoni hawatakuelewa, sura zao kwa sasa utadhani wamelamba limao 😂😂😂
Ahsante kwa Maoni yako.
Wewe Ni Muongo Ulitengenezwa Na Mwiguru
Nimekuelewa wewe ulie muhanga wa utekwaji MUNGU akubariki.
Mbona ccm ina chipukizi huyu mzee anapotosha bora unyamaze tu
Hivi wenzangu mnamuelewa huyu mzee!!? Anajivunjia heshima tu hapo, anadhihirisha kuwa naye ni............
Ninamuelewa kinoma na amenikumbusha yale makambi ya vijana na mambo wanayofundishwa niya hatari sana bro umeongea kuntu nami ningesema mengi kuhusu haya sijui ni brigedi sijui vijana kazi bro shukran sana kwa hii hotuba yako mungu atakulipa kaka
JWTZ, POLICE,JKT MAGEREZA UHIAMIAJI JU
Mgambo toka jk nyerere ipo,uhamiaji ilikuapo,gombea udiwani acha uchungaji
Uyu amnakitu ndomana kaficha uso.
Wewe kada wa ccm
Maoni na umesema unauhakika af we usituchanganye😢😢😢😢😢
Mmwenzako wamemfukuzia congo shauli yako kiboko ya wachawi
Msikilize sativa
Wewe Nilipumbavu Hauna Maana Ni Sawa Na Mavi Ya Chooni
Huyu Anatafuta Kiki Hana Maana Kabisa Ni Heri Mfe Msiishi Duniani Wewe Ni Mmbwa Kabisa Hauna Utu
Una Tuabisha Watu Wenye U ALBINO Uelewa Wako Wa King'ombe
Mimi nipenda kusema hivi vyombo vyetu vya usalama tunaviamina Mungu avifanyie wepesi kwajinsi vinavyo tulinda.Maana mwanadamu hataangefanyiwa nini has haachi lawama.Mungu atupe subira wakati serekali yetu ikifanyia kazi matatizo haya yakinyama
C nenda Kituo cha Polisi ukaseme hayo ktk kituo cha Polisi hayo usemayo why uongee ktk mitandao????
SIKU ZOTE MTU ANAPOIACHA NJIA HUWA HEKIMA YA KIMUNGU INAONDOKA NA ANAJAWA NA UBINADAMU. JITAFAKARI UPYA, REJEA KWA MUNGU TUBU NA YEYE ATAKUSAMEHE ILI UFAHAMU WAKO UKURUDIE. NI HATARI MAANA KUNA GIZZA KUU MBELE YAKO.
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
My people are destroyed for lack of knowledge: because thou hast rejected knowledge, I will also reject thee, that thou shalt be no priest to me: seeing thou hast forgotten the law of thy God, I will also forget thy children.
Bishop umeongea ukweli kabisa ni wenyewe wanateka na wanakuwa WA kwanza kupiga kelele na kuilaumu serkali. Na uchaguzi umekaribia wanaleta vurugu ili wasingizie kuonewa
Kabisa
Weekwelichawa
usipo pongeza huezi kueleweka 😂
Endelea kuupuza haki maana hujali watu wanaopotea
We kama huna jambo kalale tena
21:02 21:04 21:08
Mungu akuongezee umri kwa kusema ukweli
Acha ubabaishaji wewe kada wa CCM hakuna jipya kwako unaposema kuwa vyombo havihusuki wewe msemaji wa jeshi la polisi acha mambo yako mtumishi wa Mungu hawezi kuwa na mtumishi kama wewe labda ni wakala wa shetani
Bishop unachanganya mambo
Pole Sana kwa elim hiyo sijui kwa walio kwelewa
Huyu ni mtu wa wapi
Upo sahihi sana
Uko sahihi sanaa
hata kama sio yeye lkn atawajibishwa kama mkuu wa nchi ameshindwa kukemea
UCHAWA NDIO HUO MIAKA MITATU NI MUDA MFUPI?.UMEOMBA KABLA HUJKUBALIWA UNAONGEA HAMNA OMBI HAPO' WEEE ACHA UJINGA
Kumbe na wewe chawa alafu unajiita bi shop acha kumdhiaki mungu mungu athiakiwi
Huyu ni bishop wa kanisa gani
Vijana hao ni wazalendo babu wewe walikufanya nn hao unao jaribu kuteteaa mkuu wewe wamekuchubua umekua hivyo
Sasa kama mtu mzima kama huyu anajibua hivyo unategemea kupata kitu chamaana kweli kutoka kwake?
Mumefanya utafiti kiasi Gani kupata asilimia nane umezipataje ?
Asilimia 92 kwa 8 umezipata wapi ? Mr Bishop
Naona ulemavu wako haukuishoa kwenye ngozi umefika hadi kwenye ubongo pole kwa waumini wako kama kweli wapo.
Uzeru zeru umefika ndani ya ubongo ,huyu ni zero brain hamna kitu
Si useme tu GREEN GUARD. Unazunguuuuuuka
Wewe ni mnafiki
Tangu sasa wewe ni mnafiki
Muongo na mjinga magereza ni jezhi la NCHI YETU. Kaa kimya
Mgonjwa du pole
Pumbavu.... Huo ni mkorogo au ni una ulemavu wa ngozi?
Na akili na akili yako ina ulemavu!!
Serikali zote zilizopita na hii ya sasa ikiwepo zote ni zaa CCM kwahio huwezi kuzitenganisha awamu hizo.
Hogela bishop wangu ikongo
Kama wewe huyu wasali kwake, wewe ni pungwani....Hana karama ya kuwa kiongozi wa dini...nibwa Koko Kaa mbwa mwingine!!
Hufahamu unachookiongea,
Kweeeeeedar
HAKIKA HAYA NI MANENO MAZITO YENYE PUMZI KWA WATU WENYE AKILI ZA MBALI...
Ushauri wangu ni kuwa ungeendelea kunyamaza tu mzee wangu!
Ulikuwepo kuona havihusiki jiangalie nyambafu
Usamehewe
Kweli kabisa Bishop
Ni kweli kabisa hata Mchungaji mwingira ana kampuni ya ulinzi
Kweli sasa nchi hii tumekwisha huyu ndiyo Bishop kaamua kujizima (DATA ) Yesu mhurumie
😂😂😂😂
Inaonyesha wewe unawajua watekaji, hebu twambie, watekaji na wauaji ni akina nani? Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya! Hiyo kazi yako ya uchungaji inakutosha, achana na uchawa we mzee wewe!
Ni kweli kabisa wasiojulikana Mimi nawajua. Watekaji nawajua, viambie vyombo viniulize Mimi. NAWAJUA WATEKAJI NA WAUAJI.
Ivi m23 nini ilianzaje na kwa madhumuni gani kwani migogoro ya wenyewekwanyewe vilianzaje nikwanini ilitokea hivyo angalieni sana watawala mambo haya yanayotokea leo hapa inawezekana hata wenzetu walikua naamani naupendo lakini ikatokea ujinga fulani nchi zao zikakosa amani
Kwasasa ni idara ya uhamiaji na sio jeshi
Hivi askari wetu wameshindwa kuwafahamu na kuwakamata hao unaowafahamu wewe?
wewe hueliwi hakuna kitu hakuna Ukweli
Huna msimamo, sijui imekuwaje nyie viongozi wetu wa dini mnakuwa waoga kusema ukweli, ma hii inawafanya mkose hata karama kwa Mungu. swala lipo wazi basi ongeeni ukweli tuone kumbe viongozi wetu wa Dini mmeshtushwa na hali hii. Mmekalia kupigia kelele waumini swala la sadaka tu.
Toa jibu hizo asilimia umezipataje
Wewe si chawa bali ni kunguni.
Ivi wewe mchungaji au kibaraka
😂😂😂😂
Huna lolote wew ni Chawa ndio
Mmmmmm haya ni maoni yako sio m aya
Hiyo miwani vipi?!!! Inakuwasha!!!
Wewe ni chawa hata kama utaongea.
Mbona mnamchambua kama karanga wandugu
How asimia 8 unaipataje. Ni Askofu wa NN.
Hueleweki, hujulikani ulivyo, maoni yako ya hovyo kama ulivyo...... Kama, kama kama kama huwezi kuitumia kukanusha. Kweli wewe ni chawa kabisa unakiri kisha inakanusha pimbi.
Toka zako, mpuuzi.
Wewe ni mpumbafu unaongea usiololijua
Bora ungenyamaza tu kama ni njaa yakwako imetia fora kama haya mambo yalifanywa na awamu zilizopita mbona hujajitokeza hadharani kusema hayo unayoyasema leo acha uchawa
Ujui chochote ww chawa tu
We ni chawa tena wa kihindi mkubwaaaaa,acha upumbavu
Tena ni big chawa
Hueleweki kama popo.Wewe ni ndege au mnyama?Kama hujuwi nyamaza si lazima uongee.
Wewe utakufa kinywa wazi. Mtu anatekwa kwenye bus na watu wenye magwanda bado unadanganya watu. Kama kweli ni kiongozi wa dini bus hata kanisa lako lina mapungufu.
Acha uongo ww waliotekwa hawakuwa na magwanda ww