SIMBA HATUWEZI KUKAA KUNDI MOJA NA WAKIMBIZI/TUNAKAA NA WAKUBWA WENZETU TU/ROBO FAINALI KWETU LAZIMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 13 วันที่ผ่านมา

    Uko vzr brother

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa Ibrahim Isaac na Yakobo atusamehe dhambi zetu na atusaidie sisi na familia zetu. Aisaidie simba sc ishinde mchezo wa kesho na michezo mingine. Atufanye kuwa wanyenyekevu kwa gharama ndogo.

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 13 วันที่ผ่านมา

    Simba nguvu moyaaaaa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 unaenda na Moja kichwani daaah

  • @AlfaniMichael
    @AlfaniMichael 14 วันที่ผ่านมา +1

    Anaemlaumu mpanzu hauji mpira coz haoni mchango wake kwa Kila mechi kufunga cyo Kila mchezaji atafunga jaman hee wabongo bwana😅😅😢

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 14 วันที่ผ่านมา +1

    We jamaaa kwenu mzinga unajikuta unaongea kikongo😅😅😅😅😅😅 aloooooo

  • @yusuphitambu3405
    @yusuphitambu3405 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mpanzu hajamaliza dk 90 za mechi af analaumiwa hii ndio bongo