Kaka nafurahi sana mnavyopendana na mkeo mzungu. Angekuwa mwingine angeona unamzalirisha kurekod kila mahali. Ila coz alikaa bongo miez18 anajua uhalisia wa maisha yetu ya Bongo. Ndio maana anakusapot sisi tupate Update kila siku. Dumu kumpenda kaka, usimuache nlijua anakupenda kweli baada ya kuskia mlipokutana na kuja Tz.
Ayooo hap heshima kwako kaka nakufuatilia nikiwa kariakoo madukani kiukweli kwenye hizi video zako kwa kijana yeyote asielimika na hii elimu yako ya Bure ndi basi tena.mungu awabariki ww na shemegi yetu kaka.
USA army nakubali sana mkuu,sema kuna kuma flani hivi ni mmafki wako apa, alikua ana ojiwa na channel ya shena alikua ana kusema vibaya sikupenda kabisa
Nchi yetu TZ kwanza Ardhi anamiliki mtu binafsi na nchi za wezetu land inamilikiwa na government so gov inakuwa na mamlaka ya kujenga chochote kuuuza land pia… si unaona US huku nyumba sio yako ni ya serikali ukiona umepanga ujue uyo landlord wako kanunua pia iyo land.. ukienda china hivyo hivyo pia land by gov…. ATA magu angekuwa live nchi isingkuw ata kma US, China,Japan au UK… so kama usafi, uchafu ni jukumu la mwananchi…. Na pia TZ ardhi unarithishwa na babu au bibi na unakuta mtu hana uwezo wa kujenga sky scraper basi anajenga kutokan na kipat chak.. hakuna asiye taka kuishi kam US. So kwa nchi kama TZ ni jukumu la kila mtu si raisi tu kuweka jiji safi au chochot…… We tukikupa URAISI utaweza ibadirisha TZ kuwa kma USA au China 😆😆😆
Mimi nitaweza sana kwa miaka5 tuu ya awali, na ajila mtapata sana vijana. Kiukweli naumizwa sana na ugumu WA maisha ya huku kwetu. Ujue hata kama mtu ukiwa na kipati cha chini lakini unazingukwa na mazingira Bora sana hata Stress haupati
@@ASmg-k4waccess to a better infrastructure, roads kwa matajiri na masikini pia kisaikologia mazingira mazuri yanamfanya mtu kufikiri vizuri ktk maendeleo binafsi na ya nchi trust me. Fanya jaribio dogo tu lakuweko nyumani kwako au chumba chako au ofisini kwako safi than angalia itavyokupa motivation za kufanya maendeleo binafsi zaidi ya hvyo
Jidanganye brothers nan kakuambia ardhi n yako ujiulizi kwa nn serikali akitaka kuwekeza.. anakutoa kweny ardhi yako kwa malengo au benefits ya Serikali japo utalipwa fidia
one love brother natamani nife us kufanya kazi but its very imposible i was trying too many times
Kaka nafurahi sana mnavyopendana na mkeo mzungu. Angekuwa mwingine angeona unamzalirisha kurekod kila mahali.
Ila coz alikaa bongo miez18 anajua uhalisia wa maisha yetu ya Bongo. Ndio maana anakusapot sisi tupate Update kila siku.
Dumu kumpenda kaka, usimuache nlijua anakupenda kweli baada ya kuskia mlipokutana na kuja Tz.
Asante that’s true
Ayooo hap heshima kwako kaka nakufuatilia nikiwa kariakoo madukani kiukweli kwenye hizi video zako kwa kijana yeyote asielimika na hii elimu yako ya Bure ndi basi tena.mungu awabariki ww na shemegi yetu kaka.
Izo za stop zipo mzee au wewe ujatembea bongo vizuri ma mbezi beach uko kijichi osteybay be proud of your country
Bongokunanini mzee mbonaunajitia imani
Zinatakiwa ziwepo kila mtaa bongo sio mbezi na Ostabey ni sehemu ya usalama road
@@mshanatheblacksmith naingia uko nduguyangu napitia brazili nikarague
One day 2peleke downtown Atlanta,GA mzee baba
Niatafikisha mzee 👍
Ona mtaa ulvotulia Hamna maukuta wala nn
kumbe sisi kujenga mageiti ni ushambauliotukuka ona matajir hawan mafensi
sema brother mshana hamna beach hapo afadhali za nyumbani TZ
@@hassanmpemba5747 alright tatizo beach nzuri home ni zakulipia na hasa ukitaka kukutana na watu au wachumba wenye wadhfa flani. you feel me?
Kaka nchi yetu UFISADI MWINGI KWA SERIKALI, NA WA TZ HAWAWEZI FANYA MAPINDUZI YA KUBADILI UTAWALA.
USA army nakubali sana mkuu,sema kuna kuma flani hivi ni mmafki wako apa, alikua ana ojiwa na channel ya shena alikua ana kusema vibaya sikupenda kabisa
@@kevinmushi8209 nani huyo?
Nchi yetu TZ kwanza Ardhi anamiliki mtu binafsi na nchi za wezetu land inamilikiwa na government so gov inakuwa na mamlaka ya kujenga chochote kuuuza land pia… si unaona US huku nyumba sio yako ni ya serikali ukiona umepanga ujue uyo landlord wako kanunua pia iyo land.. ukienda china hivyo hivyo pia land by gov…. ATA magu angekuwa live nchi isingkuw ata kma US, China,Japan au UK… so kama usafi, uchafu ni jukumu la mwananchi…. Na pia TZ ardhi unarithishwa na babu au bibi na unakuta mtu hana uwezo wa kujenga sky scraper basi anajenga kutokan na kipat chak.. hakuna asiye taka kuishi kam US. So kwa nchi kama TZ ni jukumu la kila mtu si raisi tu kuweka jiji safi au chochot…… We tukikupa URAISI utaweza ibadirisha TZ kuwa kma USA au China 😆😆😆
we utaweza?🌚
Mimi nitaweza sana kwa miaka5 tuu ya awali, na ajila mtapata sana vijana. Kiukweli naumizwa sana na ugumu WA maisha ya huku kwetu.
Ujue hata kama mtu ukiwa na kipati cha chini lakini unazingukwa na mazingira Bora sana hata Stress haupati
@@ASmg-k4waccess to a better infrastructure, roads kwa matajiri na masikini pia kisaikologia mazingira mazuri yanamfanya mtu kufikiri vizuri ktk maendeleo binafsi na ya nchi trust me. Fanya jaribio dogo tu lakuweko nyumani kwako au chumba chako au ofisini kwako safi than angalia itavyokupa motivation za kufanya maendeleo binafsi zaidi ya hvyo
Jidanganye brothers nan kakuambia ardhi n yako ujiulizi kwa nn serikali akitaka kuwekeza.. anakutoa kweny ardhi yako kwa malengo au benefits ya Serikali japo utalipwa fidia
@@RashidiMdee-s3p I like this vijana tunapozungumzia mambo ya maendeleo mitandaoni sio udaku👍👍👍