Jamani mbona vitu vya kawaida sana hivi...mm mama yngu dada yke hakujaliwa kupata mtoto mpka leo mtu mzima mama alimpa mm nikiwa mdogo nikaishi nae watu wote wakawa wanajua yy ndio mama yngu akawa anaitwa jina lngu mama Fulani mpka leo mama na yeye anamuhita dada yke kupitia jina lngu anapata faraja sana akisikii unyonge ....ukoo mzima wanamuhit mm joha ila watu wapembeni awajui kama yy hakubatika kupata mtoto wanajua ana mtoto mmoja ambae ndio mm na mm nampenda sana tena sa zaidi...wazee wetu walikuwa wanafanya hivyo kumpa mtoto ndugu yke ambae ajajaliwa kipata mtoto...esma ni mtoto wa mama dangote ..
We ndo amna kitu! Anamwita dada yake ma esma maana esma alikulia mikononi mwa dada yake kwaio ukisikia anamwita ma esma ni kama faraja tu kwa dada kwa kumlea esma kipindi icho wanajitafuta
@joycekisamo4896 huyo dadaake hana mtoto na ndie alie mlea esma ndio mana wanamuita mama esma na familia nyingi hufanya ivyo sema tu kwa sababu familia ya diamond imekua familia maarufu kwa sasa ndio mana ukaona jambo dogo hugeuzwa kua kubwa.
Mama dangote ana dada ake wakuzaliwa kabisa anaitwa bi Mwajuma huyo bi Mwajuma akujaliea kupata mtoto so mama Dangote alivyomzaa Esma huyo bi Mwajuma akawa anamlea Esma kama mwanae wakumzaa na ukizingatia bi Mwajuma yeye hajajaliwa kupata mtoto hivyo toka zaman wanamuita bi Mwajuma mama Esma kama kumfariji dada yao huyo. Esma mama ake wakumzaa ni mama Dangote
Apo umeelewaka inaonekana unafaham vizuri ii situation miaka kazaa nyuma ayamambo nikawaida wazazi wetu walikua wakifanya ivyo nazani watu wataelewa kama watasoma iyo comant yko
Kaulize mzeeAbdull mtu alotoa msaada kuoleka Sandra kujifungua Diamond pingine barka zake na dua zake hio siku kazaa msanii mkubwa halafu wamemgeuka Asma pia muandish kaulize
Jaribuni kuwa watashi,esma huwenda Hilo jina Lina maana sana kwao na ndio sababu ya kuwaita watoto wao hivyo.unata kiniambia kila anitwa Nassibu Junior ni mtoto wa diamond platinum,acheni hizo

Kwhy yke mama n mamak mdgo au mkubwa 😂
🎉❤
@@sulleymernmannarah7930 ndio umeandika nini mbona aueleweki
Achana nae hajielewi huyo chenye umeeleza wewe chaeleweka@@joharifarahani2739
Huyu mama anajichanganya Sana ukute hata diamond ni mtoto wa mzee Abdul haeleweki huyu baba
Nyie wabongo ndio mnaongeza mambo
Kweli, that's possible
We ndo amna kitu! Anamwita dada yake ma esma maana esma alikulia mikononi mwa dada yake kwaio ukisikia anamwita ma esma ni kama faraja tu kwa dada kwa kumlea esma kipindi icho wanajitafuta
Wambea wape habari tofauti,,,wachanganyikiwe😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂 wanazingua sana ao
Wabongo mnapenda maneno ya nyongeza aisee
Huenda dadake pia ana mtoto anayeitwa Esma!
@joycekisamo4896 huyo dadaake hana mtoto na ndie alie mlea esma ndio mana wanamuita mama esma na familia nyingi hufanya ivyo sema tu kwa sababu familia ya diamond imekua familia maarufu kwa sasa ndio mana ukaona jambo dogo hugeuzwa kua kubwa.
Huenda dadake pia ana mtoto anayeitwa Esma!
Pengine na dada yake ana mtoto anaitwa esma uwez kujua😂
Ukishaskia ni #Esko ujue kbs hamn cha maana hapo,
Hanaga issue serious huyu.
😂
😂😂😂😂😂😂
Nyiyeee naoooe mnatakae Tuu viens
😂😂😂😂si walisema Esma alizaa na mwarabu ndoo akafuata Dai
Mama dangote ana dada ake wakuzaliwa kabisa anaitwa bi Mwajuma huyo bi Mwajuma akujaliea kupata mtoto so mama Dangote alivyomzaa Esma huyo bi Mwajuma akawa anamlea Esma kama mwanae wakumzaa na ukizingatia bi Mwajuma yeye hajajaliwa kupata mtoto hivyo toka zaman wanamuita bi Mwajuma mama Esma kama kumfariji dada yao huyo. Esma mama ake wakumzaa ni mama Dangote
Apo umeelewaka inaonekana unafaham vizuri ii situation miaka kazaa nyuma ayamambo nikawaida wazazi wetu walikua wakifanya ivyo nazani watu wataelewa kama watasoma iyo comant yko
@@amyboyfighter7281mimi sioni ajabu mimi nina mdogo wng tumezaliwa tumbo 1 lkn kuna baadhi ya watu wanajua yule nimwanangu
Ni ukweli kabisa hata yule baba wa daimond alisemaga kitu icho icho! Na alisema kabisa sema ni mtoto wa kwanza wa bi sandra
Umeelezea vizuri sana thanx
Vipi baba ake Esma ni Nani inamanisha mama Diamond alikuwa ni miyeyusho sana 😂
Kwani akisema kwa niaba ya Dada ake kuna shida gani hapo
Kaulize mzeeAbdull mtu alotoa msaada kuoleka Sandra kujifungua Diamond pingine barka zake na dua zake hio siku kazaa msanii mkubwa halafu wamemgeuka Asma pia muandish kaulize
Basi sio mtoto wake
😅😅watanzania wananyongeza sana
TULE NI MTORI NYAMA ZIKO CHINI.....😂😂😂😂😂
Huo mwaka unao usema aliulizwa mzee abduli kipindi kilekile akasema ni mtoto wake yeye mama dángote
Ila bongo😂
Jaribuni kuwa watashi,esma huwenda Hilo jina Lina maana sana kwao na ndio sababu ya kuwaita watoto wao hivyo.unata kiniambia kila anitwa Nassibu Junior ni mtoto wa diamond platinum,acheni hizo
sasa iyo ndo habar mmeishiwa habar nn
Wanazingua
Et wameanza kuwa wajinga hawa hata sijaelewa iyo habari
Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu ata mzee nasibu basi ndio babake diamond
Iyi familie ina mambo duuuh 🤣
Kawaida ukimpa nduguyo mtoto hutakiwi kusema ni mwanao kabisa😊
Huenda dadake pia ana mtoto anayeitwa Esma!
Tafuteni Hela hii familia Wana cheza na mtandao,Wabongo tunavyopenda wanatupeleka ukouko
Hii ata sio ya kucheza na mitandao wabongo tu wanapenda kuongeza mambo
Kwel ...esko....hunazo yaaann hujaelewa nini hapo au unataka comment kama hiv
Kwel sns mmeishiwa habar
Habari ni habari
❤tanzania haina dogo
Asa wewe usichoelewa apo kitu gani mtto wa dadake si niwake tu mmeishiwa habari au🤣
Uwongo ukisema ukumbuke na kurecod sasa inaona unavyojisonga mwenye mara mtoto wa dada angu mara wangu
Ni maisha yao jamani mwisho wa siku tuwaachie wenyewe
Kwel mmekosa vya kufatilia
Hata Nyange kua baba Nasibu (Diamond) ni wongo tuu !
Hapo kuna ukweli mwangalie Ricardo Momo anavyofanana na Diamond ata Sauti
Hawatunzagi kumbukumbu 😄😄
Mbona hakusema esma kuwa nini mtoto wa dada yake bali alisema alikuwa anapitia kwa mama esma ambaye ni dada yake kwani esma ni huyo pekee?
Du watu wanakumbukumbu balaa
Mtoto wa dada yake ni wake 2
Watu n washamba na wamezoea kubaguana, kwan kama alizaliwa kwa dada yake na yy bado alikuwa hajazaa Kuna shida gani kumuita kifungua mimba?
Hivi wewe una akili timamu au UNAJISHAUA TU......
Sasa kama esma wako wawili
Mtoto wa dadake bhn huwaga wambea nyie 😅😅
Mama Dangote sio mama yake mzazi kabisa Esma ni mtoto wa dada yake alibisema zamani sana tunajuwa yakwamba Esma sio mtoto wakutoka tumboni mwake
Ata kama ni mtt wa dada ake atabaki kua mama ake wambea wanapenda kufatilia maisha ya watu jmn😂
Ndio sababu zari kawasema
Wewe ndio muongo
KAMDOMO
Ni mtt wake na nyie achenii ufala mxwiiii...akitoka asma anakuja mond
Hapo Kuna something inafichwa, mmmmmm?