Saf sana mbwaduke unajua sana kuchambua soka, cyo ty kuw na statistics ndo znachangia watu wakuelewe ila hata weledi wa kuchambua soka ndani yko n mkubwa mno pengne kulko wachambuz wote hapa bongo, ni wew na ambangile ty ndo mnajua kuchambua mpira
Ramadhan Mwaduke hata kama anachukua kipato ni halali kwani kazi yake inaonekana. Ni mzee wa data kweli. Funzo kwa watu wa fani wajitahidi kufanya kazi za kiuweledi sio kubabaisha. Ktk safu yao hata Godlisten Muro yuko poa.
Simba balaa iko wap!? Kuna mpira Simba Jana kacheza na ukafurahia!? Azam ndo kacheza mpira mzuri kuliko Simba! Simba kapata matokeo ambayo siyo ya mfumo.
Daah mzee wetu #mbwaduke inaonekana hata shule ulikuwa wa 🔥 sana
Nakupenda sana mzee wa data
Nakukubali Sanaa vipindi vyako vyotee navifatilia
Hii ndyo Maabara ya mpira maana wachambuzi wengi wanachambua kishabiki siyo takwimu hongera brother
be blessed mbwaduke ;Ur so blessed
Big up my brother!
Nakupat kiongoz❤❤
Mchambuzi Bora Kabisa Kuwahi Kutokea Bongo
Umemsahau mwl kashasha?
Mzee Ramadhani Mungu akupe umri mreeefuu sana,❤Ubaya Ubwela
Saf sana mzeee❤❤❤❤❤❤
Mpaka waseme mwaka wa leo
Uko vizur sana
Nakubal❤❤
Saf sana mbwaduke unajua sana kuchambua soka, cyo ty kuw na statistics ndo znachangia watu wakuelewe ila hata weledi wa kuchambua soka ndani yko n mkubwa mno pengne kulko wachambuz wote hapa bongo, ni wew na ambangile ty ndo mnajua kuchambua mpira
Safi mbwaduke
Mzee unajua sana kuchambua mpira🎉🎉🎉🎉
Safi sana
Safi sana mzee wadata
Mungu akubariki unajua kile unafanya tena unakifanya kwa ufasah. Zaidi
tuletee huyu feitoto tundelee kunogesha jamani rahaaaaaa
simba raha jamani tunamshukuru bosi wetu hataki m chezo watalegea tuuuuu
Mbwaduke nakupenda sana kwa uchambuzi mzuri, lakini usiwe unaweka ndefu sana ili na wenye MB chache tuweze kufuatilia chambuz zako
𝕦𝕡𝕠 𝕧𝕚𝕫𝕦𝕣𝕚
Hatarii
Huyu sio mwalimu kweli dah unajua sana . Sema ni ubaya ubwelà unaendelea na pumzi ya Moto watu wanavuta 🤣🤣🤣
🎉🎉🎉🎉
Simba ni hatari ila inakua hatari zaidi isipokua na Mpira
Mungu akirinde kipaji chako 🙏
Ramadhan Mwaduke hata kama anachukua kipato ni halali kwani kazi yake inaonekana. Ni mzee wa data kweli. Funzo kwa watu wa fani wajitahidi kufanya kazi za kiuweledi sio kubabaisha.
Ktk safu yao hata Godlisten Muro yuko poa.
Alafu nawewe japo nimchambuzi mzuri ila nawewe nimwanasimba nishaona
Umeona kitu nachokiona mimi sasahv kuna DNA za usimba naziona
Hahah achen bana mbn huwa anachambua ata yanga vizurii sana😅
Ulitaka awe mwana CHURA????
Yanga ni watu wa lawama siku zote, haijalishi wanamlalamikia nani
😁😁😁😁
Saaf mbwaduke
Simba balaa iko wap!? Kuna mpira Simba Jana kacheza na ukafurahia!? Azam ndo kacheza mpira mzuri kuliko Simba! Simba kapata matokeo ambayo siyo ya mfumo.
Hayo hayo yana tutosha
Kwani yanga juzi kacheza mpira gani au bangi zakusumbua na msemaji wenu Ali Kamwe alisema mikubwa point 3 tu sasa hapo shida iko wapi?
Sa mbna hiyo azam haikushinda? Shida ilikuwann
@@SangaliPowerinaonekana hana na uhakika asemacho
Na point kachukua Nan??
Mbwaduke nakupenda sana kwa uchambuzi mzuri, lakini usiwe unaweka ndefu sana ili na wenye MB chache tuweze kufuatilia chambuz zako
Kamauna mb kidig unaweza ukaangalianusu ukakatisha siolazma uingalie uchambuz wote🎉 wengine tunaona uchambuz nimfupi kwakua anajuakuuchambua vizr🎉