ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hahhahaa ila kuna mchambuz mmoja anasaut kama amekabwa koo ni zero kabxa, lkn kuna mwingine anamihemko balaa naye yule ni andaz kabxa.
Uchambuzi wa mashaka.
Shida ya wasemaji wetu wanaongea kupita kiasi. Na sijui lini watajirekebisha.
Kamwe nimuongo kuhusu majeraha
Wachang'ombe
HUWA WANASEMA HVHV BAADAYE UNAWAKUTA UWANJANI
Ukipang vibonde tunawawek yanga mbel ya alhil
We mchambuzi wamchongo Ali hillali nusu faina wamefika zaid ya marambili unaifananisha nayanga
Alh hilla wako poti 3 na Yanga wako poti 2 kwaiyo nani Kibonde?
Kamwe hajasema timu ni kibonde. Jadili hoja ya kamwe anasema wataonyesha mfano.
Wachambuzi wote wanaz wa Simba unategemea Nini??
Achana nao wajinga tuu hao
Huyo mpuuuzi sana siku zote anaiponda yanga
uo ni uongo wezee uyu dogo muongo
Wachambuzi au wachambaji? Mnagongwa mbwa nyiee.
😂😂😂😂😂