Watanzania tujutahidi kuwa wazalendo Maana ukimsaidia mtu mmoja ujuwe nyuma yake kuna watano wanamtengemea hivo ukimuangusha ujuwe wengi wanaunia maana huyo ndo msaada wao Ahsante bro Taji karbu tena SnS
mm najuwa French sn na English ila kupata kazi nivigumu sn, na nilisomea tour operator in general mambo ya utalii ila kazi ngumu sn TANZANIA na French ndie lungha nilio isoma darasa la kwanza...
Kabla ata sijasikiliza hii interview nimetoka kutwert Twitter kuwa asilimia kubwa ya playlist tnazozisikia redioni za kibongo wasanii wamenunua hizo playlist
Good interview
I wish you all the best Taji. I believe wahusika watakupa nafasi.
Watanzania tujutahidi kuwa wazalendo
Maana ukimsaidia mtu mmoja ujuwe nyuma yake kuna watano wanamtengemea hivo ukimuangusha ujuwe wengi wanaunia maana huyo ndo msaada wao
Ahsante bro Taji karbu tena SnS
Bless you Taji Liundi watakuelewa
Hongera sana kaka Taji Liundi kweli wewe ni jembe, umewasaidia wengi sana.
Exactly TAJI
mtu makini sana
To his respect for Bro Taji, i created today his Wikipedia profile to honor his legacy and history before he passes away. Anyone can contribute more
mm najuwa French sn na English ila kupata kazi nivigumu sn, na nilisomea tour operator in general mambo ya utalii ila kazi ngumu sn TANZANIA na French ndie lungha nilio isoma darasa la kwanza...
Utamjua tu kuwa ana exposure, ana passion na kila anachopenda kufanya.
Namkubali Dudubyaya.huwa anayaongea hayo kila siku
Exactly Dudubaya ameongea sana ukweli mno
well said. wazalendo kama nyie ni wachache nchini
Kabla ata sijasikiliza hii interview nimetoka kutwert Twitter kuwa asilimia kubwa ya playlist tnazozisikia redioni za kibongo wasanii wamenunua hizo playlist
Taji anazungumza fact Sana
Faza Taji Liundi umeongea ukweli ambao media hawautaki.Kama ishu ya vanessa mdee media zote zilikausha kama hakijatokea kitu.
Arakini unaogeyakweri arikiba nadiond na walewamamana wakumbari namiye