Best Naso - Uwoga (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- #BestNaso #Uwoga #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
Follow Best Naso on:
www.facebook.c...
/ bestnasotz
/ bestnaso
open.spotify.c...
/ yamoyoni-single
www.boomplay.c...
audiomack.com/...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Kenya tunakupenda sana.
❤❤❤guys leteni hizo likes please
Nakubali sana madon member jagwa power wimbo mzuri brother Nasso wewe ndio msanii wangu pekee apa TZ🇹🇿 unakipaji chakuandika msg zenye ujumbe mzito Respect 💪💪 #BestNaso 🙏🙏💔
Hatariiiiiiiiiiiiii sna kaka best naso nikingia mtandaoni nakucheki ngoma zako hasa ile maisha utata kama umeimba jan big up
Wakwanza leo mm jaman njoon hapa wote tumuunge mkono ndg yetu
Kabisa
Sana
Kama umeludia kui play gonga like hapo👎
Jamaa ana jua san kaka best naso
Kwa kwanza🤗
Ngoma zako Kali sana kaka zinaelimisha brother nasso nakukubali big up
Ngoma Kali xan braza naso Niko Zang bunda Mara tz
Kila mwimbo wako una make sense to me brother keep up man
Umeona e
Big up Sana brother hapa burundi buja we are with you brother
My favourite big up ..much love ❤ 😍 💖 kenya 🇰🇪
Ur no one fan straight from +254 Kenya... I love that melody so sweet
Best naso the best artists keep up the good work
Salute for producer ezzy anamadini tengeneza nae hit nyingi chemistry yenu inaonekana inaendana nyimbo Kali ujumbe mzur keep it up bro!
Nyimbo nzuri muimbaji fundi ujumbe Amazing asee brother Nasso Mungu akuweke
Naso killin it
Love from 🇰🇪
Nakukubali sana kaka yangu Mungu akulinde sikuzote za maisha yako 🙏🙏💯 hujawai kuniangusha
Most consistent artist and hardworking too, 👏 press it more harder 💪
000
Best naso sijawahi kuchoka kusikiliza Ngoma zako. Toka kipindi Cha Mamu wa dar
Best naso sijawahi kuchoka kusikiliza Ngoma zako. Toka kipindi Cha Mamu wa dar
Wimbo mzuri Vidio nzuri Sana hongera.
Lafiki hujawahi kufeli mzee komaa wenyeakili wote wanakuelewa hujawahi kutuimbia matusi 💯💯
Maybe not today maybe not tomorrow but I will be a champion trust me guys inshallah 🙏
Nasso!!!!!!!!!!!Mungu akufikishe pale wahitaji kufika
Uko vizur Sana mkuu namba moja kwawasaniii wa bongo mm Niko Rwanda pamoja Sana mkuuu
Jamaa yangu ukiimbaga hizi stayr nazipenda sana hongeraaa
Naso mashairi uwa unatoa wapi Dah kweli mungu akuweke shambiki yako moja nipo kigamboni DSM nakukubali kinyama aise
💪🔥🔥🔥🎼 nice job
Nimekuona vilagemate wangu T-kasha unazidi kwenda. Unambembeleza demu kwenye migomba na mwishoe unasumbulia kufukuzwa na gongo
Sana bro home boy ,keep it up mwana .Goma la kwenda kabisaaa hili
Kazi nzur kaka
Nakukubari sana best naso tangu zamani hujawahi kuniangusha I'm from burundi
Busara zenye ufundii wa tenzi , Good music still I live
Good music 🎶🎶🎵🎵🎵 from to best nasso all Days 🔥🔥🔥🔥
Yaaan Kuna huyu msaniii sichoki kumusikiliza from bola niludi kijijin daaa mzeee unajua sana
Ubunifu wa hali ya juu....kazi Bomba..
Kiukweli napenda nyimbo zako Best nasso
Fan wangu mwenye flavor zakee pekee
One love ❤
Sana best naso Allah akujalie Dua nying kwako
Sichokagi kukusikiliza kaka penda sana nyimbo zako zote
Tazaan👏👏
Best nasso ,,hakika you are the best,,kali sana kaka🔥🔥🔥 from254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We jamaa kila siku ntazid ksema unaujua mziki ila utaki tu kupambana zaidi
Uwoga ni ya moto🔥🍀
Wimbo mzuri Sana nassor anajitaidi sana
Kali,napenda aina ya mziki wako Nassoro
Tupo.ndugu tunakubr sana kk wewe noma
Good job 🔥🔥
Kenya pia tupoooo kwako
One love from Tanzania one❤❤❤❤❤❤
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩
Uko vzr Kaka tuko pamoja Sana katika kaz zako za mziki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚒🚒
Big up brazza .... Nyimbo zako,,,, zinamasomo .....
Big up brother 🔥🔥🔥
Nakubali sana bro
Asaaante Sana kaka umekubali asara umehonga nyama yoote
Nakubal brother
Erenest apa niambie kaka❤❤❤
Nakuelewa sana my brother best nasso
Kutoka msumbiji wilaya mueda mkoa wa kabo delgado nakupata. Kazi mzuri kaka
ngoma kali sana kaza na so💥💥💥💥
Big up nakufuata unyo unyo bro nikiwa huku Homa Bay kenya natafuta nafasi Nije tupige collabo
Best nassor unajua Kaka piga kazi
Ma friend unautangaza uzuri sana mkoa Wetu. Mwanzo nikahisi ngoma ya kiganda kumbe ni kijana kanda maalum
kaz nzur
Asnte sana napenda nyimbo hii naweza kuludia Mara nying
Nasokama naso mapenzi bahari nimeandika kwenye dayari ila upana wake sijauficha nimeufafanua kiundani pia mapenzi nifumbo mama halinaga hodari
Bonge la nyimbo brother nakukubal sana
My favorite artist tupo pamoja kanda ya ziwaaaaaaaaaa
Nasooooooooooo 🔥🔥🔥 bigap sana kaka
Ubunifu mzuri video imetulia sana Je vp kuhusu kichupa cha Darubini
My favorite artist best nasooo💓
Pamoja san broo unajua
Kaka unajua sana xx cjui nn kinafanya ucfike panapoctahili
Nakukubali sana jamaa like jaman
Sana fundi wangu ngoma sana
Best Naso, you never disappoint me. Nakukubali Sana.🙌🇰🇪🇰🇪
Nakubali kaka
Huyu jamaa anajua aisee
Congratulations🙌🙋🙋💪💪
kueli kabisa
Kaka god bless you unawezaaaa sanaaaaaa
Saaaana 💓💓💓mkaliiii wetuuu
🔥🔥🔥🔥 great jy bro
More fire🔥🔥....big up...good job
best kama best unajua sana brother
Kaka upo vizuri big up🙋🙋
Oya kaka unajua sana sema bax tu
Best nasso moja kati ya wasanii wanaoimba nyimbo zenye ujumbe muzur weny kujenga big up sana bro👊👊
Mnyamaaaa
Umetisha sanaaaaaaa nakubali
Utaenda far,keep up
💓💓💓I love your musiq💪Good work
Uko mbele naso
Yani jamaa wewe kama kuna watu wenye vipaji wee ni no moja kbs
Congrats big man 💪💪💪Fedinan B,,, from 001 Mombasa,, Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Big up bro muzic mtamu naupenda from kenya
Best naso kiukweli ww unakipajii Sana kaka
Unastahili pongezi Tena nyingii sana