Ee mungu naja kwa Ashate kwa maisha naamini yakua utaniaja nilikua na ndoa lakini mungu wajua imebita miaka kumi sina ndoa nko na imani utaniba ndoa ingine utabatisha maisha yangu na watoto wangu ata kwa masomo kwa kazi zao na ndoa za watoto wangu ee mungu nishaitie❤
Nashukuru Mungu Kwa hili somo najua unaenda kunitetea nakurudisha mabaya Yote Kwa watesi Wangu ambao walisema sitadumu kwenye ndoa, sitafanikiwa Yote mabaya waliyo kusundia Leo inawarejea wenyewe Kwa Jina la Yesu Kristo.
Mungu wa madhahuni unatenda Kwa ukubwa mgodi wangu utangazwe...kua Bora mbele zako....umesema fedha na dhahabu ni Mali yako nakuomba thibitisha sasa neema yako mwenye maisha yangu....katika jina la Yesu
E MUNGU WANGU WA MBINGUNI WAKUMBUKE WATOTO WANGU WOTE KATIKA MAISHA YAO YA KIROHO NA KIMWILI NA JUU YA ELIMU YAO WAKAWE NI VICHWA NASIO MKIA KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN
YESU IKUMBUKE FAMILIA YANGU YOTE KATIKA MWISHO WA MWAKA HUU ATA MWAKA MPYA KUANZA MUNGU FAMILIA YANGU IWE MKONONI MWAKO KWANZIA SASA ATA SIKU ZA UZEE WANGU
YESU KRISTO NAOMBA UMSAIDIE MWANAGU CATHERINE AFAULU VYEMA KATIAKA MITIHANI YAKE YA KUMALIZA KIDATO CHA NNE MUNGU MFANYE AIBUKE NA DIVISION 1 NA ACHAGULIWE KWENDA SHULE MAALUUM
Asante YESU asante YESU asante YESU asante YESU asante YESU asante YESU asante YESU
Ee mungu naja kwa Ashate kwa maisha naamini yakua utaniaja nilikua na ndoa lakini mungu wajua imebita miaka kumi sina ndoa nko na imani utaniba ndoa ingine utabatisha maisha yangu na watoto wangu ata kwa masomo kwa kazi zao na ndoa za watoto wangu ee mungu nishaitie❤
Rejesha kila kilichoibiwa na adui kwenye maisha yangu katika jina la yesu.
Eh Mungu wa Ibrahim,Wa Isaka na Yakobo rejesha kilicho poteya maishani mwangu na juwa akuna gumu kwako naomba ukafanye njiya Baba🙏
Nashukuru Mungu Kwa hili somo najua unaenda kunitetea nakurudisha mabaya Yote Kwa watesi Wangu ambao walisema sitadumu kwenye ndoa, sitafanikiwa Yote mabaya waliyo kusundia Leo inawarejea wenyewe Kwa Jina la Yesu Kristo.
Eeeh Mungu naomba maombi yako yafike kwenye nyumba yangu mm na familia yangu
Maombi yangu yafike kwako eeh Mungu ukanijalie kulingana na mapenzi yako🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi kwa neno lako
Ahsante Bwana Yesu kwa kuendelea kudhihirisha ukuu wako na matendo yako ya ajabu katika maisha yangu .
Nayarudisha mabaya yote kwa Adui kwa damu ya Yesu.
Mungu wa madhahuni unatenda Kwa ukubwa mgodi wangu utangazwe...kua Bora mbele zako....umesema fedha na dhahabu ni Mali yako nakuomba thibitisha sasa neema yako mwenye maisha yangu....katika jina la Yesu
Naludisha mbaya yote yalipo toka kwa jina la Yesu kristo amen
Bwana arudishe mabaya yote yalipotoka kwa jina la yesu amina
Amen najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia unaludisha mabaya yote yaliko toka
Asante kwa kurudisha mabaya yote ya maduii zangu wote katika jina la yesu Kristo
Mbaya yote n'a ya rudisha yalipo toka kwa Jina la Yesu Kristo.Amena
Mafundisho haya yamenibariki sana, mtumishi. Mungu akubariki uingiapo na utokapo.
Anza nami Bwana Yesu.
E MUNGU WANGU NAOMBA NIURUMIE NA UNIREHEMU MIMI NA UZAO WANGU WOTE,NAUYAAMURU MABAYA YOTE YARUDI KWAWALIO YATUMA KWAJINA LA YESU KRISTO AMEN.
Najiunganisha na ibaada Kwa jina la Yesu krito alie hai
Amina mabaya yote yaludi yalikotoka katika jina la Yesu
Amen mtumishi wa Mungu
Nisaidie bwana yesu
Amen najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia napokea ukombozi wa familia yangu uzao wangu napokea uponyaji wangu Leo Amen 🙏
Amina Pastor yetu
Mungu azidi kukuongoza Mtumishi,yeremia 1:9
Asantee YESU KWA IBADA HII..Narudisha Kila mabaya yote yaliyotendwa na adui ktk JINA LA YESU KRISTO.
Lord I pray for my sister just protect her through exams I believe through ths pray she will be a winner
Sauti hiko sawa.nakusikia
Napokea uponyaji wa familia yangu kawakumbuke watoto wangu ktk mitihani Yao pia naomba umponye mama yangu
Ameen
Ameeen
Leo sauti imetungusha mtumishi
Chochote adui ananipagia "back to sender in Jesus mighty name 🙏"
Asante mungu kurejesha moyo wamuke wangu
E MUNGU WANGU WA MBINGUNI WAKUMBUKE WATOTO WANGU WOTE KATIKA MAISHA YAO YA KIROHO NA KIMWILI NA JUU YA ELIMU YAO WAKAWE NI VICHWA NASIO MKIA KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN
Nakusia vizuri amina
Amen 🙏
Sisikii kabisa ni kwa umbali sana
Nakupata vizuri 👍🤲🙏
Bwansasifiwe sauti safi
YESU IKUMBUKE FAMILIA YANGU YOTE KATIKA MWISHO WA MWAKA HUU ATA MWAKA MPYA KUANZA MUNGU FAMILIA YANGU IWE MKONONI MWAKO KWANZIA SASA ATA SIKU ZA UZEE WANGU
Najiungamanisha na madhabahu hii ya Siri za biblia. Mungu nikumbuke. Amina
Nguvu zifke Kwa Kasi zifanye kazi na maisha yangu.....DAMU YA YESU KRISTO BWANA wa majeshi ifungue chochote kilichojifunga kwenye maisha yangu
YESU KRISTO MKUMBUKE MWANAGU JOSH WELL KATIKA MAISHA YAKE DHIDI YA WANAOITAKA KIBALI KATIKA MAISHA YAKE
Sauti ilikuwa sawa
Nakusikia viziri kabsa kutokashinyanga
Mtandao unasumbua
Bwana nitengeneze siku ya leo nimechoka na magonjwa
Hakuna sauti na pia inakata
YESU KRISTO NAOMBA UMSAIDIE MWANAGU CATHERINE AFAULU VYEMA KATIAKA MITIHANI YAKE YA KUMALIZA KIDATO CHA NNE MUNGU MFANYE AIBUKE NA DIVISION 1 NA ACHAGULIWE KWENDA SHULE MAALUUM
Asante yesu cristo nikukaribisha kwa maisha yangu afya yangu nakushukiru baba kwa umbali hu Asante mungu
Sauti haipo
Amen
Mtandao unasumbua
Amen
Amen
Amen
Ameeen
Amen
Rudisha kila kilichopotea kwenye maisha yangu ewe Mungu wangu.