samahani mwalimu naomba niulize swali mana linanitatiza sanaa... katika sentesi hii ya ... mtoto alikuwa mwizi, hapa neno alikuwa limetumika kama aina gani ya kitenzi na kwa nini.... UBARIKIWE MADAM.
Limetumika kama kitenzi kishirikishi kikamilifu kwa sababu kiko pekee yake kwa sentensi na haijandamana na kitenzi kikuu kwa sababu kama kingeandamana na kitenzi kikuu kingekuwa kitenzi kisaidizi na si kitenzi kishirikishi kikamilifu
Asante sana pia hongera sana kwa kazi nzuri ya kutukuliza akili zetu.
Shukran saana Irakoze
Nzuri sana ❤❤
Kazi nzuri sana honjera
Shukran saana Rasoa.
🎉 good luck
Shukran saana Jane.
Je nikisema.Amosi alikuwa akisoma akisikiliza Radio huku akiangalia mechi'"vitenzi sambamba au la!
nimeelewa sasa asante sana mwalimu
Karibu Peter.
Shukran saana.
Thank you thank you
My teacher
You are very welcome
Shukran sana Renard.
Karibu . Asante nimefaidika sana kupindukia
Shukran saana Baniez.
Asanti Sana mwalimu kiswahili kitukuzwe
Shukran saaana.
samahani mwalimu naomba niulize swali mana linanitatiza sanaa... katika sentesi hii ya ... mtoto alikuwa mwizi, hapa neno alikuwa limetumika kama aina gani ya kitenzi na kwa nini.... UBARIKIWE MADAM.
Limetumika kama kitenzi kishirikishi kikamilifu kwa sababu kiko pekee yake kwa sentensi na haijandamana na kitenzi kikuu kwa sababu kama kingeandamana na kitenzi kikuu kingekuwa kitenzi kisaidizi na si kitenzi kishirikishi kikamilifu
Kitenzi kishirikishi kikamilifu.
Shukran saana.
Safiii.
Mwalimu nilike nimekuelewa@@rileyyy34
I enjoyed the lesson thanks for wonderful lesson with you 🤜
Your welcome Verena
Shukran saana Verena
Yes hongera sana
thx for the lessons
Karibu na Shukran saana.
Asante sana mwalimu.
Shukran saana Bingwa.
Naomba uzungumzie sajili katika isimujamii. Asante sana .
Type, sajili kiswahili rahisi. utapata video pale.
Shukran saana, Branice.
Asante sana Nina swali maana ya silabi tatanishi
Shukran saana.
Somo zuri sana
Shukran saana.
Shukrani
Asante sana Wandiba.
I like the spirit
Shukran saana Joy.
Wow
Shukran saana Lavia.
❤❤❤❤❤
Shukran saana.
Nice
Shukran saana Emmy.
Viteni ya ‘a ‘e’i’o’u
Wow noce
Asante saana Emmy.
i want vitenzi jina
Shukran saana.
Aina za viwakilishi
th-cam.com/video/sbrXNHqkk2I/w-d-xo.html
Shukran saana Caleb.
wow
Shukran saana Nabulu.
Mwalimu mimi naomba kujua nyenzo ambazo naweza kutumia vitenzi
Shukran saana.
swadakta. vyema kabisa .
Shukran saana Cheboi.
maswali ya aina za maneno
Shukran saana.
th-cam.com/video/lNMlaWEjPCE/w-d-xo.htmlsi=0x_oNsjD8umc2wa_
th-cam.com/video/2OXMbzVPIXo/w-d-xo.htmlsi=QM98jxa8ulWjreuE
tafadhali naomba utupe baadhi ya maswali ambayo hutokea katika mitihani za kitaifa
th-cam.com/video/VvHF9Lkmc4U/w-d-xo.html
th-cam.com/video/7vvYlX3xOUE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Hs2W0CeQy1c/w-d-xo.html
Shukran saana.
Napenda mafonzo yako sanaa
Shukran saana Sally.
Nataka kitenzi kishirikishi kikamilifu
Hujakiona pale?
Shukran saana Awino
Kazi murwa
Shukran saana.
Jitahidi uwe na sauti ya kiualim
Asante na shukran saana.
Uakifishaji
th-cam.com/video/sfKSdBxR6Ys/w-d-xo.html
Shukran saana Renard.