NAILA PART 03 MWISHO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024
- Msimuliaji : Lucas Lumbasi (+255 710208145)
Follow Me On Socials :-
Facebook : www.facebook.c...
TikTok: www.tiktok.com...
Instagram: www.instagram....
USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KULIKE KAMA UNAPENDEZWA NA SIMULIZI.
Psalms 46:1 ESV
"God is our refuge and strength"
Ndio kuigia tena na fujo kaieni kando 🎉🎉maua kwenu❤❤❤
Mungu mwema ,mauwa yako Lucas huna baya umeenda na muda vilivyo🎉🎉🎉🎉
Santeeee😊😊🎉
Ooooh kipenzi chetu ivi kweli baby boss atavumilia mpaka mwisho kweli maana uyu sada sina Imani nae uyu😔
Waaaaw tulikumic naila 🎉🎉🎉❤ kaka Lukas mambo
Kakumuc pia😂😂
Mashallh mashallh hatimae nimewahi jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimekuwa wa 29 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤ Nimewahi No1 apa kwa nia moja t kujua mbivu na mbichi Naila usiwape nafas wachawi fukuza kabisa Lukas lumbas ubalikiwe sana🙏🙏🪑🎧
❤❤❤🎉🎉
@@TeklaNdekeja sijuw ata Kwan waliwakalibish SI wangemwanbia mlizia awambie wamehama
Pongezi sana
@ReginaBenjamin-ij2ec ila kuklibisha usiku asubuh wageliwatoa mapema sio kuanzia kuwaganda msaada nakati walmuuza utumwan ni Neemat naila age teswa hil Mungu kafanya mapinduzi goja waniionee
Tuwe tunaamshana bc jamani so kwa kuwahii hukoooooo🤣🤣🤣
Naila fukuza hizo mbwa zitaharibu ndoa yako dear 😂😂😂😂😂😂😂 maana sada ameanza kuwaza upuuzi nyau uyu 😂😂
Wow finally nimewahi shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤
Team Licas mngenitumia hata text jamani mnijulishe..huku vitu tayari😂😂😂😂😂sijapendraaaa
Wooh hatimae tunamaliza fainally❤❤asante
Saada anakutana na adhabu ya Mungu kabla ya kupambana na hukumu ya hakimu,kazi kwako,kila mtu kutetea uhai wake ni wajibu wake
Usiwahurumie w dada hao niwabaya sana
Kabla sijaanza kuskiliza 😂😂😂😂😂😂😂 kwanz naila Unanifrahish San kak lucas kazi nzur mung abarik kaz ya mikon yako
Karibu😊😊😊🎉🎉
Beby lucas utuletee nyingine nzuri zaidi❤
❤❤❤ndo kufika
Nimewahi ❤❤❤🎉🎉🎉
waooo wa11 like zangu naomba😂😂😂😂
Waooo number one leo like zenyu plz
Ubarikiwe❤❤❤❤
😮♥️♥️♥️🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🔥🔥🔥🔥🔥 asante sana
Yaani pole sana Naila ila kwenye vita kuuwa ni lazima iwe umeuwa ama umeuliwa hiyo ni haki alipata alicho kipata Sada
Sijui mm kama nwangap lkn nmefika karibuni nyote
Atimae ❤
Watatuu❤❤❤🎉🎉😂😢
❤❤❤🎉🎉
❤❤ tupo hapa tu kusubiri mambo❤
Nisukume kwenye bembea 😂😂
woooow 2lio wa miss loma na edn 2juan apa
Watoto wote Wana haki na kilamtu anahatima yake usichukie MTU na mungu ndie aliempangia kuahivo naila ❤❤❤❤
Daaaaa roho imeniuma bhn kwann naila auwe mtu
I like this very educational, thank you Lucas Endelea kutuletea vitu vizuri Kama hivi❤️👍
Sada mnafiki tuu anajifanya kulialia umbea tuuu na Shani shangazi yake na roho mbaya
Yaan mtt umleavyo ndvyo akuavyo😢
Kaka Lumbas Asante kwa uaminifu Mungu akubariki
Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
🌹🌹🌹
Ngoja tuone ugovi humu ndani 😂😂😂
Yaani huyu sadah jamani atia kichefu chefu jamani daaah shenzi kabisa 😮😮😮😮
Patamu hapo mtoto oyeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tnx kaka lucas lumbas ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waoo kaka lukas Asante kwa mafunzo yako mazuri
😂😂😂 jmn ndugu yetu amekufa hana hata jino moja duh nacheka kama mazuri
Wao
❤❤❤🎉🎉
Tatizo hamjui alimasi mana angemjuwa anajuwa Kila tundu mtungo watu watatu watatu ye angemba tundu Gani ngeni jaman tamaa mbaya sana mungu atunusuru
jamani sijawahi kuwa wakwanza.
Asante kaka lucas
Saada Unajuwa mbinu nyingi zakuzibit mwanaume uterekezwe🤣🤣🤣🤣 subilini ukichaa wa Alimas uwakute mwazani kl mnawaume niwkulogwa e😢😢
asante kwa elimu nzuri 🤝🫶🙏💛💚💛💚💚
Sahada ashindwe
Jamn leo nimejitahid aise ❤❤
Asante mungu sijachelewa sana vile ijapokuwa huwa hamunipi like ila sawa tu watu wangu twendeleeni
Wa mwisho kama kawa,haijalishi😂😂😂😂
Simulizi zako Lucas lumbasi zinanifundisha jinsi ya kuishi na kuwajua maadui
Na ukimjuwa aduwi ..ukimuacha ende mwache tu..usimpe tena nafasi yapili..wallahi
😂😂😂😂😂 eti sada amekufa bila meno hahahahahahaaaaaaaa 😅😅
Sadaaaa unaroho mbyaa Kama mdg wakeee na shetaniii
Asante kaka lucas simulizi inamafunzo kweli, nimejifunza vitu vingi kupitia hii simulizi
saada ana roho mbaya na kikatiri siku zote tamaa ni mbaya sana ndy maana tunaambiwa usitamani mali ya mtu mwengine pole sana naila maisha yetu ya hp duniani unaweza kuwafanyia wema watu wako wa karibu lakini wakakulipa kwa mabaya tuu
Yaani tamaa mbaya na kwa kweli ukoo huumiza
😅😂jamani nimecheka sana kusikia sada alivyochomwa jicho pia na meno kutoka yote
Kweli tama ikikomaa huzaa mauti ndivo ilikuwa kwa sada na familia yake hongera sana kaka lucas 🙏 🎉🎉❤
Waoooo namba Tisa hapa
💔💔💔Saada shetani kabisa Siwez kumurumia shan kwakifo cha saada maana ndivo alivo mlea huo domshahala wazambi aya nae afet hapo huruma kwa mtoto hakim😭 age mwacha elelew ktuo cha watoto yatima
Jamani musi muhukumu Naila na wao wali muua nijuu Mwenyezi Mungu anae chunga mayatima alikuwa na Naila
Asante Lucas nilianza kwa kicheko kama chizi nimemaliza kwa kilio jmn sisi ndio binadam
Ikibidi kuua unaua ili uokoe maisha yako mana hujaua kusudi yan hata ukifungwaa utafungwaaa nahaki kabisaaaa
ila simulizi ya alex ni moto ni nzuli bala
❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
almas kichwa chake anakijua mwenyewe😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Mtt Hakimu Maua yako
Mwisho wa ubaya aibu kafika alipo stahili Shani na mwanawe ila nimemuhurumia mtt hakim tu hakustahili kufa bora angekufa kwa maradh tu kuliko kumzulumu nafs yke
sada ni setani 😈😈😈😈😈
Asanter mungu thank god
Kwa mganga waende
Waooo❤❤
Siyo kwa mbiyo izi
Asante
Mtoto wanyoka ninyoka asidi ana sababu
Yaan cha kurith kmezd 😢
Walaniwe ao maasidi
Jamanii naila fukuza ao panyaa watakuharibia ndoaaaaa
Njie hapa ukichelewa dakika tu walai umepitwa haya nimepitwa na dakika 15 naomba like
😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani hakim kayatindiganya yani yote kayatoa yamoyoni 😂😂😂😂😂😂😂kama nikuzimia Saada na mama yake wangezimia kitambooooo ila kwaroho zao mbaya wako tulii,ila nimemupenda huyo mtoto kabisaaaa😂😂😂😂 eti kushika mfupa kama mfupa wangombe ila kaka Lucas unachekesha ,Saada nishetani kweli kabisa kageuka zombie eti meno yote kwisha habari yake nashingo kudondoka😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna roho mbaya lakini Saada jamani na mamake hata shetani anawashangaa sana 😂😂😂😂ngoja tuone mwisho wake,kweli inaumiza sana😢😢
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani nimechelewa kidogo
Stor nzur nimependa zaid Almas alivyo mpenda kwa dhat Naila
Hee,😂😂😂😂kwenda kusalimia tu umeshakuwa mlipa mshahara Shani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aaiii,nimecheka kama sina akili 🤣🤣🤣🤣
jamani ukweli nikwamba simlizi ninzuri sana et naombeni like ata 5 jamani🙃🤗😜
😂😂😂 raha sana kuwa mtoto kuliko kuwa mkubwa
Haki family zengin nimungu atusaidie sana watu wamekua naroho mbaya
Hi simuliz inafunza jins ya kuwalea wtt cyo kma Shani alivo mlea mtt wke cyo kila anachotak mtt ukamapatia mwish wke ndo unakuw uwo sasa
Kitu nilichojifunz ni kwamb unapotak kuangmiz mwenzko ambae han atia utaanza ww
Sanks 🎉🎉🎉
Daaah!!! Jamaani?? Dunia hiiiinamambo
Siku zote mshahara wadhambii nimautiii halafuu hiyoo ndo karma mana haijawai wacha mtu salama.
Gipenzi Lukasi🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
❤❤❤🎉😊😂
Kwakweli nimeumia sana kwa kifo ja mtoto asie na kosa kahukumiwa bila kujua naila hongera kwa maamuzi magumu ila ukupaswa kuugumu mtoto alikupenda sana
Nice
Jamani hii Simulizi inahuzunisha huku Mwisho jamani 😢
Mungu wanguu🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙊🙊🙊🙊jamani mkienda kudanga kuroga kuiba msibebe watoto jamani hakimu mlimuona yy nimtoto loo lkn hawa watu wajinga nahawana haya mtoto hakimu nimempenda bure kama jina lake
🤣🤣🤣🤣🤣hivyo viuno mgando vingekuwa ndiyo ndoa,mbona dunia nzima wangekuwa na ndoa 🤣🤣🤣🤣🤣
Lakin yote haya chanzo ni Shani kutokana na malezi yake ilaa hakimu hakuwa na kosa jaman imeniumiza kifo chake 😢😢😢
Ukiwa na akili timamu huwezi kuthubutu kunyanyua mbariga zako na kumfuata mtu uliyemnyanganya kila kitu chake na kumtesa sana eti ukaombe msaada kwake tena,tena ufike kwa ubabe bila hata kuomba msamaha mhmm inashangaza!
😅😅 LUCAS. Hapo kwenye penzi zito 150kg et vile wanapata raha utawambia nn nimecheka sana 🤣🤣🤣
👏👏👏👏👏👏👏🌹
Kwaxa shan nguvu hiyoo umetoa wapi kwaza kuuzia mtoto mali zake hadi nyumba halafu mumerudi kwake pale alipokua mumemuuza ili huyo msomi mchwaraa afaulu lkn akafauluu mimba😂😂mm kama mm nisingewakaribishaa kabisaaa kabisaaa.yani mliona Alimas mjinga camera zafanya kaxi hata mybe alikuona ukichunguxa rooms