ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
PRODUCER SHIRKO AFUNGUKA ALIVYOCHANGIA MZIKI WA BONGO FLAVA/ANA MPANGO GANI KWA WASANII WA KENYA?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2019
- Please watch: "(96) ICE BOY: WEMA SEPETU Alikuwa Wangu/Ataja List/VERA SIDIKA?HUDDAH?VANESSA? "
• ICE BOY Kujiunga WCB/S... -~- WATCH YOUR FAVORITE SHOW IN EAST AND CENTRAL AFRICA , #MSETO_EAST_AFRICA NA #MZAZI_WILLY_M_TUVA
Shirko..wimbo mliofanya na 2 berry (kuwa na wewe) ni favorite kwangu mpaka sasa hivi.Wimbo strong sana,inazungumza na nafsi mpaka sasa hivi.Big up!!!...Najua-pia ya 2 berry niliipenda pia.
ndo leoo najua huyu jamaa ni mkenyaaaaaa nilijua ni Mzanzibar
Jamaa ni mkenya@hata mm mwanzoni sikumfahamu vema ila ni mtu mbunifu na sio mbinafsi.
Kwao mkenya kwao ni mambasa mtaa kaloleni
Wapi heshima kwa @mzazi🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Huyu jama kabadilika Sana kwanza kawa mweusi kidogo kawa mnene saana na nimemzoea akiwa anaongea saan kiingereza nakumbuka alivyo ft na berry black alichana Sana ngeli alafu alikuwa mweupesana na mwembamba dah mungu akupe Long life
Kiukweli hakuna ubishi Mziki wetu kuna namna unapewa Heshima sana na Wakenya na ndio Funbase Area of Bongofleva inapokuwa jamaa wanatusupport bila kutenga wasanii wetu wao kila msanii wa Tanzania ni wao ili mradi Kazi ni nzuri@Produza shirko Big up sana Kazi ya mikono yko Idumu milele.
Ikubali ukatae Kenya is the back bone of bongo fleva
wapi like za #mseto
Uko powa sana broo Shiriko kazi zako nazikubali sana.
jamaa kawa mzee saivi ,,shiriko
Respect 2 kenyan producers
Safi sana M.E.A
Oya nivile tu wabongo wa nafki nafki sana et producer Shiriko hajulikana hata kwenye tunzo za heshima ya bongo freva. Sasa sijui mbosso hua anakukumbuka kweli mtengeneza njia.
Miye nahamini unene siyo mzuri jamani yaani uyu miye naona siyo yeye
Ukowap shirko mara ya mwisho nakuona muembe tayar
Dah jamaa mshua sana flan hivi. apriciate my producers #tz #love
Hilo ji mic balaa Mzazi
Shirko juu xna bro 🤝
That's my producer001 @shirko we going far
I used to think he is Tanzanian
Sweety sweetie 😘 my favorite tune by chege now that nmejua ww ndo ulobonyeza vinanda naikubali snaa
Safi sana shirko nmekuelewa
Mambo
@@dukemoha8825 poa
Pamoja sna Mzazi
N mmoja wa mapro wanoma EA
uko sawa sana nakukubali sanaaa🤗
Aaah kumbe ndio huyo jama
Nakubali kazi zake
Nakubali mzee
Shirko was my eve best artsit and producer ever..share yo instagram acount maze
@shirkomedia
Pamoja sana kaka
Binafs nakuelewa sana bro!
MashaAllah
Mimi ni msanii wa mziki nitapata vipi number za simu za producer shiriko ama contacts zake
Leo ndo nimejuwa ni mkenya.
Shirko nimekufatilia tangu enzi za "kuwa nawe' unatalanta bro..ebu kuza talanza kenya maana tumchoka kuskiza mziki za nje wakati tunatalanta huku kwetu
Muzadee