Kongele nyingi ziende kwa team nzima ya Madebe Lidai,Allah awaongoze siku zote ya uhai wako. Ila ombi langu kwako MR MADEBE kuwa nae BATANI siku zote kwenye kazi zako
Tanzania itamiss Uwepo wa Huyu jamaa akiondoka.. Zaidi ya Kipaji Mashaallah 🔥🙌🏾Mtamu binti Yake pia yuwaonyesha kitu ambacho wengi hawana.. Madebe Living Legend 🙌🏾
Hii ndiyo TANZANIA bhana baadhi ya mambo ya ajabu yote ya sana kwa 80% utayapata katika nchi hii - Hata msipompa tuzo fact ipo wazi jamaa anamjua na haipingiki
Hata mm nipeeñi like za nabii mswahili,yaani mwalimu wa kiswahili,💓
Duuuu huy ndo mabede lidai han utan Yan duuuu so pow
Kama unamkubari madebe lidai ngonga like apa
Kongele nyingi ziende kwa team nzima ya Madebe Lidai,Allah awaongoze siku zote ya uhai wako. Ila ombi langu kwako MR MADEBE kuwa nae BATANI siku zote kwenye kazi zako
Jamni ndongo sehem 3
Tanzania itamiss Uwepo wa Huyu jamaa akiondoka.. Zaidi ya Kipaji Mashaallah 🔥🙌🏾Mtamu binti Yake pia yuwaonyesha kitu ambacho wengi hawana.. Madebe Living Legend 🙌🏾
Alafu ndio watatoa tuzo
Hii ndiyo TANZANIA bhana baadhi ya mambo ya ajabu yote ya sana kwa 80% utayapata katika nchi hii - Hata msipompa tuzo fact ipo wazi jamaa anamjua na haipingiki
Mie nimelewa na hii tamthilia kwa kweli ni kali sana inapendeza ,fundisha,eleweka na pia nzuri sana.
Nakubali team Madebe naomba like za kutosha
Kazi saafi mpaka inakera madebe keep going
Kwa kifupi mwamba hajawahi kukosea miaka yote salute 🙏🇹🇿🌏🧡
Kabisaaaa
Nimecheka na naendelea kucheka
Safi Sana madebe lidai kwa kazi mzul tupo pamoja mwazo mwisho
Creativity on another level madebe lidai anafaa kusomwa shuleni
Kaka Filamu Zako Nzuri Mashaallah 🙏 Allah Akupe Maisha Marefu Ili Tufaidi Matunda Yako Ya Elimu Ya Kujitambua Zaidi
Kazi nzur..elimu ndan yake
Nakukubali sana kaka Madebe, Ubarikiwe sana kwa kazi zako nzuri
Nabii hongera kwa kazi nzuri unazotuletea tupo nyuma yako 🔥🔥 wasanii wa brich watasubur sana kwenye movie zako💪
Aisee sijawahi kuona kazi mbovu za madebe na team yake👍 like zenu za pongezi kwa niaba ya team madebe❤️
Ahsante sana kwa kazi nzuri. Allah akujaalie maisha marefu. Best actor #madebe_lidai . Sehemu ya tatu plz
Nimekupenda Sana madebe,yani jinsi unavyo nifanyia movie zako,hunipa sana elmu,💕💕💕
🎉🎉🎉 bembe to Thé World 🌏💪🇨🇩 kazi nzuri Kabisa
Yaani daaah sio pouwa 🔥🔥🔥👌👌
Safi sana mnaigiza maisha halisi ya waswahili poa sana hii wameshindwa waki Jb
Uyu mtoto wa madebe mashaallah pic kali kweli kweli😍😘
Kazi nzr Ila muendelezo muhimu km MKWAJU & MAHARI
One of the best actor alive....
Hongerah bwana Madebe kwa kazi nzuri 🥰🥰💕,,naendelea kujifunza mengi
Kazi nzuri sana, Nimekuwa nikicheka toka mwanzo wa Episode ya 1 mpaka sasa.
shemeji ni mke wangu tu.😂😂
Hongera Sana Kwa kazi nzuri
Kwa mpigo like you sir maina from kenya
Filam nzuri sana,hongereni❤❤
Daaah hii kwel NGONDO ila ss wandengereleko ndio tunaelewa maana ya NGONDO
Dah madebe movie zako nizakipekee.. nakupenda Bure kaka..Alf mkwaju iliisha ama bdo mm sjaipata
mkwaju tayar imeisha
Hii ni kali sana, ila jina analotumia batani humu sijalipenda (GOVI)
Walahi nakupenda bure ❤ nabii mswahili salut sana kwako
Dondoraaaa.. Humu sasa swafi.. Mkwaju sio kwel
Namkubali mia mia yani, movie bila babangu madebe sio movie 🤣👌🥰
Nakukubali sana mkubwa madebe lidai unatumia ubunifu na umakini wa hali ya juu kwa sasa mm nakuchulia kama bendela ya taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nakubali kazi zako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mziki mzuri sana ngondo ngondo
kaka madebe naitaji sapoti yako mimi pia napenda sana kazi ya sanaa
mm sio ku mkubali tu nakumsamini kwenye hushauri wa maisha wangu🙏🔥🙌👈
Masha Allah umenifurahisha sana madebe ilve you
Napenda sana bro filamu zako mi shabik wako kwa sana paka nahisi Kam naiga mimi kulingana story
Jitahid madebe mwisho wa hizi series zako ziwe zinaisha vizuri ni mzuri sana kwenye kuandaa story ila kwenye kuzimalizia wewe ni mbovu sana
Movie Kali Sana kabisa wasinge yasema tusinge fahamu🙏🙏
Hahahaha et wew ni mke wangu shemeji hapa imekaa kama hekima tu😂😂😂🙌
@Madebe
Nimecheka sana watakuja wakupige wakuuwe unamwita shemeji yako ni mkeo😄😄endelea yatakukuta
Chakula kwakweli nikitam sana weka sahani nyengne
Kama unamkubali Madebe Lidai kunga Like 🥰
Daaah respect debe tz one
Jamani madebe utaniuwa mm😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
na mm ngj nikamchkue shemj yang nimfaidi 😂😂😂 muv nzuri sana
Tunamukabali sana
Uko vzr kaka madebe pga kazi unaeza
The best film 📽️ 👍👍👍
Tunakukubali Sana Madebe lidai .. Kenya tuko pamoja
kaziii mzuli sana ila ombi langu kwenu musiwe munachelewesha jamanii
Respect mwamba wa kiswahili
umetisha sana mwamba
Mashallah kaka madebe
Mimi APA Baba ...nimepapenda Sana hapo
Na kubali sana toka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Lidai ni mmoja 2 nipeni likes zngu wnangu
Waaah hongereni jamani tunasubiri part 3
Madebe ndio kioo Cha jamii kwa sasa.hongera Yako kaka
Ok nakubali madebe❤❤
Jitahidin kusubsribe ili uwe wa kwanza kuiona, Mambo ni motooooo
tujitahid kufany nin Mm Cjaelea
Tufanyeje ?
Kusubscribe kwenye button nyekundu apo
@@kherryndayishimiye2396 subscribe kwenye button nyekundu pale
Tunawapenda sana❤
Team madebe lidai big up xan hamjawai kufel
Akuna kama ww tz 💕
Mwanaume mwenzio unamuitwa mwanamke wako🤣🤣🤣🤣🤣💥
Anakwambia angepewa tu amufaidi
super zaidi ya cna
KWERII HII NGONDO
Hatari sana
Nakukubali sana madebe nakupenda sana 🥰🥰🥰pamoja sana
Naisubili.
Big up sana madebe lidai kazi nzuri sana
Salut bwana badebe Lidai UKo fundi Sana
hongera brother
Duh debe unajua sema kibongobongo wachache sanaaa wenye uelewa
Kweli hii ngondo🔥🔥🔥🔥
Daaaaaaaaaaaaaaaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Madebe mungu anakuona angekuepo kwenu ungemtumia
Kiufupi yeye mke wangu tu kwanin iko nini😂😂😂😂😂
Ak mnaijua kazi
Shabiki kindakindaki wa madebe nikiwa Mueda Cabo Delgado Nchini Msumbiji 🇲🇿💪
Ewaa! Madebe umeweza sana kwenye hii tamthlia.
My best actor madebe🧡
📌🌹..NICE NAKUBALLY
Wonderful lidai
Anatupa ladha Hila hamalizii Kaz zake hanatubowa sana
Respect!
Kazi nzuli Sana jamn madebe
I like the style of act..
Madebe naomba kumjuwa mtamu 😍😍
Madebe lidai wew ni mjinga sana
Nice Work
noma sana madebe umetisha sana
Hii ni 🔥🔥
Duuuh hiii kali ya mwaka
Thanks madebe lidai Kwa party 2 nasubri party 3
Kilicho Bora👌
Kazi znuri
Madebe umetisha sanaa