SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 25 | CHUMVINYINGI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 186

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث หลายเดือนก่อน +9

    Jamani maganga chapombe ww unanifuraisha aymanenoyako😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @GatbanyyangjiokKang
    @GatbanyyangjiokKang หลายเดือนก่อน +10

    Mimi ndio wa kwanza Leo sitaki shobo za watu wengi,wanasema wao ni wakwanza
    Pigeni likes hapa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @mussa-y7t
    @mussa-y7t หลายเดือนก่อน +12

    daaah ira maganga umetisha sana

  • @OmarAssira
    @OmarAssira หลายเดือนก่อน +8

    Eti shetani kaiba udongo akamuumba zona ❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZenaMsengi
    @ZenaMsengi หลายเดือนก่อน +8

    Mapenzi si pesa jaman ,hans usituchanganye batuli ni wetu tunae na tunatamba nae😂😂😂😂

  • @Deloveally-o8g
    @Deloveally-o8g หลายเดือนก่อน +12

    Nimewai na mm leo nipeni ata like jomon co kila naku like nyny t😂😂

  • @MauwaArfahn
    @MauwaArfahn หลายเดือนก่อน +11

    😂😂😂maganga sijapendaaa😂😂😂😂 uwiiiiii 😂sura ya kudanlowrd babaeee 😂😂

  • @ShamsaMudathir
    @ShamsaMudathir หลายเดือนก่อน +6

    We wa nchi gan 😂 ma batur
    We kipochi manyoya 😂 kidofa

  • @HazardBoy-h4w
    @HazardBoy-h4w หลายเดือนก่อน +33

    Hil siries chumvinying umeuwa koz naon umejipanga another level tutafika Wacha watukumbie chumvinying kaz mulua m naenda na simba mweusi kichwan , moj kichwan

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +6

      Asant

    • @ImaraImaar
      @ImaraImaar หลายเดือนก่อน +1

      ​@@chumvinyingigangEpisode 26 na Zenginezo vpy kaka braza Let's go

    • @mpassclassicalisalimo
      @mpassclassicalisalimo หลายเดือนก่อน +3

      una weza kaka

    • @DidaTuesday
      @DidaTuesday หลายเดือนก่อน +1

      I like

  • @AlecheConradNinje
    @AlecheConradNinje หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂 shetan aliiba udongo😂😂😂😂

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 หลายเดือนก่อน +6

    Msaka nyokaa😂😂😂❤❤❤ mambo sasa😂❤❤

  • @Ezekielngar
    @Ezekielngar หลายเดือนก่อน +8

    Hii movie naipenda sana mpaka siyo pw iishi sanaa ❤❤❤

  • @RamsyOg
    @RamsyOg หลายเดือนก่อน +6

    Mumekosea kwann batuli amukumuhonesha apo sijapenda jaman😂😅😮

  • @AdamMaranga
    @AdamMaranga หลายเดือนก่อน +11

    Waooooh wakwanza leo naomba mauwa yangu chumvi nyingi

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh หลายเดือนก่อน +10

    Kazi nzuri sana mashaallha 🎉🎉🎉

  • @ChimumyClassic-xq7dk
    @ChimumyClassic-xq7dk หลายเดือนก่อน +4

    Goood joooob broh allah akuzidishie ❤❤

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 29 วันที่ผ่านมา +2

    MABUTI ni handsome 🥰

  • @MwambaCristien-d6u
    @MwambaCristien-d6u หลายเดือนก่อน +5

    Leo Kingereza ♌️ 🦁 😂😂
    Money is talk. Naipenda hiyo.
    Ngonga kama unafurahia Kingereza cha Anse

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 หลายเดือนก่อน +6

    Ili chuvimigi ukiwa huna makelele umetulia aaa very handsome boy

    • @ModricMussa-y5y
      @ModricMussa-y5y หลายเดือนก่อน

      Chumvinyingi UK vzr xn brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalehAthuman-c3e
    @SalehAthuman-c3e หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri back to back mungu atujarie wana chumvinying gang tuzid kusonga Mbele❤❤❤❤❤❤

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid หลายเดือนก่อน +8

    Kwakweli leo nimecheka sana maganga kumwambia zoba kuwa aliumbwa mungu akiwa amepumzika

    • @mbarakmkanyi2224
      @mbarakmkanyi2224 หลายเดือนก่อน +2

      Kiukwel chapombe ameupiga mwingi sana .....maua yake apewe

  • @SalimIbrahim-z1p
    @SalimIbrahim-z1p หลายเดือนก่อน +8

    Jaman maganga nd ushauligan mh ❤❤❤❤

  • @SalimIbrahim-z1p
    @SalimIbrahim-z1p หลายเดือนก่อน +6

    Chumvinyng unaweza yan umecheza vipande tofauti tofauti yan umefanikiwa kwa move hiiiii chukua makopa yak❤❤❤❤❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +6

    Mama batuli mrembo na mimi piya nakuja jitambulisha nyangemba jipange tupo wengi kwa batuli😂😂😂😂

    • @ModricMussa-y5y
      @ModricMussa-y5y หลายเดือนก่อน +2

      Ach wiv ww mpo weng wakt tyr chumvinyingi yupo nae

    • @ModricMussa-y5y
      @ModricMussa-y5y หลายเดือนก่อน +2

      Ww Acha wiv chumvinyingi atakuteka ww jichangany

    • @ModricMussa-y5y
      @ModricMussa-y5y หลายเดือนก่อน +1

      Kaza t mwana japo kuwa nipix kal lkn kaz

  • @SultanMatata
    @SultanMatata หลายเดือนก่อน +8

    one day kaka utafika walipo wao salut

  • @joufflyngmutangaza306
    @joufflyngmutangaza306 หลายเดือนก่อน +3

    Twende tuuuuuuu 🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩

  • @magombatz
    @magombatz หลายเดือนก่อน +4

    HANS POPA IN TOWN 🔥

  • @MariaJoseph-l9p
    @MariaJoseph-l9p หลายเดือนก่อน +6

    Nimecheka sana na huyu mlevi

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 หลายเดือนก่อน +8

    Hila maganga mjeur heti udongo wa zoba uliibiwa na shetwan😂

  • @MeshakiSamweli
    @MeshakiSamweli หลายเดือนก่อน +3

    Chumvinying kaka unajua Sana 👏👏👏👏

  • @SalimSlim-l4j
    @SalimSlim-l4j หลายเดือนก่อน +6

    Maganga ww nihatari shetani arimibia udongo Mungu😂😂😂😂

  • @abditari7998
    @abditari7998 หลายเดือนก่อน +4

    Cool chumvinyinyi

  • @Songeagirl1
    @Songeagirl1 หลายเดือนก่อน +5

    Nimemuona mtu hendisamu🥰

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 หลายเดือนก่อน +9

    Unakunywa wanzuki 😂😂

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI หลายเดือนก่อน +2

    Walete 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @BUTILANJIA
    @BUTILANJIA หลายเดือนก่อน +10

    Zoba mdogo wangu unafaa kuwa bodgad kabisa wa chapombe😅😅

  • @allymilulu7442
    @allymilulu7442 หลายเดือนก่อน +4

    Maaaambo hayo

  • @negoboy002
    @negoboy002 หลายเดือนก่อน +5

    Nimeona jay melody kwambali tuambieni ninani au tumuite jay once again 🎉🎉🎉🎉❤❤😅

  • @MazanzaOfficial
    @MazanzaOfficial หลายเดือนก่อน +1

    Kazi Imetulia Sana Maua Kwenu Wasanii Wametulia Sio Powah Yani Congratulations To Chumvinyingi Nyingi,Nyangemba& Dokta Popa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +4

    Moses umenikera kumkandiya chumvi kumbe ndo mana na wewe mzigo ukakukimbiya mtt kishundu kakuacha pale kenda kwa mmasai wake

  • @MackNinetwo
    @MackNinetwo หลายเดือนก่อน +4

    Chumvi nakukubali Sana

  • @MusaEmanuel-lj2pr
    @MusaEmanuel-lj2pr หลายเดือนก่อน +3

    Aah chizi midundo umetisha kichau wangu

  • @JemaNkoba
    @JemaNkoba หลายเดือนก่อน +4

    Let's go Chumvi nyingi nakukubali mno

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂we mangag umenicekesh kwel et zob kumbw sik ya sab kwel 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @deprodigy9815
    @deprodigy9815 หลายเดือนก่อน +4

    🎉chumvi c ulete mkojani

  • @GiftDayah
    @GiftDayah หลายเดือนก่อน +5

    Kipochi manyoya😂😂😂😂

  • @KhadijaSeif-f9n
    @KhadijaSeif-f9n 28 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unampenda chumvinyingi gang weka like yako

  • @AdamOman-n2s
    @AdamOman-n2s หลายเดือนก่อน +5

    Manganga noma et Mungu wakati amepumzika kakuumbia udongo😂😂😂😂😂😂❤

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 หลายเดือนก่อน +5

    Mambo hayooo mambo sasaa😅😅

  • @MartineAde-g2d
    @MartineAde-g2d หลายเดือนก่อน +3

    Moja na moja

  • @adamubahati8126
    @adamubahati8126 หลายเดือนก่อน +4

    Kaz nzuri mung awape nguvu katk Kaz zenu mzidi kutupa buludan

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi หลายเดือนก่อน +3

    nzuri sana congratulations all

  • @KaphkiPh
    @KaphkiPh หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza mimi naomba dondosheni like zenu wana wa gang gang

  • @BatholomeoGalahenga
    @BatholomeoGalahenga หลายเดือนก่อน +5

    Nakukubaly bwana chumvi nyingi
    🎉😮😢😢😢😮❤❤😂😂

  • @gademomari7607
    @gademomari7607 หลายเดือนก่อน +5

    Jageroro kisofa

  • @ramarkanumba6798
    @ramarkanumba6798 หลายเดือนก่อน +3

    Nakufatilia sana chumvinying me shabik Yako mkubwa unaumiza sana mzee

  • @RubenKavunga-nd5lh
    @RubenKavunga-nd5lh หลายเดือนก่อน +4

    Kazi mzuri

  • @ZainabuSalehe-hi2pw
    @ZainabuSalehe-hi2pw 28 วันที่ผ่านมา +1

    Sura za kudownlod za kunyamazishia wtt wakiwa wanalia😂😂😂😂😂 majanga umejua nifuraisha😅😅😅😅😅😅

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya หลายเดือนก่อน +3

    Safi saana napenda mnavyo harakisha kunipa raha😅 hii movie nayipenda jamani❤

  • @Muhindomukumbwa
    @Muhindomukumbwa หลายเดือนก่อน +4

    simba mwesi njo nani 6:40😂😂😂

  • @RajabYussuf-m2m
    @RajabYussuf-m2m หลายเดือนก่อน +7

    Nipo

  • @Isamootv738
    @Isamootv738 หลายเดือนก่อน +8

    Gang gang

  • @popajr3228
    @popajr3228 หลายเดือนก่อน +5

    Tx moshi mtoto

  • @12mudizo
    @12mudizo หลายเดือนก่อน +9

    Mkn san ❤❤❤

  • @YohanaLukosi
    @YohanaLukosi หลายเดือนก่อน +4

    Chumvi chumvi chumvi hongera sana kwa hiiiii. Movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +1

      Asant sana boss

    • @YohanaLukosi
      @YohanaLukosi หลายเดือนก่อน

      @chumvinyingigang Aisee me nipo zambia ilaaaa ume tishaaaa sana kaka

  • @ModricMussa-y5y
    @ModricMussa-y5y หลายเดือนก่อน +1

    Chumvinyingi natm nzima hongeren xn kaz nzur san ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ashurakiaga7812
    @ashurakiaga7812 หลายเดือนก่อน +4

    🎉move nzuri mashaallah ila jitahid kaka kuwahisha vipande🎉🎉🎉

  • @mbarakmkanyi2224
    @mbarakmkanyi2224 หลายเดือนก่อน +5

    Kisofa mbona washtuka ulivyotajiwa mafuta.....yamgando😅😅😅😅😅😅😅

  • @msebukwatv1
    @msebukwatv1 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli mkwe unamwambia maneno hayo shombe shombe watanzania hatuko hivyo

  • @timebakar
    @timebakar หลายเดือนก่อน +8

    nimefika

  • @NasibuHussein-xy7bc
    @NasibuHussein-xy7bc หลายเดือนก่อน +6

    Leo nimewai

  • @OnaryYohana
    @OnaryYohana หลายเดือนก่อน +2

    Chimvi nyingi upo vizuri sana ndugu

  • @Isayyotham
    @Isayyotham หลายเดือนก่อน +2

    kwakazi mnazotupatia sisi mashabiki zenu ninzur kinyama tuko pamoja sanaa🤝🤝

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD หลายเดือนก่อน +6

    Wale wa sura za kudownload mpo maganga kweli unajua kunichekesha😂😂😂😂 mpaka ushakua mshauri wa serikalini kwenye campuni ya mabeer

  • @YasintaKanyopa
    @YasintaKanyopa หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Msronny2001
    @Msronny2001 หลายเดือนก่อน +26

    Like zenuu

    • @Didaahsaid005
      @Didaahsaid005 หลายเดือนก่อน +1

      Mh atakupa chapombe

  • @Casmirors
    @Casmirors หลายเดือนก่อน +5

    Black lion bonge la dude mjini unajua San chumvi nyingi 🎉🎉

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo jamaa wa kibegi cha bange anachosha, kila akiongea utasikia 'SI UNAJUA ZILE"

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini หลายเดือนก่อน +3

    . Ndugu yangu mlevi kama unavyo igiza pamoja na gang humvi nyingi tahadharini kitumia maneno ya kufru kila kitu kinarikodiwa.. katika dini hakuna mzaha ...Huwezi kusema Mungu kachoka..kuchoka ni sifa ya viumbe wala sio muumba tuwe na heshima na Mola muumba.

  • @ixha706
    @ixha706 หลายเดือนก่อน +5

    Chumvi unazidi kushusga vyuma ndani ya nyumba saloot kubwa kwa huyo bro aliye ingia ananikosha🫡🤎💦

  • @chachumoo5178
    @chachumoo5178 หลายเดือนก่อน +7

    Big up chumvi

  • @ibramtuli2985
    @ibramtuli2985 หลายเดือนก่อน +7

    Na Mimi nimewah leo

  • @Kombamalilo-rh6nb2vs4w
    @Kombamalilo-rh6nb2vs4w หลายเดือนก่อน +2

    Kazi mzuri sana

  • @MwambaCristien-d6u
    @MwambaCristien-d6u หลายเดือนก่อน +5

    Mbona Mr Mkono au Mr Nzambe na Nzambe Tokoli na tokoli aonekani tena? Kwa nini amechelewa

  • @EmmanuelMutchoma
    @EmmanuelMutchoma หลายเดือนก่อน +2

    Ongera ndugu yangu,aucheleweshi

  • @SalimSlim-l4j
    @SalimSlim-l4j หลายเดือนก่อน +4

    Maganga 😂😂😂

  • @Didaahsaid005
    @Didaahsaid005 หลายเดือนก่อน +4

    Mapenzi na pesa hayaingiliani

  • @qaseed2001
    @qaseed2001 หลายเดือนก่อน +6

    premiere

  • @NicholasLukube
    @NicholasLukube หลายเดือนก่อน +4

    🫵 Yani ili GANG lako nihatari 😂😂

  • @One_5_l
    @One_5_l หลายเดือนก่อน +3

    Tujuane tunaobwatch now

  • @babuallybusiness-e3b
    @babuallybusiness-e3b หลายเดือนก่อน +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo ayo😂😂😂😂😂

  • @christinamichael6731
    @christinamichael6731 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU awe nanyi wote🙏🏿

  • @Leash-s2q
    @Leash-s2q หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂Mane isi toku

  • @HamisiNdale-qc9hl
    @HamisiNdale-qc9hl หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤chumvi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SaidIddy-k7f
    @SaidIddy-k7f หลายเดือนก่อน

    HUYU MAGANGA NI KAHAMA FINEST NA NDIO ICON ANA IBEBA SANAA HII MOVIE JAMAA MNOMA SANA CHUMVI ASANTE KWA KULETA HII TALANTA MJINI FROM SOUTH AFRICA 🇿🇦

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤

  • @Josetz-d5l
    @Josetz-d5l หลายเดือนก่อน +3

    chumvi wa pili mbna simuoni jmn😢

    • @mbarakmkanyi2224
      @mbarakmkanyi2224 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo hapo ndo swali nlikuwa naja nalo

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +2

      Utamuona kukifikia wew tulia fatiria kaz

    • @Josetz-d5l
      @Josetz-d5l หลายเดือนก่อน

      @@chumvinyingigang sawa nasisi mashabiki tuko live bila chenga

    • @mbarakmkanyi2224
      @mbarakmkanyi2224 หลายเดือนก่อน

      @@chumvinyingigang bado nko na ww chumvi.....pesa ya bi kauye ataipata kwa mbigiri ama

  • @ShafiiThobias-o2s
    @ShafiiThobias-o2s หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahah ila maganga we ni atar

    • @ShafiiThobias-o2s
      @ShafiiThobias-o2s หลายเดือนก่อน

      Kaka sikufichi we usha kuwa msanii mkubwa sana na mungu akuongoze kwenye kaz yako akuwekee wepes kwenye kila jambo

  • @NourahBethanjuma
    @NourahBethanjuma หลายเดือนก่อน +8

    Jmn chumv nying naomba umwamby kisopha naitaji hlo koti lake Nina xhereh yangu natak nije nivae😅😅😅😅😅😅😅

    • @biommy6700
      @biommy6700 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂

    • @PenieDaniel
      @PenieDaniel หลายเดือนก่อน

      😂😂😂