Jinsi Ya Kuagiza Bidhaa Alibaba (China) Hatua Kwa Hatua (Kwa mtu yeyote)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024
- Jiunge nasi katika kuchunguza hatua muhimu katika ununuzi wa bidhaa China kiusahihi hadi kukufikia nchini kwako.
Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigit...
Karibu Tanzanite Digital ambapo, tujifunze namna tofauti tofauti za jinsi ya kujiingizia kipato mtandaoni kwa biashara mbalimbali. Ikiwa ungependa kujifunza zaidi. Subscribe na usikae mbali na channel yetu!
Follow Platforms Zetu Nyingine:
✅ WhatsApp Channel: whatsapp.com/c...
✅ Instagram: / tanzanitedigital
✅ LinkedIn: / tanzanite-agency
Enjoy!
#fursa #mtandaoni #biashara #matangazo #jinsiyakufanikiwa #kazizamtandaoni freelancing #tipsforfreelancing #startfreelancing #howtobecomeafreelancerforbeginnersin2023 #howtobecomeafreelance #howtobecomeafreelancerforbeginners #alibaba #china #entreprenuer #aliexpress #jinsiyakununuachina #jinsiyakununuaalibaba #biasharachina #biasharayanguo #biasharayavyombo #silentocean
PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/
Mbn hakuna sehemu yakupakua nakulipia
@@aloisngulo436 tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/
Naomba namba yako kaka nashida sorry
0747 177 677 @@zuhuraommary-ld2dn
Habari Gani
Naomba ufafanuzi kuhusu Average unit cost
Ipo vizur
Umenisaidia sana.ubarikiwe
Karibu ♥️
thank you
detailed information nzuri sana ungetuonyesha na quality mzigo kukufikia ungetisha zaidi
Thanks bro, tutafanya hivo 🙏🏾
Well done!!! Good job brother,,, extremely helpful
Glad it helped, karibu sana!
Asante sana brother🙏
Ahsante sana Brother
Karibu sana 🙏
Asante brother
Hello Broo, nimekuwa interested na nataka kuagiza mzigo Huko Chaina, kwa maelekezo yako nimefanya vyote ila sijaelewa namna ya kusafirisha. Naomba namba yako ya whatsp tuongee
Good job
Thanks
Bro tuelekeze kuhusu ma kampuni hy if u don’t mind Naomb no yako ya simu nimfnyabiashra but natak kuagiza China so nahitaj kujua kiundani zaid
Hbr
Kun supplier wengin Wana point 5
N quality ya products zao nzur
Ila hawako verified naruhusiw kununua kitu kwao
Hao suplay nnawapataje mimi
Umeeleza vizuri nilikua nachanganyimiwa na hiyo cbm
Thanks broh umensaidy sana
Mimi namuzigo machestar je naweza kuupata
Kun supplier wengin wana point 5.0
Na quality ya products zao nzur
Ila hwang verified
N kun wengin point zao ndog ila wapo verified naweza kuruhusiw kuagiz kit kwao
Habar,
Naomba mawasiliano yako please
Tuma meseji WhatsApp: +255766 478 104
Good
Na ukitumiwa zawadi?
Nice my friend
Thank you! Cheers!
Bro naomba unifundshe Jin's ya kuagza mzigo na unanifikiadje
Ayo makampuni ya kuagiza tunayapataje
silent ocean na Target ndo wapo vizuri kwenye kudeliver haraka sku izi
naweza kuruhusiw kuagiz kit kwao
Mbona kwenye sim siiyoni hiyo usd English kwaajili ya kubadilisha bei nione kwa tanzania sh
Chagua option ya "My Alibaba" then utaona bendera 》Click bendera utaona option ya kubadilisha aina ya currency
Herufi n ndogo n Bora ungetumia sim😢
check hii: th-cam.com/video/HWafX22YjFE/w-d-xo.html
Nisaidie namba yako simu kaka kwa maelezo zaidi
Broo haiwezekani kufanya kama hawa Kikuu unaona bei za vitu kwa hela ya Tanza
Inawezekana, unachotakiwa ni kwenda kwenye setting ya App ya Alibaba na kubadilisha currency kutoka USD kwenda TZS
Asante sana kaka ,kazi nzuri.
karibu sana!
Unaweza kuagiza kitu Cha 50 elf ukapata kweli?
Ndio, hata cha mia tano. Unapata
Ama hawa Kikuu ni supplier
Naitaji kuagiza nipo tz
Je bila agent huwez kupata mzigo wako?
Unapata, angalia video vizuri
Cost ya usafiri inaweza kuwa asilimia ngap ya bei ya mzigo ukitumia makampuni
Havitegemeani, check video tume-upload kuhusiana na bei za usafirishaji kutoka china
bro asa kwa ma agent ni mziki
Nisaidie namba yako kaka
We nipe namba wasap naomba
Ivi mzigo una lipia kabla au baadae ya kufika
Baada kwa makampuni mengi, si yote lkn
weka namba yako
Tupe , majina au link ya hayo makampuni
Hapa kuna PDF ya basic infos ya list majina ya makampuni (free) na compressive guide jinsi ya kununua Alibaba and list ya makumpuni hayo hayo (not free)
👉👉 www.tanzanitedigital.com/shop
Ina maana hizo pic 180 ndo 27,982 au ni kwa pic moja?
Kuanzia PC 180 atakuuzia kwa kila moja bei hiyo
Sorry brother naweza pata no ya WhatsApp please 🙏
0747 177 677
Ivi namba yako ni mwiko kuitoa au inakuaje?
Serious enquiries only: 0747 177 677
Jinsi ya kulipia ndo changamoto
umekwama wapi?
Bei Za Kusafirisha Bidhaa Kutoka China Hadi Tanzania 👉🏼👉🏼th-cam.com/video/V-9AbEURPZA/w-d-xo.html
Siku Ngapi Mzigo Unakufikia Kutoka Alibaba (China) 👉🏼👉🏼 th-cam.com/video/DrYVhHdqtnc/w-d-xo.html
Kila nikitaka kupakua pdf haiji Wala haionesh sehemu yakulipia
Kun supplier wengin wana point 5.0
Na quality ya products zao nzur
Ila hwang verified
N kun wengin point zao ndog ila wapo verified naweza kuruhusiw kuagiz kit kwao
cha muhimu haswa ni reviews, ndio unaweza nunua kwao