Kuna wachaMBUZI na kuna WACHAMBUAJI. Sasa huyu jamaa naona ni Mchambuaji mzuri sana. Ni Mchambuaji anayetupa kila kitu tunachotaka kujua. Anachambua kitu kimojakimoja na kwa kukiandika. Big up Mbwaduke.
Unajituma sana kaka. Hongera saana. Nilkuwaga biz na Elimu za Physics,chem na Bios. Elimu ya Mpira umenipa ukubwani. Asante saana ...Mwenye swali alete kuhusu mpira najivunia Elimu ya Mbwaduke. Kuhusu mpira wa Africa nipen maswali kwenye makaratas😂😂😂
Huyu ndio ninaemuelewa achana na hawa wengine, Wawajue Alahaly wasimjue hapo hadithi imerudi palepale, Mwarabu hana mazoea, naona hapo mtoto sio riziki
Yaani...anapitia hali ngumu kidogo kiafya. Yuko katika dozi...In Sha Allah kwa dua na maombi yenu kwa Muumba atapata nafuu ili aendelee kupiga kazi. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Katika wachambuzi tanzania wa soka namkubali sana mbwaduke hongera sana kaka upo bora sana kwenye uchambuzi
Mwamba kama mwamba hatr sana 🔥🔥
Nakukubali sana brother mwaduke😊😊😊
Kuna wachaMBUZI na kuna WACHAMBUAJI. Sasa huyu jamaa naona ni Mchambuaji mzuri sana. Ni Mchambuaji anayetupa kila kitu tunachotaka kujua. Anachambua kitu kimojakimoja na kwa kukiandika. Big up Mbwaduke.
Upo vzr sana kaka mbwaduke unajuwa kuchambua sana yani. Mungu azidi kukuweka maana unatupa vitu vizr
Unajuwaa mwadukeee!!! Naomba uandae somo kuwafundisha wachambuz wasiojielewaa
Kwa mbwaduke wewe ni most valuable player kwa uchambuzi hapa TANZANIA
Shukrani sana Comrade. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Mzalendo kweli kweli kwa soka letu la Tanzania
Saf sana kaka Mungu akujalie uzima tunaenjoy sana uchambuzi wa uwakika kabisa 👏
Unajituma sana kaka. Hongera saana. Nilkuwaga biz na Elimu za Physics,chem na Bios. Elimu ya Mpira umenipa ukubwani. Asante saana ...Mwenye swali alete kuhusu mpira najivunia Elimu ya Mbwaduke. Kuhusu mpira wa Africa nipen maswali kwenye makaratas😂😂😂
I appreciate you very much bro in football analysis
Esperance Yanga, olrando pirates na meniama
huyu mwamba ndo anafanyaga kifurushi changu kikiisha niwahi kulipia haraka maana sio kwa uchambuzi huo asee azam wanatakiwa kumuongeza mshahara
Anajua sana huy jmaa
Anachambua vizuri sana
Anachambua kwa maelezo na mahesabu ubaoni. He is so nice in analysing. Bravo Mbwaduke Stats.
Mbwaduke on fire 🔥 4rever
@@SimonNyaki nimekubaliana nawewe mkuu
Mwamba unajua sna yan🎉🎉🎉
Nakukubali sana mwamba
Safi sana Mbwaduke!!
Kiukweli kabisa mbwaduke ni mchambuzi msomi halafu anaipenda kazi yake mungu ampe afya njema na umri mrefu hii ni zawadi kwa watanzaniya
Aamyin! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Kaka hongera vizuri sana. Haunaga baya
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 good 👍
Unajua sana
Salute kwako kaka! Umechukua dakika zangu zote 22:01 kihalali. Wengine wote wajifunze kutoka kwako. Keep up the good work.
Unajua sana kaka big up
Nakukubali sanaa
UKO VIZURI SANA MWALIMU WA WACHAMBUZI WA ⚽️ WA AFRICA NZIMA.❤
Umeua kabisaa wacha tusubulie ni zaid ya uchambuzi 🎉
Safi mzee
Kwakweli huwa nakuelew sana
Furahia siku yako 🎉
Sf sanachambuz letu
tunaenjoy sana kwa madini mzazuri
Good job
We mnyama af mbaya sana Mwanangu mkal wa hizi kazi
Duh!
❤❤❤❤❤❤
Hapo tunamtaka mamelod maana ana deni letu
Uju jamaa anachambua sana tusubili mda ufike kwakweli
Daaa huyu mwamba anafatilia
😮uchambuz makini wenye viwango vya juu unatisha hubahatishi bro👮
Tunawakamdstuuu
Wewe ni mwalimu wa wachambuzi.
Naqbal mwamba mwaduke tunapata madin ya uhakika
there he is
Nasubiria siku ya kesho kwa hamu na shahuku nikitokea Dodoma
Wafundishe wachambuz wengine kk
Huyu ndio ninaemuelewa achana na hawa wengine,
Wawajue Alahaly wasimjue hapo hadithi imerudi palepale,
Mwarabu hana mazoea, naona hapo mtoto sio riziki
Data mujarabi
Good
EXPERIENCE DE TUNIS AU AL AHLY...YANGA ATACHEZA NA MMOJA WAO HAPO
Hapana,mamelodi
Daah kaka uki chambuaa hadi lahaa unaa kaa peke yakoo
Me natabir yang port one atakutana na experience
Mwamba
Safi sana
Huyu mwadukee kuacha kumsikiliza labda bando liishe
Sina shaka na chama langu la mwanainchi yeyote Tu tunamtaka mashe khouf
Kuomba uzima tu
Hakika! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
🏆🔰ccl
Kreiger Summit
Kanywe dawa Mr data tunataka sauti nzuri kwenye dabi
Yaani...anapitia hali ngumu kidogo kiafya. Yuko katika dozi...In Sha Allah kwa dua na maombi yenu kwa Muumba atapata nafuu ili aendelee kupiga kazi. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
😅
Naomba kujua inst anatumia jina gani mzee wa data
Akaunti yake insta ni: @ramadhani_mbwaduke
POLE MCHAMBUZI NAONA KASAUTI KANAKWAMA ILA ITAKAA SAWA
Yaani...sauti imemghomea kabisa Mzee wa Data. Ila kwa dua na maombi yenu atapata nafuu In Sha Allah! Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Wewe ambaye kifurushi chako humalizwa na Mbwaduke, Je wewe unafanya nini ili jamii ikufuatilie?
Mbona hata ww umepitaza MB zako kumukashifu kwahiyo nijamii umsha mtabua