CAF: Watoa sababu za Yanga kupangwa kundi 'A' kama Simba • Mamelodi anasubiri mbeleni.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • LIGI ZIMERUDI
    • Pata mikeka ya uhakika
    • Mikeka inakufata yenyewe kwenye sim yako
    • Huduma ni kila siku
    Gusa link hii 👉🏾 rb.gy/1im9c8 ili kupata MAOKOTO YA UHAKIKA.

ความคิดเห็น • 12

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wote ni makingwa wa nchi zao, hatariii.

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa kundi letu gumu lakini inshaallah hawa wote tunauwezo wa kupishana nao cha msingi ni maandalizi ya mapema tuh tutatoboa inshaallah

  • @khadijasarkaly5588
    @khadijasarkaly5588 59 นาทีที่ผ่านมา

    Hapo yanga ni underdog Kama nimekuelewa hv

  • @emanuelanderson4483
    @emanuelanderson4483 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MC ALGER ni tofaut USM ALGER

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wote ni mbingwa wa nchi zao, hatariii.

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 7 นาทีที่ผ่านมา

    Mazembe atapigwa nje ndani al hilay nae atapigwa nje ndani usm alger nae nje ndani, jumla tutafuzu kwa kishindo kwa pint 18

  • @LulunguKeya
    @LulunguKeya 18 นาทีที่ผ่านมา

    watanzania amujuwe kudadisi soka msimu uliopita tena wasirikisho ndio unaesabu eti unaijuwa TP ujuwe TP kwenye clabu bingwa usimchukulie ivyounavyo mchukulia wamesajili wamejipanga na yanga mujuwe nitimu ndogosana kwa TP mazimbe mutaiona msimu huu

  • @SuzanaChacha-cu2qy
    @SuzanaChacha-cu2qy 17 นาทีที่ผ่านมา

    Hilo kundi la yanga ni gumu sana nawaomba tu wasikate tamaa

  • @stevensosipita
    @stevensosipita ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAPO SIONI TIMU ITAKAYOTUSUMBUA YANGA ROBO FAINAL HIYOOOO

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 48 นาทีที่ผ่านมา

    Tv ya huyu mganga wa kienyeji! Hana lolote kwenye mpira c mchambuzi huyo ni chawa wa utopolo hana mbinu za uchambuzi wa mpira huyo

  • @ManenoFesto-r4q
    @ManenoFesto-r4q ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuombe uzima tu